Moshi ndio Manispaa ya ovyo kushinda zote Afrika Mashariki

Usafi sio kigezo manispaa gani inamashamba kilometa moja toka stand aisee ndani ya mashamba watu wanapika mbege na uzinzi unaendelea
Kibaka akikupora anakimbilia huko mashambani mtu anamiliki eneo heka mbili anajenga kanyumba kadogo kwingine analima mahindi ya bisi
Kutoka stand mpka,mawezi ni zaidi ya mita 500 Luna shamba hapo,
 
Nimewahi kufika Moshi mara kadhaa, na ukweli wangu ni huu.
1. Ndio mji pekee hapa Tanzania niliowahi kuona watu wakichota maji bombani na kuyanywa moja kwa moja bila hata kuchemcha na mamlaka za maji na afya zinatoa muongozo huo kwa uhakika wa 100% kuwa maji ya moshi ni safi na salama. (Kwangu mimi hii ni ishara ya Usafi na ustaarabu wa kutunza mazingira).

2. Ni mji mdogo sana lakini uliojipanga vizuri kwa kiasi. Hakuna watu wengi sana na hakuna purukushani nyingi za kibiashara. Kiujumla ni mji wa kimaendeleo kuanzia mifumo ya maji safi na maji taka, barabara, hospitali, shule,vyuo nk.

3. Ni mji msafi na salama zaidi huenda kuliko mji wowote hapa Tanzania. Kwa sehemu kubwa nyakati za usiku huwezi kukutana na giza, maana kuna taa nyingi za barabarani, taa kutokea kwenye nyumba za watu binafsi na taasisi. Kuna hadi CCTV camera zimefungwa maeneo ya katikati ya mji. Uwepo wa chuo cha polisi (Police Academy) huenda kumezaa tabia za watu wake kujari mambo ya usalama.

4. Ni mji wenye joto kali nyakati fulani fulani kupita hata joto la Dar, kuwepo karibu na mlima Kilimanjaro hakujapunguza joto kabisa. Labda ni matokeo ya uharibifu wa mazingira kuzunguka mlima Kilimanjaro.

5. Moshi ina stendi ndogo ya kizamani ya mabasi ya mikoani. Ni stendi ya kishamba mnoo. Ni stendi iliyopo katikati ya mji, haina ofisi za wakatisha tiketi, sehemu ya abiria kungojea usafiri imejazwa meza za wakatisha tiketi na kila biashara imeshindiliwa hapo hapo stendi. Na ikifika saa nne usiku inafungwa! Ni miongoni mwa stendi mbovu zaidi za mabasi ya mikoani (labda inaizidi stendi ya Arusha na Manyara (Babati) maana nazo ni stendi za ovyo ovyo mnoo)
Good! Kuna stend mpya inajengwa...ila kwa stend nadhani inayoizidi hiyo ya zamani ni Ya Dar,moro,dom,Mpanda,singida Basi
 
Nani kasema jangwa?
Ushaona jiji gani katikati ya jiji kuna mashamba ya mahindi?
Moja uchafu
Mbili makazi ya wezi
Tatu makazi ya wadudu na wanyama
  • Makanisa kwenye maeneo za nyumba zakuishii ( pamoja na makelele hadi alfajiri)
  • Ukumbi za cinema zimekuwa Makanisa (pamoja na makelele siku/usiku nzima)
  • Mabajaj zimejaa zaidi ya Arusha n.k
  • Umeme unakatika hovyo
  • ?
 
Ni Manispaa ya ajabu sana ukitembea mita 500 kutoka katikati ya mji unakutana na mashamba ya mahindi. Nyumba zimechanganyikana na mashamba

Iendelee tu kuwa Manispaa haifai kuwa jiji inapitwa mpaka na Kahama
Sahihi kabisa mjini mashamba hayafai kabisa niakazi ya vibaka na Nyoka ila vigezo vya jiji tusubiri wakuaji waje
 
Hahindi hayo yapo wapi mkuu?
Anyway mtoa mada hujui mji wa moshi vizuri na huwezi ujua kwa kauli kama hizo.
Umejaa mipaka ya kufikiri. Acha watu wapande mahindi na migomba watu wapunguze njaa na wawe na akiba ya chakula cha december
 
Nimewahi kufika Moshi mara kadhaa, na ukweli wangu ni huu.
1. Ndio mji pekee hapa Tanzania niliowahi kuona watu wakichota maji bombani na kuyanywa moja kwa moja bila hata kuchemcha na mamlaka za maji na afya zinatoa muongozo huo kwa uhakika wa 100% kuwa maji ya moshi ni safi na salama. (Kwangu mimi hii ni ishara ya Usafi na ustaarabu wa kutunza mazingira).

2. Ni mji mdogo sana lakini uliojipanga vizuri kwa kiasi. Hakuna watu wengi sana na hakuna purukushani nyingi za kibiashara. Kiujumla ni mji wa kimaendeleo kuanzia mifumo ya maji safi na maji taka, barabara, hospitali, shule,vyuo nk.

3. Ni mji msafi na salama zaidi huenda kuliko mji wowote hapa Tanzania. Kwa sehemu kubwa nyakati za usiku huwezi kukutana na giza, maana kuna taa nyingi za barabarani, taa kutokea kwenye nyumba za watu binafsi na taasisi. Kuna hadi CCTV camera zimefungwa maeneo ya katikati ya mji. Uwepo wa chuo cha polisi (Police Academy) huenda kumezaa tabia za watu wake kujari mambo ya usalama.

4. Ni mji wenye joto kali nyakati fulani fulani kupita hata joto la Dar, kuwepo karibu na mlima Kilimanjaro hakujapunguza joto kabisa. Labda ni matokeo ya uharibifu wa mazingira kuzunguka mlima Kilimanjaro.

5. Moshi ina stendi ndogo ya kizamani ya mabasi ya mikoani. Ni stendi ya kishamba mnoo. Ni stendi iliyopo katikati ya mji, haina ofisi za wakatisha tiketi, sehemu ya abiria kungojea usafiri imejazwa meza za wakatisha tiketi na kila biashara imeshindiliwa hapo hapo stendi. Na ikifika saa nne usiku inafungwa! Ni miongoni mwa stendi mbovu zaidi za mabasi ya mikoani (labda inaizidi stendi ya Arusha na Manyara (Babati) maana nazo ni stendi za ovyo ovyo mnoo)
Joto la moshi ni kutokana na location yake kutokea mlima Kilimanjaro. Moshi ipo kwenye leeward side ya mlima Kilimanjaro ndo maana hali yake ya hewa ipo hivyo na si kutokana na uharibifu wa mazingira
 
Nimewahi kufika Moshi mara kadhaa, na ukweli wangu ni huu.
1. Ndio mji pekee hapa Tanzania niliowahi kuona watu wakichota maji bombani na kuyanywa moja kwa moja bila hata kuchemcha na mamlaka za maji na afya zinatoa muongozo huo kwa uhakika wa 100% kuwa maji ya moshi ni safi na salama. (Kwangu mimi hii ni ishara ya Usafi na ustaarabu wa kutunza mazingira).

2. Ni mji mdogo sana lakini uliojipanga vizuri kwa kiasi. Hakuna watu wengi sana na hakuna purukushani nyingi za kibiashara. Kiujumla ni mji wa kimaendeleo kuanzia mifumo ya maji safi na maji taka, barabara, hospitali, shule,vyuo nk.

3. Ni mji msafi na salama zaidi huenda kuliko mji wowote hapa Tanzania. Kwa sehemu kubwa nyakati za usiku huwezi kukutana na giza, maana kuna taa nyingi za barabarani, taa kutokea kwenye nyumba za watu binafsi na taasisi. Kuna hadi CCTV camera zimefungwa maeneo ya katikati ya mji. Uwepo wa chuo cha polisi (Police Academy) huenda kumezaa tabia za watu wake kujari mambo ya usalama.

4. Ni mji wenye joto kali nyakati fulani fulani kupita hata joto la Dar, kuwepo karibu na mlima Kilimanjaro hakujapunguza joto kabisa. Labda ni matokeo ya uharibifu wa mazingira kuzunguka mlima Kilimanjaro.

5. Moshi ina stendi ndogo ya kizamani ya mabasi ya mikoani. Ni stendi ya kishamba mnoo. Ni stendi iliyopo katikati ya mji, haina ofisi za wakatisha tiketi, sehemu ya abiria kungojea usafiri imejazwa meza za wakatisha tiketi na kila biashara imeshindiliwa hapo hapo stendi. Na ikifika saa nne usiku inafungwa! Ni miongoni mwa stendi mbovu zaidi za mabasi ya mikoani (labda inaizidi stendi ya Arusha na Manyara (Babati) maana nazo ni stendi za ovyo ovyo mnoo)
Nyie walau inalami...ushawaona stendi ya bukoba!ni huzuni
 
Unazungumzia maendeleo yapi? Mashule? Mahospitali? Vyuo vikuu? Mabenki? Makanisa? Mabarabara? Uchumi wa watu? Kuondokana na ujinga au maghorofa?
Niliwahi enda kilimanjaro ile njia ya kupanda mlima kilimanjaro ukipitia kibosho. Tulikuwa na watu weng katka safari hiyo ila kilamtu alikuwa anastaajabu umeme ulopita kwenyemigomba ukifuata mijengo y haja.
Ni migomban ila mijengo mizur. Umeme. Maji na barabara.
Weng tulistaajabu sana basi tukajifunza kitu kuhusu mkoa ule
 
Ni Manispaa ya ajabu sana ukitembea mita 500 kutoka katikati ya mji unakutana na mashamba ya mahindi. Nyumba zimechanganyikana na mashamba

Iendelee tu kuwa Manispaa haifai kuwa jiji inapitwa mpaka na Kahama
Mkuu wewe ni mwenyeji wa Moshi?
 
Watu wanafikiri Moshi vijijini ni porini kwa sababu ya migomba na miti mingi, bila kujua kwamba maeneo mengi ya Kilimanjaro vijijini ni RUR-URBS, yaani rural-urban au semi-urban.
 
Ni Manispaa ya ajabu sana ukitembea mita 500 kutoka katikati ya mji unakutana na mashamba ya mahindi. Nyumba zimechanganyikana na mashamba

Iendelee tu kuwa Manispaa haifai kuwa jiji inapitwa mpaka na Kahama
AAAA KUMBE SAWA TUMEKUSIKIAA ,WEWE MOSHI UNAIJUA VIZR AU UNADHANI NI SAWA NA KIJIJINI KWENU AMBAPO HAKUNA HATA MAJI
 
Good! Kuna stend mpya inajengwa...ila kwa stend nadhani inayoizidi hiyo ya zamani ni Ya Dar,moro,dom,Mpanda,singida Basi
Kwangu mimi, stendi ya kisasa iwe na sifa hizi.
1. Uwezo wa kumudu idadi kubwa ya mabasi ya mikoani kwa mara moja (Kwa stendi ya moshi hapana, upande wa kulia wameweka stendi ya coaster za Arusha, noah za Rombo na upande wa kushoto ndio rasmi kwa mabasi ya mikoani(masafa) lakini bado utakutana na coaster na Hiace za kwenda Kibosho, Mwanga. Ni fujo tupu.

2. Sehemu ya abiria pumzika kwa nafasi, uhuru na usalama. (Kwa stendi ya moshi hakuna)

3. Ofisi rasmi za makampuni ya mabasi (kwa stendi ya moshi hakuna)

4. Huduma za vyoo vya kisasa na mabafu (huduma ya vyoo ipo lakini sio vya kisasa au unadhifu)

Kuhusu Moshi kujenga stendi mpya ya kisasa (sijui maeneo ya majengo? Nami najua majengo ni maeneo ya karibu na katikati ya mji) hilo nalo ni hadithi ya miaka mingi mnoo, huenda ni jambo lisiloweza kutekelezeka, nilipofika 2010 niliambiwa hivyo, 2014 nikaambiwa hivyo, 2018 hadithi ni hiyo hiyo, November 2021 hadithi ni hiyo hiyo. Nilipochunguza nikagundua kuwa, kumbe ile stendi ya sasa ni kitega uchumi cha wajanja wa manispaa na madiwani wa CCM, wanavuta pesa nzuri kila mwezi kwa watu waliopangisha, siku stendi mpya ikijengwa tu na ulaji wao utakuwa umekwisha, na hawako tayari kwa hilo.
 
Back
Top Bottom