tamsana
JF-Expert Member
- Jan 13, 2012
- 3,739
- 8,044
Maombi haya yakurudie mwenyewe kwa Jina la YESU. Kwani si ndio taarifa ya Serikali kuwa mateja ndio wanakuwa chanzo cha moto kwenye masoko!Kuna siku utapata mjukuu wa aina hiyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maombi haya yakurudie mwenyewe kwa Jina la YESU. Kwani si ndio taarifa ya Serikali kuwa mateja ndio wanakuwa chanzo cha moto kwenye masoko!Kuna siku utapata mjukuu wa aina hiyo
AKUMBUKWE KAMANDA😎
sasa kama hawa wanaweza kuchoma meza za wafanya biashara wanashindwaje kwenye soko?.
Inasikitisha sanaHuwezi kuamini moto umewaka umechoma mananasi, matikiti maji, mapapai hadi ndizi.
This is too much, wamwachie Mbowe maybe ni laana,
We jamaa bhana hata kujiongeza kujua ni typing error!Bora siko liungue kuliko Soko! Soko ni mkombozi wa kuimarisha vipato vya watu wengi.
Haya mabalaa kumbe yanasababishwa na mbowe kwa ajili ya laana yake!This is too much, wamwachie mbowe may be ni laana,
Hii nchi imelaaniwa asee.This is too much, wamwachie Mbowe maybe ni laana,
Atakua Gaidi Mbowe na team yake ya makomando wanafanya hujuma si et eee kamanda wangu?Umekuwa mchezo wa kuigiza!!
Kwa pale Ilala Mchikichi wameruhusu ujengaji was hovyo ambao hauna hata tahadhari ya moto, Mara baada ya Janga kubwa LA moto!! Najiuliza hivi tulisoma bila kuelimika!? Hawa watu was serekali msaada wao ni nini katika maisha ya kawaida!?"Mateja waliwasha mshumaa"
Report za tume za matukio ya moto ya masoko ya awali zinakuwa ni report za kuchonga ndiyo maana hazisaidii kuzuiya matukio mapya yanayoendelea kujitokeza kila siku.
Nilijua tu Wewe Taahira utakua umeandika upupu huu na ndio maana comment Yako ya kwanza nimekuqote Kwa style Hii Hii!tuanzie upelelezi kwa wafuasi wa Mboe,
hawa watu hawaaminiki kabisaa
wafuasi wa mboe walifundishwa vitendo vya kihalifu.
Hawa "mateja" hawa !Soko la matunda na mbogamboga Mbuyuni lililopo wilayani Moshi mkoani Kilimanjaro likiteketea kwa moto.
Juhudi za kuuzima moto huo zikiendelea na bado chanzo cha moto hakijafahamika.
View attachment 2103541View attachment 2103542
Kipenzi chenu akina nani wewe!?Kumbe nae kipenzi chenu
Naona Mateja wameibukia Moshi😀Mateja tena!!
Poleni waathirika, ukitaka kunyanyuka unaangushiwa kitu kizito kichwani