Moshi: Yanayojiri katika Kongamano la BAWACHA Siku ya Wanawake Duniani Machi 3, 2023; Rais Samia mgeni rasmi

Moshi: Yanayojiri katika Kongamano la BAWACHA Siku ya Wanawake Duniani Machi 3, 2023; Rais Samia mgeni rasmi

Hutaki Unaacha
Majibu ya kijinga kwa kukosa ushahidi. Waambie wavimba macho wenzako.Hapa ukileta tamko la kijinga lisilo na ushahidi lazima uhojiwe.Na burden of proof unayo wewe.
 
sisi washabiki wa vyama tunapaswa tutambue na tuelewe kuwa siasa sio uadui wala kuchukiana.

RAIS Dr. Samia ni Rais wa watanzania wote bila kujali unachama au huna
Hakika Rais anaonyesha demokrasia ya kweli kwa vitendo hivyo hatuna budi kufuata nyayo zake, haswa kwa viongozi wa vyama vya upinzani,
Ukionyeshwa wema tenda wema tuache unafiki.
Hongera sana kwa comment bora yenye nia njema ya uponyaji wa misuguano ya kisiasa hapa nchini.
 
Angekuwepo shwetaani wa afrika, ukumbi wangejazwa FFU wakiwa na mabom, mbwa, bunduki na washawasha.

lakn leo mama anaenda na kalamu na notibuku ili kuchukua changamoto za watanzania wenzake ambao ni wanachama wa chadema na anazitatua.

maRPC na OCDs watapeana mikono na makamanda wenzao wa heshima wa chadema badala ya kuwachota tanganyika jeki na kuwasukuma ndani.

MAMA TUNAOMBA MAOFISA WOTE WALIOKUWA WANATUMIWA NA SHETANI WA AFRIKA UWAKAMATE NA KUWASWEKA LUPANGO.
Hakika Mungu ni mwema daima kwa viumbe wake .

Kama taifa tulikwama na hatukuwa na mahala pa kukimbilia bali tulimshitakia Mungu wa mbinguni
 
Haya maigizo ya SAA 100 bila katiba ya wananchi ya jaji Warioba ni Bure

SAA 100 akirudisha mchakato wa katiba mpya ya jaji warioba ndio nitamuona kweli yeye na CCM yake wamedhamilia kubadilika (maridhiano) zaidi ya hapo ni utapeli
Kwanini tusikuone wewe ndiye tapeli wa kisiasa?
 
Yani anayoyafanya rais samia yanafanya nilione lile jitu lilikuwa na laana !! Mungu akupe maisha marefu rais wangu.
Yapi anayoyafanya ewe mpumbavu?

Hayo anayofanya yanapunguza mfumuko wa bei uliolipuka hapa nchini?
 
Hayo ndio matokeo ya maridhiano, pale unapoambiwa na mwenzio siasa sio uadui, hapo mnaanza kukaribishana mpaka nyumbani, ajabu wanafiki wanataka hayo maridhiano yasihusishe ruzuku hata kama ipo kisheria, lakini yaguse pengine pote.
Tatizo nyie wanasiasa mnatuona sisi wananchi kuwa wajinga Sana. Ccm hawezi kufanya kitu kisichomnufaisha. Sisi tunajua ikifika kipindi Cha uchaguzi CCM huvaa joho lake, hayo mnayoita maridhiano msije kuyakataa 2025.

Yaani unasikiliza hotuba ya kiongozi wa UPINZANI halafu Haina tofauti na hotuba ya mwanaccm. Huo Ni uto to..

Mkiambiwa mmelewa Asali mnakuwa wakali..
 
Sasa ni rasmi, Chadema tumeidhibiti, nimekutana na mwana CDM kavaa shati ya CCM, chini sketi ya kitenge ya chadema.

Skills zinazotumika na SSH ni za kiwango Cha juu sana kisiasa, Sasa CDM ni sawa na idara ya CCM
 
Hahaha.... Ccm b
Roho inakuuma sana, haya yote ni mipango ya Mungu kwani Mungu wetu ni Mungu wa amani na ndio maana nchi ina amani.

Aliyempa Mama Samia kuwa Rais ni Mungu pekee na sio mwanadamu na ndio maana mafirauni na wasiopenda amani huwa wanashangazwa sana na yale anayoyafanya Mh. Rais.

Niseme, kipindi cha giza kilishapita
 
Sasa ni rasmi, Chadema tumeidhibiti, nimekutana na mwana CDM kavaa shati ya CCM, chini sketi ya kitenge ya chadema.

Skills zinazotumika na SSH ni za kiwango Cha juu sana kisiasa, Sasa CDM ni sawa na idara ya CCM
Hizi ndoto mnazoota na wenzako ni aibu kwa taifa, talk is cheap!.
 
Kuna wimbo unapigwa hapo ukumbini ni ujinga mtupu hata alieuweka sijui ninani !! Mfike Mahali mjitambue ... Wimbo unasema ccm inauwa watu !! Is it make sense?
 
Endelea kulia lia sisi tunasonga mbele , nishakupuuza
Waramba miguu wote wa lumumba leo hii ni msiba mkubwa kwao.

Hakika leo kila mpenda amani na umoja na mshikamano lazima atakuwa anatokwa na machozi ya furaha.

Hongera sana mama yetu kipenzi na mh Mbowe kipenzi cha watanzania.
 
Back
Top Bottom