Ikitokea fairness upinzani watapata viti vingi kama 2010/2015Wapiga kura wengi huwa hawafuatilii kampeni za vyama vya siasa.
Unadhani kuna uwezekano wa wao kuchagua wagombea kwa kusikiliza hoja zao.
Binafsi naona, kwa asilimia kubwa wapiga kura huchagua kwasababu ya vyama vya wagombea na sio hoja za wagombea wa vyama vyao.
Chadema walitaka wasikilizwe kabla ya kwenda TCDUnajua mkuu Kuna vitu vinashangaza Sana ,,wakati ACT inahudhuria vile vikao vya mukandala CHADEMA walishambulia Sana lkn leo wao wamegeuka kuwa wasifiaji kuliko ACT ipi ilikuwa Hoja ya Chadema kukataa ?? Hii Ni double standards.... Tutakuja kufukua hizi nyuzi...
Ushirikiano uliopo kati ya Dr. Samia na CDM unamtenga yeyote mwenye ndoto ya kuwa Rais kupitia chama hicho (CDM).Wajinga Kama mmawia hawajui hili ... Mimi sitoshangaa ikiwa TAL atazikacha hizi siasa za Akina mmawia ...
Hizo siasa za Shukrani zinamjenga zaidi Samia kuliko Chadema na 2025 ...hakuna usawishi wataoueleza kwa wananchi...
Uhusiano wa CDM, ACT na Dr. Samia ni sawa na ndoa ya mitaala.Unajua mkuu Kuna vitu vinashangaza Sana ,,wakati ACT inahudhuria vile vikao vya mukandala CHADEMA walishambulia Sana lkn leo wao wamegeuka kuwa wasifiaji kuliko ACT ipi ilikuwa Hoja ya Chadema kukataa ?? Hii Ni double standards.... Tutakuja kufukua hizi nyuzi...
Hii ndio Hoja ya msingi lkn baadae wasije kuwalalamikia wananchi,, halafu Kuna KIJANA mmoja humu anaanza kutukana watu hovyo kwa kujiona yeye ana akili Sana kuliko ccm.Kweli CDM wamefanikiwa kutengeneza mazingira mazuri na serikali kuliko na wananchi.
Usawa ndio huu anaotengeneza Dr. Samia bado haitakuwa rahisi kwa wapinzani kushinda viti vingi (kwa umoja wao) ukilinganisha na CCM kwa sababu niliyoileza hapo awali.Ikitokea fairness upinzani watapata viti vingi kama 2010/2015
hii si sawa wasingeliiweka.Wimbo unasema ccm inauwa watu
nani huyohalafu Kuna KIJANA mmoja humu anaanza kutukana watu hovyo kwa kujiona yeye ana akili Sana kuliko ccm.
CCM bado watakuwa na uwakilishi wa zaidi ya Wabunge 200Usawa ndio huu anaotengenezwa Dr. Samia bado haitakuwa rahisi kwa wapinzani kushinda viti vingi (kwa umoja wao) ukilinganisha na CCM kwa sababu niliyoileza hapo awali.
Sasa kwa mpango huu Nani atamsemea mwananchi? Kazi ya UPINZANI Ni kuibana serikali ..ukiona Hali ipo hivi ujue Sasa mbovu mbovu tuUhusiano wa CDM, ACT na Dr. Samia ni sawa na ndoa ya mitaala.
CDM na ACT lengo lao ni moja. Chama kimoja wapo hakitamani Chama kingine kiwe na mahusiano yenye tija na serikali.
Haaaah kwahiyo nyie viongozi wenu wa chama chenu waendelee kupata tu ruzuku,hamtaki kuongoza dola?Samia ningekuwa mume wake Leo ningempa staili zote,
Samia 5 tena!!!!!!
Mmawia yupo overrated Sana ,,nani huyo
Haaaah kwahiyo nyie viongozi wenu wa chama chenu waendelee kupata tu ruzuku,hamtaki kuongoza dola?Samia ningekuwa mume wake Leo ningempa staili zote,
Samia 5 tena!!!!!!
How brother? mmawia ni jina fake sasa ,....anyway sijuiMmawia yupo overrated Sana ,,
Amejigeuza kuwa EtwegeHow brother? mmawia ni jina fake sasa ,....anyway sijui
Unaamua kujitoa ufahamu, Unauhakika kama uchaguzi ule usingevurugwa na ndugu yako Magufuli kusingekuwa wawakilishi wakutosha?Hizi kura za hawa wanachama huwa zinakwendaga wapi?!.
Ni ulikuwa ngome enzi zile, sasa Chadema haina tena mbunge hata mmoja!, hii ni ngome gani?.
P
Sahihi.CCM bado watakuwa na uwakilishi wa zaidi ya Wabunge 200
Ujue 2020 bila figisu Magufuli asingepata hata 50%?Sahihi.
Huku wakiwa na uhakika wa ushindani goigoi katika nafasi ya Urais.