EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Umeambiwa manispaa sio mkoa mbona unafeli?Angalia hapo alafu fananisha na kikahama chako.. Hadi Mwanza inakimbizwa kwa kuchangia kodi kubwa.. Una lingine??
View attachment 2220764
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeambiwa manispaa sio mkoa mbona unafeli?Angalia hapo alafu fananisha na kikahama chako.. Hadi Mwanza inakimbizwa kwa kuchangia kodi kubwa.. Una lingine??
View attachment 2220764
Kahama imefanana na Michigan city.Mkuu unaongelea hichi kijiji kilichochangamka hahahahaha.. Sasa hapa si kama Masasi au Tunduru tu.
Hichi kimji hata Njombe hamuifikii..
View attachment 2221502
Mbona wewe unapenda matusi sana ?Weka picha acha hadithi za kijinga.
Matusi gani?Mbona wewe unapenda matusi sana ?
Kwa hiyo wanaoishi pale siyo watu ?Hakuna kitu kule wewe,tulishaishindanisha na Njombe ikashindwa ndio ije kushindana na Moshi?
Like ni gulia lilipchangamka ila sio Mji wa kuishi.
We nawe. Mbona huku kwetu sijaona mchaggaNaona ulipata demu wa kichaga akakupiga za kichwa unakuja kutolea hasira zako uku wachaga ndyo wameendeleza maeneo mengi kwenye hii nchii wamewaletea maduka Hadi uko kijijini kwenu punguza makasiriko tafuta pesa
Wanaweka makaburi adi milangoni sijui huwa ni ya kutambika.Bora ata wana lima mahindi japo wana nikwaza kila nyumba ina makaburi ...uki sogea pale Arusha kuna hadi migomba ya ndizi kati kati ya jiji.....full mashamba ya ndizi
Hmmm, hamjawahi hata kufikiriwa, tulianza kuwa Manispaa kabla yenu na tutakuwa jiji kabla yenuSisi kama halmashauri ya manispaa kubwa ya kahama tusema tutapata hadhi ya jiji kabla yenu nyinyi wanywa mbege.
Acha kujitakasa na kujiona wewe mtakatifu sana, kila mtu ni mdhambiData za TRA zinakusaidia nini wewe mlevi wa moshi.
Yaani unabishana kuhusu maendeleo ya miji halafu hujui umuhimu wa data?Data za TRA zinakusaidia nini wewe mlevi wa moshi.
Niambie cheupeee mtoto mwenye midomo kma chchunge njoo unyonyee🍆Acha utoto mtoto mzuri mwenye paja laini kama watoto wa walamba asali.
Kiongozi usije ukachukulia kila kitu humu ni serious shauri yako😂😂😂Acha kujitakasa na kujiona wewe mtakatifu sana, kila mtu ni mdhambi
Halafu hicho ulichotaja kinahusiana nini na mada? Staarabika, jenga hoja, acha kutokwa na maneno tu kama shangingi
Nawakubali sana Mangosha lakini naona wewe unataka kunitengenezea picha mpya, mtu Kanda ya Ziwa unakuwaje na mipasho?
😃😃😃😃😃huku ni kuvimbianaKiongozi usije ukachukulia kila kitu humu ni serious shauri yako😂😂😂
Hata Moshi imefanana na NYKahama imefanana na Michigan city.
Tuendeleze ligi manOyaa tuache ujinga tujenge hoja😂😂😂
Unazingua sana Ngosha [emoji23]Oyaa tuache ujinga tujenge hoja[emoji23][emoji23][emoji23]
SawaKiongozi usije ukachukulia kila kitu humu ni serious shauri yako[emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa kwa akiIi yako Mkoa wa Kilimanjaro kodi kubwa hapo itapatikana wapi zaidi ya Manispaa ya Moshi??Umeambiwa manispaa sio mkoa mbona unafeli?
Halafu mbona username yako kama wee mwenyeji wa Mbeya hiviOyaa tuache ujinga tujenge hoja[emoji23][emoji23][emoji23]