Ugonjwa wa kuhara sio malaria usubirie michango.Watu wote walozunguka pale walishindwa msaidie aende hospital ,?mwenyekit anashindwa changisha watu huku mgonjwa yupo hospital mbona wanachangisha pesa za mlinzi mara sijui nin ,🙆🏼♂️🙆🏼♂️
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ugonjwa wa kuhara sio malaria usubirie michango.Watu wote walozunguka pale walishindwa msaidie aende hospital ,?mwenyekit anashindwa changisha watu huku mgonjwa yupo hospital mbona wanachangisha pesa za mlinzi mara sijui nin ,🙆🏼♂️🙆🏼♂️
Yes unao uwezo wa hio PESAMimi ninatoa mkuu tena zaidi ya hiyo kwenye uhitaji
Sio wa kulaumiwa ni janga la dunia,Laanq zote hizi zitawarudia CCM na huyu Rais anayetesa wananchi kwa kuwasababishia unasikini na kuwaonhezea umasikini kwa tozo kupandisha bei za bidhaa juu na migao ya umeme maji n.k huku wao wakiendelea kulamba asali.One day
Hospitali gani iyo ya serikari kufungua file ni buku 2 ?? Nme kaa paleeeZa serikali..
Unaanza kufungua file na 2000
Pengine hakuwa na nauli au hiyo 2000 🥲🥲
Ajabu wanakijiji ukute msibani wamechinja ng'ombe, mbuzi, kuku, kondoo n.k na pesa ya sanda na jeneza inapatikana haraka sana... Ndugu wa mbali watapata nauli za kujia msibani.Marehemu Happiness kasmiry kutoka kijiji cha Usari wilaya ya Moshi. Alishikwa na ugonjwa wa tumbo wa kuhara na kutapika kwa siku kadhaa kabla ya kufariki dunia akiwa nyumbani kwake kutokana na Kukosekana kwa fedha ya matibabu.
Mume wa marehemu huyo ajulikanae kwa la John alihakangaika kutafuta pesa ya kumpeleka Hospital kwa siku kadhaa bila mafanikio.
Mume wa marehemu amesema alikuwa anakabiliwa na ukata mkubwa kutokana na kumuhudumia mama yake mzazi ambae amepooza upande mmoja wa mwili.
Marehemu ameacha watoto watatu wadogo. Mwenyekiti wa kijiji hicho amethibitisha kutokea kwa kifo hicho na kusema ni kweli familia ilikosa namna ya kumpeleka kupata matibabu kutokana na ukata hivyo mama huyo kufariki dunia akiwa nyumbani kwake
Mungu asaidie kwani kawa binadamuMpaka Mungu ameshindwa kumsaidia
Anza kwa jirani YAKO wangapi wanalala njaaYes unao uwezo wa hio PESA
Mkuu unaniambia mimi tena nisaidie jirani 🤔🤔Anza kwa jirani YAKO wangapi wanalala njaa
Daaah, Mwigulu umeona unachofanya lakini? Trillion 12 unaenda kulipa mariba matupu.., halafu watu wanakosa hata nauli ya kwenda hospitali, hivi hamna huruma? Nyie binadamu wenzetu kweli?Marehemu Happiness kasmiry kutoka kijiji cha Usari wilaya ya Moshi. Alishikwa na ugonjwa wa tumbo wa kuhara na kutapika kwa siku kadhaa kabla ya kufariki dunia akiwa nyumbani kwake kutokana na Kukosekana kwa fedha ya matibabu.
Mume wa marehemu huyo ajulikanae kwa la John alihakangaika kutafuta pesa ya kumpeleka Hospital kwa siku kadhaa bila mafanikio.
Mume wa marehemu amesema alikuwa anakabiliwa na ukata mkubwa kutokana na kumuhudumia mama yake mzazi ambae amepooza upande mmoja wa mwili.
Marehemu ameacha watoto watatu wadogo. Mwenyekiti wa kijiji hicho amethibitisha kutokea kwa kifo hicho na kusema ni kweli familia ilikosa namna ya kumpeleka kupata matibabu kutokana na ukata hivyo mama huyo kufariki dunia akiwa nyumbani kwake
Upendo unaanza nyumbaniMkuu unaniambia mimi tena nisaidie jirani 🤔🤔
Utaenda sasa bila nauli? Wengine wanaishi vijijini sanaHivi ukienda Hospital unaambiwa utoe ela kwanza ndipo utibiwe ?
Halafu kwenye msiba rambirambi utasikia imepatikana laki tano. DahWatu Wana roho mbaya, majirani wote wameshindwa kumpa msaada hata wa laki akaanze matibabu, mpaka mtu anakufa
Yaaaaan inasikitishaaWatu wote walozunguka pale walishindwa msaidie aende hospital ,?mwenyekit anashindwa changisha watu huku mgonjwa yupo hospital mbona wanachangisha pesa za mlinzi mara sijui nin ,🙆🏼♂️🙆🏼♂️
😂😂Hospitali gani iyo ya serikari kufungua file ni buku 2 ?? Nme kaa paleee
Upendo gani bila pesa, mimi sina uwezo wa kusaidia na sijawai kuwanao labda bukubuku wamama ombaomba sio eti LAKI ambayo mimi mwenyewe naiwinda vibaya inanikimbiaUpendo unaanza nyumbani