Moshi: Moto wateketeza Soko la Mbuyuni

Moshi: Moto wateketeza Soko la Mbuyuni

#PICHA Askari wa Jiji wakichoma moto meza za wafanyabiashara wadogo maarufu machinga kuhakikisha hawarejei katika eneo la Mbezi Mwisho, mkoani Dar es Salaam leo. PICHA: MIRAJI MSALA

#NipasheMwangaWaJamii #NipasheHabari https://t.co/JLSp20bLRq

20220201_083628.jpg


sasa kama hawa wanaweza kuchoma meza za wafanya biashara wanashindwaje kwenye soko?.
 
"Mateja waliwasha mshumaa"

Report za tume za matukio ya moto ya masoko ya awali zinakuwa ni report za kuchonga ndiyo maana hazisaidii kuzuiya matukio mapya yanayoendelea kujitokeza kila siku.
Kwa pale Ilala Mchikichi wameruhusu ujengaji was hovyo ambao hauna hata tahadhari ya moto, Mara baada ya Janga kubwa LA moto!! Najiuliza hivi tulisoma bila kuelimika!? Hawa watu was serekali msaada wao ni nini katika maisha ya kawaida!?
 
tuanzie upelelezi kwa wafuasi wa Mboe,
hawa watu hawaaminiki kabisaa
wafuasi wa mboe walifundishwa vitendo vya kihalifu.
Nilijua tu Wewe Taahira utakua umeandika upupu huu na ndio maana comment Yako ya kwanza nimekuqote Kwa style Hii Hii!
MATAGA pori Wewe ulivyo Punguani mweeeeee!.
😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom