Moshi: Mzazi ampiga na kumjeruhi mwalimu shuleni kwa kosa la kumuadhibu mwanae

Baadhi ya walimu ni wapumbavu kupitiliza. Yeye kupiga watoto hovyo anaona fashion kumbe ujinga umemjaa.

Mimi wa kwangu nilishatoa onyo kwa mwalimu mkuu endapo mwanangu ataadhibiwa adhabu za kipumbavu zisizofuata utaratibu wa utoaji adhabu mashuleni aise nalala naye mbele kwa mbele.
 
Ukikutana na mimi nakutandika ngumi za kisogo mpaka unajinyea
 
Na kwa kuongezea, sisi watu wenye makomwe hatupendagi sana kufanya usafi sijui kudeki.

Kama vipi shule iajiri watu wawe wanafanya usafi shuleni, mbona vyuo vikuu kuna watu wameajiriwa wanafagia madarasa!

Lakini huko mashuleni unakuta vitoto vidogo vinalima shamba la mwalimu eti!

Siku komwe langu likichachamaa nitatimba hapo shuleni nawatandika bakora walimu wote, piga kelbu mwalimu mkuu, vunja viuno wote! ALAAAAH!
 
Kwa kweli Mkuu
Watoto wanageuzwa ng'ombe huko shuleni.


Mimi advanced level nimesoma serikalini yaani shule kama gerezani.
Yale mateso,vile vipigo,zile adhabu na zile kazi
Niliapa sitakuja mpeleka mtoto wangu akasome shule zenye ushenzi namna ile.


Hawa wazazi wa design ya huyu wangekuwa na watoto kwenye hizi shule wangetusaidia kukomesha walimu wanaojiona miungu watu.

Yaani kuna kumuadhibu mtoto ni kweli
Lakini si kwa kiasi kile wanachofanya walimu wa hizi shule.
 
Walimu ni wapumbavu sana, sijawahi kuona watu wapumbavu kama walimu.
 
Mtoto wa darasa la 5 asiweze kujieleza vizuri huyo kzazi alikurupuka angefika shuleni aulize kilichotokea.
Hii habari ni ya upande mmoja wa mwalimu mzazi hatujasikia. Lkn kwa kutumia akili ya kawaida ni ngumu mzazi kwenda kufanya fujo shuleni eti kisa mwanae kaadhibiwa fimbo Moja tu. Upande wa mwl wamedanganya, hapo huyo mtoto itakuwa alichakazwa kwa mafimbo yasiyokuwa na mpangilio.

Pili-inamaana huyo mtoto mpaka anafika darasa la 5 hakuwahi kuadhibiwa isipokuwa hiyo fimbo Moja ya huyo mwl??
 
Walimu ni makatiri kuliko hata polisi sema hawajapewa mamlaka kama polisi. Lkn siku ikiwa virse vesa ndio mtawajua rangi zao halisi. Emergine mwl anaponda katoto kadogo ka darasa la kwanza mpaka kanajikojolea lkn haachi anaendelea kupiga huku akisema mpaka unye ndo ntakuacha.
 
Kweli waalimu ni 0 kichwani, unauliza mwanafunzi afanye nini? Haujui mwanafunzi yuko hapo kwa ajili ya kusoma? Mwanafunzi jukumu lake ni kusoma!
 
Yaani unauliza kwa akili ya kawaida? Umeshaenda hospitali ukakuta wagonjwa ndiyo wanafanya usafi? Acheni upuuzi, Wewe mwalimu hilo ni eneo lako la kazi, unatakiwa ufanyie usafi, Mwanafunzi kazi yake ni kusoma tu, Hiyo mitaala ya ziada iainishwe kwamba kwa kazi hizo za ziada malipo yafanyike kwa wanafunzi au makato yafanyike kwenye mishahara ya waalimu kwa kufanyiwa usafi na kazi zingine mnazoziita za ziada.
 
Ningekuwa Mwalimu kamwe nisingejihusisha na adabu kwa mwanafunzi, hakika ningefundisha wanaotaka, wasiotaka shauri ya wazazi na wao
Mnaongea tu hapa ,hamjui mazingira magumu wanayokutana nayo waalimu huko mashuleni , wewe ukitukanwa na kujibiwa majibu ya kashfa na hata kushambuliwa physically na hao madogo washenzi wasio na adabu kutokana na malezi mabovu utakaa umeangalia tu na kupotezea si ndio ?
Mnalea kizazi cha kishenzi sana ,na ndio maana hata kizazi kimekuwa cha ovyo na elimu imeshuka sana ,mnazalisha jamii ya watu bogus na washenzi wasiokuwa na adabu wala nidhamu na maadili katika jamii
 
Umeongea point ✅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…