Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Majibu ya kijinga kwa kukosa ushahidi. Waambie wavimba macho wenzako.Hapa ukileta tamko la kijinga lisilo na ushahidi lazima uhojiwe.Na burden of proof unayo wewe.Hutaki Unaacha
Hongera sana kwa comment bora yenye nia njema ya uponyaji wa misuguano ya kisiasa hapa nchini.sisi washabiki wa vyama tunapaswa tutambue na tuelewe kuwa siasa sio uadui wala kuchukiana.
RAIS Dr. Samia ni Rais wa watanzania wote bila kujali unachama au huna
Hakika Rais anaonyesha demokrasia ya kweli kwa vitendo hivyo hatuna budi kufuata nyayo zake, haswa kwa viongozi wa vyama vya upinzani,
Ukionyeshwa wema tenda wema tuache unafiki.
Hakika Mungu ni mwema daima kwa viumbe wake .Angekuwepo shwetaani wa afrika, ukumbi wangejazwa FFU wakiwa na mabom, mbwa, bunduki na washawasha.
lakn leo mama anaenda na kalamu na notibuku ili kuchukua changamoto za watanzania wenzake ambao ni wanachama wa chadema na anazitatua.
maRPC na OCDs watapeana mikono na makamanda wenzao wa heshima wa chadema badala ya kuwachota tanganyika jeki na kuwasukuma ndani.
MAMA TUNAOMBA MAOFISA WOTE WALIOKUWA WANATUMIWA NA SHETANI WA AFRIKA UWAKAMATE NA KUWASWEKA LUPANGO.
Kwanini tusikuone wewe ndiye tapeli wa kisiasa?Haya maigizo ya SAA 100 bila katiba ya wananchi ya jaji Warioba ni Bure
SAA 100 akirudisha mchakato wa katiba mpya ya jaji warioba ndio nitamuona kweli yeye na CCM yake wamedhamilia kubadilika (maridhiano) zaidi ya hapo ni utapeli
Yapi anayoyafanya ewe mpumbavu?Yani anayoyafanya rais samia yanafanya nilione lile jitu lilikuwa na laana !! Mungu akupe maisha marefu rais wangu.
Endelea kulia lia sisi tunasonga mbele , nishakupuuzaMajibu ya kijinga kwa kukosa ushahidi. Waambie wavimba macho wenzako.Hapa ukileta tamko la kijinga lisilo na ushahidi lazima uhojiwe.Na burden of proof unayo wewe.
Tatizo nyie wanasiasa mnatuona sisi wananchi kuwa wajinga Sana. Ccm hawezi kufanya kitu kisichomnufaisha. Sisi tunajua ikifika kipindi Cha uchaguzi CCM huvaa joho lake, hayo mnayoita maridhiano msije kuyakataa 2025.Hayo ndio matokeo ya maridhiano, pale unapoambiwa na mwenzio siasa sio uadui, hapo mnaanza kukaribishana mpaka nyumbani, ajabu wanafiki wanataka hayo maridhiano yasihusishe ruzuku hata kama ipo kisheria, lakini yaguse pengine pote.
Roho inakuuma sana, haya yote ni mipango ya Mungu kwani Mungu wetu ni Mungu wa amani na ndio maana nchi ina amani.Hahaha.... Ccm b
Hizi ndoto mnazoota na wenzako ni aibu kwa taifa, talk is cheap!.Sasa ni rasmi, Chadema tumeidhibiti, nimekutana na mwana CDM kavaa shati ya CCM, chini sketi ya kitenge ya chadema.
Skills zinazotumika na SSH ni za kiwango Cha juu sana kisiasa, Sasa CDM ni sawa na idara ya CCM
We set the agenda, CDM followsHizi ndoto mnazoota na wenzako ni aibu kwa taifa, talk is cheap!.
Waramba miguu wote wa lumumba leo hii ni msiba mkubwa kwao.Endelea kulia lia sisi tunasonga mbele , nishakupuuza