Moshi: Meya Juma Raibu ang'olewa kwa kupigiwa kura za kutokuwa na imani naye

Haha vieitee ya halmashauri ile.

Kuna video utaona anasepeshwa na pikipiki baada ya kukabidhi vieitee [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimeona hiyo video, mie nikajua zile ni zao, ko hata hawaa wakurugenzi sio zao?

Afu mbna km kakonda ghafla lol.
 
Ina maana hizo Sherehe zilikuwa Rasmi ni kwa ajili ya mashoga? Yeye alihudhuria kama Top ama Bottom?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Rangi yake ni kama alipata kuishi Lamu, Pate na Mombasa, anyway huo uchunguzi ulikwenda kina zaidi na kutazama kama hajawahi kutumia lubricant!!?
 
Waende wakaudhurie naye hizo sherehe za mashoga.

Kaja na vietee kaondoka na boda-boda [emoji23]
MARA NYINGI HUWA NAMUONA AKITUMIA PRADO NEW MODEL AU TOYOTA ALPHAD NDIO UNAKUTA YAMEPAKI PALE MANIISPAA ENEO LA PARKING YA MAYOR. V8 NI MKURUGENZI WA MANISPAANDIO ANALITUMIA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…