Moshi: Mzazi ampiga na kumjeruhi mwalimu shuleni kwa kosa la kumuadhibu mwanae

Wahenzi nyie eti wanafunzi wakubwa wakubwa wanakupikia chai! Ole wako ole wako. nimeleta mtoto kusoma wewe umgeuze mke wa kukupikia chai? Dahh! Nimejikuta napata hasira mpaka natetemeka.

Wadau wa humu nadhani mmeona maoni ya mwl huyu LOTH HEMA, sasa kwa taarifa yenu Kuna walimu wengi sana wenye akili mbovu kama za huyu mwamba sasa mzazi ntakuwa nimefanya kosa kumzabua mabanzi na mitama mwl wa design hii kama akijichanganya kwa mwanangu?????
 
Walimu nao hawajielewi wangetoa mfano Kwa huyo mzazi Kwa kumuingilia na kumpiga mpaka anye Ili next time asiwepo mpumbavu mwingine wa kujaribu na kuthubutu kufanya kitendo kiovu kama hicho.Waalimu mjitahidi kujitetea wenyewe hebu acheni kulalamika Kila wakati muda mwingine mjitetee wenyewe.
 
Sawa sawa
 
Mnayapa malezi mabovu na ya kishenzi hayo mandondocha yenu halafu mnakuja kubwatuka hapa .
Hiyo tabia mbovu mwanafunzi anatoka nayo nyumbani anakuja nayo shule ,ni lazima anyooshwe .
Kama mnaona vipi pelekeni hiyo misukule yenu private
Na hata private huko kipondo na suspension Kwa matoto Makaidi huwa zinafanyika sana ,unless muwapeleke nje ya nchi
Acheni unafiki
Wewe umesomea wapi mpaka utake kuleta ushenzi wa kuwaponda walimu ?
Umelazimishwa kumpeleka huyo zezeta wako shule ,si uache ?
Uendelee kukaa naye hapo kwako ?
Pumbavu ,
Watanzania mjifunze kuheshimu Proffessions za watu .
 
ndo manake kina 'selemani" wanazidi kuwa wengi mtaani!!!
 
Ndio maana nashangaa huu ujinga wa wapi ?
Kama huyo mzazi aliona ni kosa ,angeenda polisi kushtaki , huu upuuzi sana
Hao waalimu wenzake maduwanzi sana ,wangemyoosha huyo pimbi
 
Hivyo vifaranga mlivyovitotoa halafu vinalala vinawachungulia mkizagamuana,havina adabu hata robo.wengine kwao hawajawahi kuona aina hiyo ya tabia mbovu eti mtoto wa shule atumwe akatae[emoji16][emoji16][emoji16].kama ana matatizo ni jukumu la mzazi kutoa taarifa siku anamuandikisha shuleni.sio kananyanyua mabega tu na kuvuta mdomo.


By the way ingekuwa sekondari angepewa mwanaye aende naye.
 
Sasa mgonjwa unamlinganisha na mwanafunzi!?
 
Wewe ni mpumbavu
Mna pesa ya kuwalipa wafanyakazi wa usafi ?
Kama ada tu mmeshindwa kulipa mpaka inaletwa programu ya elimu bure
Wewe umesoma shule gani hiyo ambayo waalimu huwa wanafanya kazi za usafi ?
Fool
Wewe ni Mpumbavu x 10, Nani kasema mzazi alipe hela? Mwalimu ndiye anatakiwa kulipa wafanyakazi wa usafi kwa kufanya usafi eneo lao la lazi, wakatwe kwenye mishahara yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…