Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Sasa leo eneo la tukio mbele ya kamera kaondoka kwa bodaboda uso ukitazama chini na hata kama alienda nyumbani kufata Alphard akija nayo kesho hatutakuwepo na pia camera tumeshazima tunabaki na image ya boda-boda.MARA NYINGI HUWA NAMUONA AKITUMIA PRADO NEW MODEL AU TOYOTA ALPHAD NDIO UNAKUTA YAMEPAKI PALE MANIISPAA ENEO LA PARKING YA MAYOR. V8 NI MKURUGENZI WA MANISPAANDIO ANALITUMIA.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila wabongo ni nyokoooooh khaaah.Amekonda gafla kwa mawazo ya kupokonywa vieitee [emoji23]
Huku ndo stress tupu, bora abaki huko huko. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahah aje Dar kidogo kupunguza mawazo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila wee ni mkorofii uwiiiiihSasa leo eneo la tukio mbele ya kamera kaondoka kwa bodaboda uso ukitazama chini na hata kama alienda nyumbani kufata Alphard akija nayo kesho hatutakuwepo na pia camera tumeshazima tunabaki na image ya boda-boda.
Sisiem na ushoga damu damu....huoni hata kuna baadhi ya nyimbo kusifia chama dola zinatumbizwa na mashoga?Wanampenda kwa uanachama wake wa CCM au kwa matendo yake ya kuhudhuria party za ushoga?
Hahaha uko akija huko dar lazima waliomponza watamuandalia party za kumfarijiHuku ndo stress tupu, bora abaki huko huko. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]