Moshi: Mzazi ampiga na kumjeruhi mwalimu shuleni kwa kosa la kumuadhibu mwanae

πŸ‘πŸ‘ŒπŸ‘πŸ™πŸŽπŸ’
 
Mtoto wa darasa la 5 ni ngumu kumgomea mwl kufanya usafi shilikisha ubongo kidogo, huyo mwl amempa adhabu ya kikatiri huyo mtoto na kusema kakataa kufanya usafi ni kisingizio tu.

Kivyovyote mama wa mtoto alivyoenda hapo shuleni lzm kulikua na maongezi waliposhindwa kuwekana sawa ndo wakafikia hatua ya kupigana. Kikubwa ninacho wahasa walimu acheni ukatiri kwa watoto wadogo, unapiga mtoto mpaka anashindwa kutembea alafu unataka mzazi nikuchekee??
 
Unaona mialimu mlivyo mi
jinga!!! Unamlazimisha mtoto akupikie chai amekua mke wako huyo??? Shenzi kabisa!
Alafu unajisifu eti nilitia kichapo!
Walimu kama nyie Mimi ndo nawataka sasa
 
Wazazi wa aina hii wangekuwepo shule kama Loleza na nyinginezo
Walimu wangekuwa wamenyooka maana wanatesa mno watoto wa watu kwa fimbo kali mno na adhabu zinazokiuka haki za binadamu.
 
Walimu wanaweza kukuulia mtoto hivihivi yaani fimbo moja wanatuona sisi mafala ninii
 
Huo ni ujinga wangu nliwapa waalimu ruksa staff room wakiwa wote mpaka mwanangu, kama amekosa piga tu bora usiue kama ana kosa. Toka nitoe taarifa ile mwana akiskia uniform huwa safi na kupaswa kila muda, homework vilevile humalizwa on time, yaani alinyooka kabisa.
 
Kuna watu vichaa kumbe nchi hii eti KAZI ya usafi ni ya mwalimu khaa,
Huyo chalii namuombea mungu baadae katika pambana zake za maisha aangukie jkt atajua alifanya kosa kubwa Sana kutokutii amri ya kufanya usafi ya mwalimu
 
Walimu achaneni na watoto wa watu , wewe angalia mshahara na kutimiza wajibu ! Ingia darasani piga pindi sahihisha madaftari yako hajafanya kazi zako ulizompa mwite ongea nae , kesho likirudiwa tena kosa msipigane mafimbo , wewe sahihisha daftari zitakazokuja tu nnachoamini darasa zima kuna watu wanajituma , kuna wasiojituma na wavivu !! Hii inachangiwa pia na malezi nyumbani kwao ! Wewe hakuna unachoweza kurekebisha hapo zama zimebadilika Deal na wanaojituma na anayetaka tu kuelekezwa ! Imeisha hiyo

Serikali haitakufukuza kazi kwa ajili ya wanafunzi kufeli au kuwa na tabia mbaya zaidi tu utahamishwa au kupigwa beat, lakini ukimpiga mtoto akavimba hata mkuu wako atakukana utaenda jela au utaishia kufukuzwa kazi , na kudhalilika !

Malezi ni triangle,inaanza na Wazazi au Walezi kisha Mwalimu na Mtoto mwenyewe ! Ikitokea mmoja ameacha wajibu wake mzigo utakua mzito kwa waliobaki !

Pole mwalimu kwa ngumi.
 
Tunakoelekea ni kubaya sana
 
Mtoto wa darasa la 5 asiweze kujieleza vizuri huyo kzazi alikurupuka angefika shuleni aulize kilichotokea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…