Moshi: Yanayojiri katika Kongamano la BAWACHA Siku ya Wanawake Duniani Machi 3, 2023; Rais Samia mgeni rasmi

Moshi: Yanayojiri katika Kongamano la BAWACHA Siku ya Wanawake Duniani Machi 3, 2023; Rais Samia mgeni rasmi

Wapiga kura wengi huwa hawafuatilii kampeni za vyama vya siasa.

Unadhani kuna uwezekano wa wao kuchagua wagombea kwa kusikiliza hoja zao.

Binafsi naona, kwa asilimia kubwa wapiga kura huchagua kwasababu ya vyama vya wagombea na sio hoja za wagombea wa vyama vyao.
Ikitokea fairness upinzani watapata viti vingi kama 2010/2015
 
Unajua mkuu Kuna vitu vinashangaza Sana ,,wakati ACT inahudhuria vile vikao vya mukandala CHADEMA walishambulia Sana lkn leo wao wamegeuka kuwa wasifiaji kuliko ACT ipi ilikuwa Hoja ya Chadema kukataa ?? Hii Ni double standards.... Tutakuja kufukua hizi nyuzi...
Chadema walitaka wasikilizwe kabla ya kwenda TCD
 
Samia ametumia Siasa kweli kuwa kamata Chadema 😀😀............baada mtakuja kuelewa saizi ni ngumu sana......Juzi Samia kasema Lema afutiwe kesi zote ila sijasikia popote pale kusema mama ameingilia Muhimili wa Mahakama,Siasa za Tz kila mtu anaangalia maslahi yake kwanza.........kesi ambazo zilikuwa mahakamani,Rais angeweza kutoa kimemo tu.....ila huwezi sikia kwasababu ni faida ya watu fulani.
 
Wajinga Kama mmawia hawajui hili ... Mimi sitoshangaa ikiwa TAL atazikacha hizi siasa za Akina mmawia ...

Hizo siasa za Shukrani zinamjenga zaidi Samia kuliko Chadema na 2025 ...hakuna usawishi wataoueleza kwa wananchi...
Ushirikiano uliopo kati ya Dr. Samia na CDM unamtenga yeyote mwenye ndoto ya kuwa Rais kupitia chama hicho (CDM).

Kweli CDM wamefanikiwa kutengeneza mazingira mazuri na serikali kuliko na wananchi.

Miaka mingi turufu ya CDM kwenye chaguzi imekuwa ni falsafa yake ya kutoafikiana yaani 'kupinga kila kitu kinachonadiwa na CCM'

Mabadiliko haya ya ghafla ya falsafa sidhani kama yanafaida kubwa kwa CDM kuliko CCM.

Uchaguzi wa 2025 utakuwa mwepesi kwa CCM ukilinganishwa na uchaguzi wa 2020.
 
Unajua mkuu Kuna vitu vinashangaza Sana ,,wakati ACT inahudhuria vile vikao vya mukandala CHADEMA walishambulia Sana lkn leo wao wamegeuka kuwa wasifiaji kuliko ACT ipi ilikuwa Hoja ya Chadema kukataa ?? Hii Ni double standards.... Tutakuja kufukua hizi nyuzi...
Uhusiano wa CDM, ACT na Dr. Samia ni sawa na ndoa ya mitaala.

CDM na ACT lengo lao ni moja. Chama moja wapo kati yao, hakitamani Chama kingine kiwe na mahusiano yenye tija na serikali (Dr. Samia).
 
Kweli CDM wamefanikiwa kutengeneza mazingira mazuri na serikali kuliko na wananchi.
Hii ndio Hoja ya msingi lkn baadae wasije kuwalalamikia wananchi,, halafu Kuna KIJANA mmoja humu anaanza kutukana watu hovyo kwa kujiona yeye ana akili Sana kuliko ccm.
 
Ikitokea fairness upinzani watapata viti vingi kama 2010/2015
Usawa ndio huu anaotengeneza Dr. Samia bado haitakuwa rahisi kwa wapinzani kushinda viti vingi (kwa umoja wao) ukilinganisha na CCM kwa sababu niliyoileza hapo awali.
 
Usawa ndio huu anaotengenezwa Dr. Samia bado haitakuwa rahisi kwa wapinzani kushinda viti vingi (kwa umoja wao) ukilinganisha na CCM kwa sababu niliyoileza hapo awali.
CCM bado watakuwa na uwakilishi wa zaidi ya Wabunge 200
 
Uhusiano wa CDM, ACT na Dr. Samia ni sawa na ndoa ya mitaala.

CDM na ACT lengo lao ni moja. Chama kimoja wapo hakitamani Chama kingine kiwe na mahusiano yenye tija na serikali.
Sasa kwa mpango huu Nani atamsemea mwananchi? Kazi ya UPINZANI Ni kuibana serikali ..ukiona Hali ipo hivi ujue Sasa mbovu mbovu tu
 
Kamanda ni Kamanda tu hata ujifiche vipi, wa Kanisani
IMG_20230308_123104.jpg
 
Hizi kura za hawa wanachama huwa zinakwendaga wapi?!.

Ni ulikuwa ngome enzi zile, sasa Chadema haina tena mbunge hata mmoja!, hii ni ngome gani?.
P
Unaamua kujitoa ufahamu, Unauhakika kama uchaguzi ule usingevurugwa na ndugu yako Magufuli kusingekuwa wawakilishi wakutosha?
 
CCM bado watakuwa na uwakilishi wa zaidi ya Wabunge 200
Sahihi.

Huku wakiwa na uhakika wa ushindani goigoi katika nafasi ya Urais. Hata ikitokea Dr. Samia hajawania nafasi hiyo.
 
Back
Top Bottom