Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
Mie pia najuaga wewe Ni Me eti ndio nimeshangaa hapo!Nami napenda liwavurugw hivyo hivyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mie pia najuaga wewe Ni Me eti ndio nimeshangaa hapo!Nami napenda liwavurugw hivyo hivyo
Wizo ushantisha kumbe unaweza kunibaka 😂😂😂Nimelitoa shambani 😂😂😂😂
Natamani ningekuwa mwalimu wa mwanaoYeah hapo ndio kunapoleta shida! Kupiga kichwani na sehemu nyingine !!
Mi mwenyewe mzaziii uchungu naujua vizuri sana mbona!
Juzi mwalimu kanipigia simu mwanao mkorofiiii anapiga watoto wenzie anawapokonya sijui vitu gani anavitupa mara juzi kamsukuma mwenzie hadi jino lilitaka kutoka ananiambia imekua too much namchapa mwili ukasisimkaaa🤠🤠
Nikaumiaa nikamtetea hapana usimchape sana mwalimu hao ni watoto wadogo ukute wanakua kwenye kucheza tu hawaelewi muelekeze taratibuu kesho alivoenda shule ndani nikamvalisha ki jeans kigumu 😁😁😂😂!
Namwambia mwl akikuchapa jikaze usilie !
Lamomy Jr shule ni mkorofi balaa
Aiseee!!! Ukizama piem ukimsomesha mtu anaingia line 😂😂😂Nami napenda liwavurugw hivyo hivyo
Mwalimu hajasomea kudeki amesomea kufundisha wanafunzi yaani transfer of knowledge. Achaga daharau kabisa . Kwa Tanzania wanafunzi ndio hudeki madarasa.Mwanafunzi kudeki shule kwani yeye analipwa na serikali hizi kazi za kudeki walimu ndio wafanye wao.
Mmxieeeeeeeeww!Why anakuwa mkorofi hivo??
Mbona baba yake anasemaga “Mambo yao waachie wenyewe” kwann asiige tabia za mshua wake Jr lakini?!!!
Baba ake mpole hata wampopoe yeye hajali maneno yake, “Binadamu wa siku hizi tatizo wabishi” 😂😂😂
Hebu mwambie aige Miongozo ya baba yake!!!
Jr mbona mkorofi jamani
Asante sana!!Mwalimu hajasomea kudeki amesomea kufundisha wanafunzi yaani transfer of knowledge. Achaga daharau kabisa . Kwa Tanzania wanafunzi ndio hudeki madarasa.
😂😂😂😂 Sasa si naweka sawa record udugu!!Mmxieeeeeeeeww!
Umenza bange zako uduguuu!
Na rekodi zako mfyuuu!!😏😂😂😂😂 Sasa si naweka sawa record udugu!!
Ndiyo kielelezoLkn mwalimu kufanya kazi ya usafi wakati mwanafunzi yupo hiyo naona sio sawa! Tutakua hatujawatendea haki walimu wetu, kikubwa ninachokiona kazi ziwe na kipimo, kazi ziwe za kumfundisha/kumjenga mtoto na sio kumkomoa.
Mimi ninachokipinga ni adhabu za kiuonezi na kikatiri kwa watoto wadogo zinazotolewa na walimu wasiojua maadili ya kazi zao
Kwa kikojoleo kipi nilichonacho kwa mfano?? 😂😂😂Wizo ushantisha kumbe unaweza kunibaka 😂😂😂
Looh miye member toka 2012 siwezi aisee.Aiseee!!! Ukizama piem ukimsomesha mtu anaingia line 😂😂😂
🤣🤣🤣🤣 udugu akeeee!!Na rekodi zako mfyuuu!!😏
Mnatakiwa muanze kudeki madarasa ili kuongeza TIJA katika elimuMwalimu hajasomea kudeki amesomea kufundisha wanafunzi yaani transfer of knowledge. Achaga daharau kabisa . Kwa Tanzania wanafunzi ndio hudeki madarasa.
Mbona umekuwa mpuuzi hivi tangu uolewe?Mwanafunzi kudeki shule kwani yeye analipwa na serikali hizi kazi za kudeki walimu ndio wafanye wao.
Wewe wa muda aisee!!Looh miye member toka 2012 siwezi aisee.
waalimu wanapiga sana watoto, hata mimi kuna mtoto alishawai pigwa vibaya sana na mwalimu, na niliwapatia shida sana wale walimu na shule nzima.Siku moja nilitoa kichapo kwa mwanafunzi mmoja wa kike wa darasa la kike baada ya kukataa kunipikia chai asubuhi. Baada ya kumchapa viboko kadhaa kwa ubishi wake alikimbia nyumbani kwao kumleta baba yake.
Mzazi alikuja amefura hasira mpaka nyumbani kwa walimu eneo la shule akakosa mwalimu yupi amshambulie kwa kuwa walimu tulichanganyikana huku wengine wakiwa ni watu wazima na wenye miili mikubwa iliyojazia. Mzazi alirudi nyumbani kwake huku akitoa ole wake huyo mwalimu aliyemchapa mtoto wake angepigana naye. Tangu siku hiyo niliona isiwe taabu kuwatumia wanafunzi kwenye shughuli zangu binafsi.
Kuna mkuu mmoja wa shule ni wa kike alikuwa ni mbabe, mzazi akijitia kiherehere kwenda shuleni kuleta fujo alikuwa anamkwida na kumzabatua makofi na ngumi huku akimuambia anampeleka polisi. Wazazi wengine shuleni hawaji ila watatengeneza manuever kumkomoa mwalimu aliyechapa watoto wao. Mwalimu anaweza kujikuta katundikwa juu ya mti kalala huko usiku wote kimazingara. Wengine hufanyiwa vitendo vya kishirikina usiku
Wewe bibi mbona umekuwa mpumbavu sana siku hizi?Inahusu nini mwanafunzi kudeki shule?
Bado tupo kijinga sana, akili za kitumwa.
Unalo utalibeba hilo la jinsiaWewe wa muda aisee!!
Hebu sema vzr sasa jinsia yako usituvuruge 😂😂😂
Si hilo hogo ulilosema 😂😂😂Kwa kikojoleo kipi nilichonacho kwa mfano?? 😂😂😂