Moshi: Moto wateketeza Soko la Mbuyuni

"Mateja waliwasha mshumaa"

Report za tume za matukio ya moto ya masoko ya awali zinakuwa ni report za kuchonga ndiyo maana hazisaidii kuzuiya matukio mapya yanayoendelea kujitokeza kila siku.
Kwa pale Ilala Mchikichi wameruhusu ujengaji was hovyo ambao hauna hata tahadhari ya moto, Mara baada ya Janga kubwa LA moto!! Najiuliza hivi tulisoma bila kuelimika!? Hawa watu was serekali msaada wao ni nini katika maisha ya kawaida!?
 
tuanzie upelelezi kwa wafuasi wa Mboe,
hawa watu hawaaminiki kabisaa
wafuasi wa mboe walifundishwa vitendo vya kihalifu.
Nilijua tu Wewe Taahira utakua umeandika upupu huu na ndio maana comment Yako ya kwanza nimekuqote Kwa style Hii Hii!
MATAGA pori Wewe ulivyo Punguani mweeeeee!.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…