last king of uscoch
JF-Expert Member
- Mar 21, 2015
- 2,728
- 3,980
Kutoka stand mpka,mawezi ni zaidi ya mita 500 Luna shamba hapo,Usafi sio kigezo manispaa gani inamashamba kilometa moja toka stand aisee ndani ya mashamba watu wanapika mbege na uzinzi unaendelea
Kibaka akikupora anakimbilia huko mashambani mtu anamiliki eneo heka mbili anajenga kanyumba kadogo kwingine analima mahindi ya bisi
Mlichagua upande wa pili ndo maana mkaachwa kupelekewa maendeleo...Serikali iko tayari kuruhusu hilo litokee moshi,ikiruhusu vitatokea
Good! Kuna stend mpya inajengwa...ila kwa stend nadhani inayoizidi hiyo ya zamani ni Ya Dar,moro,dom,Mpanda,singida BasiNimewahi kufika Moshi mara kadhaa, na ukweli wangu ni huu.
1. Ndio mji pekee hapa Tanzania niliowahi kuona watu wakichota maji bombani na kuyanywa moja kwa moja bila hata kuchemcha na mamlaka za maji na afya zinatoa muongozo huo kwa uhakika wa 100% kuwa maji ya moshi ni safi na salama. (Kwangu mimi hii ni ishara ya Usafi na ustaarabu wa kutunza mazingira).
2. Ni mji mdogo sana lakini uliojipanga vizuri kwa kiasi. Hakuna watu wengi sana na hakuna purukushani nyingi za kibiashara. Kiujumla ni mji wa kimaendeleo kuanzia mifumo ya maji safi na maji taka, barabara, hospitali, shule,vyuo nk.
3. Ni mji msafi na salama zaidi huenda kuliko mji wowote hapa Tanzania. Kwa sehemu kubwa nyakati za usiku huwezi kukutana na giza, maana kuna taa nyingi za barabarani, taa kutokea kwenye nyumba za watu binafsi na taasisi. Kuna hadi CCTV camera zimefungwa maeneo ya katikati ya mji. Uwepo wa chuo cha polisi (Police Academy) huenda kumezaa tabia za watu wake kujari mambo ya usalama.
4. Ni mji wenye joto kali nyakati fulani fulani kupita hata joto la Dar, kuwepo karibu na mlima Kilimanjaro hakujapunguza joto kabisa. Labda ni matokeo ya uharibifu wa mazingira kuzunguka mlima Kilimanjaro.
5. Moshi ina stendi ndogo ya kizamani ya mabasi ya mikoani. Ni stendi ya kishamba mnoo. Ni stendi iliyopo katikati ya mji, haina ofisi za wakatisha tiketi, sehemu ya abiria kungojea usafiri imejazwa meza za wakatisha tiketi na kila biashara imeshindiliwa hapo hapo stendi. Na ikifika saa nne usiku inafungwa! Ni miongoni mwa stendi mbovu zaidi za mabasi ya mikoani (labda inaizidi stendi ya Arusha na Manyara (Babati) maana nazo ni stendi za ovyo ovyo mnoo)
Sa hivi mbona kijani nchi nzimaMlichagua upande wa pili ndo maana mkaachwa kupelekewa maendeleo...
Nani kasema jangwa?
Ushaona jiji gani katikati ya jiji kuna mashamba ya mahindi?
Moja uchafu
Mbili makazi ya wezi
Tatu makazi ya wadudu na wanyama
Sahihi kabisa mjini mashamba hayafai kabisa niakazi ya vibaka na Nyoka ila vigezo vya jiji tusubiri wakuaji wajeNi Manispaa ya ajabu sana ukitembea mita 500 kutoka katikati ya mji unakutana na mashamba ya mahindi. Nyumba zimechanganyikana na mashamba
Iendelee tu kuwa Manispaa haifai kuwa jiji inapitwa mpaka na Kahama
Kutoka mosh tech mpaka mjin pana meter ngapi?Umewahi kufika moshi ama unasema tu weye maendeo ya karanga moshi tech hakuna mahindi ya bisi pale
Joto la moshi ni kutokana na location yake kutokea mlima Kilimanjaro. Moshi ipo kwenye leeward side ya mlima Kilimanjaro ndo maana hali yake ya hewa ipo hivyo na si kutokana na uharibifu wa mazingiraNimewahi kufika Moshi mara kadhaa, na ukweli wangu ni huu.
1. Ndio mji pekee hapa Tanzania niliowahi kuona watu wakichota maji bombani na kuyanywa moja kwa moja bila hata kuchemcha na mamlaka za maji na afya zinatoa muongozo huo kwa uhakika wa 100% kuwa maji ya moshi ni safi na salama. (Kwangu mimi hii ni ishara ya Usafi na ustaarabu wa kutunza mazingira).
2. Ni mji mdogo sana lakini uliojipanga vizuri kwa kiasi. Hakuna watu wengi sana na hakuna purukushani nyingi za kibiashara. Kiujumla ni mji wa kimaendeleo kuanzia mifumo ya maji safi na maji taka, barabara, hospitali, shule,vyuo nk.
3. Ni mji msafi na salama zaidi huenda kuliko mji wowote hapa Tanzania. Kwa sehemu kubwa nyakati za usiku huwezi kukutana na giza, maana kuna taa nyingi za barabarani, taa kutokea kwenye nyumba za watu binafsi na taasisi. Kuna hadi CCTV camera zimefungwa maeneo ya katikati ya mji. Uwepo wa chuo cha polisi (Police Academy) huenda kumezaa tabia za watu wake kujari mambo ya usalama.
4. Ni mji wenye joto kali nyakati fulani fulani kupita hata joto la Dar, kuwepo karibu na mlima Kilimanjaro hakujapunguza joto kabisa. Labda ni matokeo ya uharibifu wa mazingira kuzunguka mlima Kilimanjaro.
5. Moshi ina stendi ndogo ya kizamani ya mabasi ya mikoani. Ni stendi ya kishamba mnoo. Ni stendi iliyopo katikati ya mji, haina ofisi za wakatisha tiketi, sehemu ya abiria kungojea usafiri imejazwa meza za wakatisha tiketi na kila biashara imeshindiliwa hapo hapo stendi. Na ikifika saa nne usiku inafungwa! Ni miongoni mwa stendi mbovu zaidi za mabasi ya mikoani (labda inaizidi stendi ya Arusha na Manyara (Babati) maana nazo ni stendi za ovyo ovyo mnoo)
Hivi nyie vibororoni kwa nini mnafikiri anayesema vibaya moshi ni mtu wa bk...Reporter atakuwa yupo Katerero
Achana nae, mm mwenyewe wa huko huko kwao, ila Moshi pakishambaHivi nyie vibororoni kwa nini mnafikiri anayesema vibaya moshi ni mtu wa bk...
Jiamini aisee wahaya hawana time na nyinyi ..
Bukoba imetoka wap hapa[emoji848]Morogoro yenyewe haiingii kwa Moshi, huko kwenu bukoba ndo takataka kabisa, Bukoba haiwez kushindana hata na Boma ng'ombe
Nyie walau inalami...ushawaona stendi ya bukoba!ni huzuniNimewahi kufika Moshi mara kadhaa, na ukweli wangu ni huu.
1. Ndio mji pekee hapa Tanzania niliowahi kuona watu wakichota maji bombani na kuyanywa moja kwa moja bila hata kuchemcha na mamlaka za maji na afya zinatoa muongozo huo kwa uhakika wa 100% kuwa maji ya moshi ni safi na salama. (Kwangu mimi hii ni ishara ya Usafi na ustaarabu wa kutunza mazingira).
2. Ni mji mdogo sana lakini uliojipanga vizuri kwa kiasi. Hakuna watu wengi sana na hakuna purukushani nyingi za kibiashara. Kiujumla ni mji wa kimaendeleo kuanzia mifumo ya maji safi na maji taka, barabara, hospitali, shule,vyuo nk.
3. Ni mji msafi na salama zaidi huenda kuliko mji wowote hapa Tanzania. Kwa sehemu kubwa nyakati za usiku huwezi kukutana na giza, maana kuna taa nyingi za barabarani, taa kutokea kwenye nyumba za watu binafsi na taasisi. Kuna hadi CCTV camera zimefungwa maeneo ya katikati ya mji. Uwepo wa chuo cha polisi (Police Academy) huenda kumezaa tabia za watu wake kujari mambo ya usalama.
4. Ni mji wenye joto kali nyakati fulani fulani kupita hata joto la Dar, kuwepo karibu na mlima Kilimanjaro hakujapunguza joto kabisa. Labda ni matokeo ya uharibifu wa mazingira kuzunguka mlima Kilimanjaro.
5. Moshi ina stendi ndogo ya kizamani ya mabasi ya mikoani. Ni stendi ya kishamba mnoo. Ni stendi iliyopo katikati ya mji, haina ofisi za wakatisha tiketi, sehemu ya abiria kungojea usafiri imejazwa meza za wakatisha tiketi na kila biashara imeshindiliwa hapo hapo stendi. Na ikifika saa nne usiku inafungwa! Ni miongoni mwa stendi mbovu zaidi za mabasi ya mikoani (labda inaizidi stendi ya Arusha na Manyara (Babati) maana nazo ni stendi za ovyo ovyo mnoo)
Unazungumzia maendeleo yapi? Mashule? Mahospitali? Vyuo vikuu? Mabenki? Makanisa? Mabarabara? Uchumi wa watu? Kuondokana na ujinga au maghorofa?Moshi imebaki tu na kushika nafasi ya kwanza ya usafi lakini hakuendelei
Niliwahi enda kilimanjaro ile njia ya kupanda mlima kilimanjaro ukipitia kibosho. Tulikuwa na watu weng katka safari hiyo ila kilamtu alikuwa anastaajabu umeme ulopita kwenyemigomba ukifuata mijengo y haja.Unazungumzia maendeleo yapi? Mashule? Mahospitali? Vyuo vikuu? Mabenki? Makanisa? Mabarabara? Uchumi wa watu? Kuondokana na ujinga au maghorofa?
Mkuu wewe ni mwenyeji wa Moshi?Ni Manispaa ya ajabu sana ukitembea mita 500 kutoka katikati ya mji unakutana na mashamba ya mahindi. Nyumba zimechanganyikana na mashamba
Iendelee tu kuwa Manispaa haifai kuwa jiji inapitwa mpaka na Kahama
Watu wanafikiri Moshi vijijini ni porini kwa sababu ya migomba na miti mingi, bila kujua kwamba maeneo mengi ya Kilimanjaro vijijini ni RUR-URBS, yaani rural-urban au semi-urban.Niliwahi enda kilimanjaro ile njia ya kupanda mlima kilimanjaro ukipitia kibosho. Tulikuwa na watu weng katka safari hiyo ila kilamtu alikuwa anastaajabu umeme ulopita kwenyemigomba ukifuata mijengo y haja.
Ni migomban ila mijengo mizur. Umeme. Maji na barabara.
Weng tulistaajabu sana basi tukajifunza kitu kuhusu mkoa ule
AAAA KUMBE SAWA TUMEKUSIKIAA ,WEWE MOSHI UNAIJUA VIZR AU UNADHANI NI SAWA NA KIJIJINI KWENU AMBAPO HAKUNA HATA MAJINi Manispaa ya ajabu sana ukitembea mita 500 kutoka katikati ya mji unakutana na mashamba ya mahindi. Nyumba zimechanganyikana na mashamba
Iendelee tu kuwa Manispaa haifai kuwa jiji inapitwa mpaka na Kahama
Kwangu mimi, stendi ya kisasa iwe na sifa hizi.Good! Kuna stend mpya inajengwa...ila kwa stend nadhani inayoizidi hiyo ya zamani ni Ya Dar,moro,dom,Mpanda,singida Basi
Ndio mjini hapo?Umewahi kufika moshi ama unasema tu weye maendeo ya karanga moshi tech hakuna mahindi ya bisi pale