Mossad delivers 100,000 coronavirus test kits to Israel overnight

Mossad delivers 100,000 coronavirus test kits to Israel overnight

Yaani taifa teule halina kiwanda Cha testing kits mpaka wanatumia mossad kwenda kuingiza kimagendo.
Wanatafuta namna ya kujiondoa kwenye lawama wanazotuhumiwa nazo na mshirika wake kuhusu janga!
 
Duh...!. Tiss wetu watakuwa wako busy kudukua simu za watu na kufuatilia mitandaoni nani ka comment nini kuhusu Corona!.

P
Hata wewe hujui role za TISS au unafuata mkumbo tu mkuu?

Niambie sheria ya iliyosabisha uuzishwaji wa TISS inaruhusu ku publish kwa UMMA(public) TASKS yoyote kama walishafeli au kufanikiwa?
 
Hakuna cha literature hapo....!!! Kwani huu ni ukumbi wa Lugha!?(yaani jukwaa la lugha)?. Uzi umewekwa kwenye jukwaa la kupashana habari na si vinginevyo. Kukiri udhaifu ni hatua moja kuimarika na kuwa madhubuti. Leta hoja nyingine.
Kwani fasihi (Literature) haiwezi kukupasha habari? Mimi nilivyosoma nilifundishwa kwamba moja ya lengo kuu la fasihi (Literature) ni kuhabarisha. Wewe mwenzangu ulifundishwa tofauti?
 
Kwa mujibu wa motto isiyo rasmi ya Mkuu, Paskalli Mayalla, inasema "...kuleta habari yoyote iwe tetesi ama ya ukweli na kudhibitika hapa JF ni kufanikisha ile dhana ya privilege ama haki ya mwana JF kuwa the First to Know...". Sasa kama taarifa inayodokezwa inapokuja kuwa kinyume na dokezo...basi hiyo inaharibu maana nzima ya "...be the First to Know..." na kuwa be the first to be confused and agitated...". Na hii si privilege tena bali problem.


Tufanye ulipata shida baada ya kusoma heading, Je hata uliposoma habari yenyewe bado tu unapata shida?

Lakini kumbuka pia JF is home of great Thinkers
 
Njia pekee ya kukabiliana na Corona ni testing testing testing isolation. Taifa "teule" wapo makini.
 
No one can tell nani anadukuliwa na nani hadukuliwi, when they have reasons kukudukuwa, unadukuliwa, mimi hata nikidukuliwa hawapati kitu kwasababu mimi ni Mzalendo wa kweli wa taifa hili
P
Wakikudukua na kukuta comment yako ya hapo juu lazima wakuandikie ka memo wakabandike kwenye tendego la kitanda chako,ila hata wewe sikuamini amini!![emoji849]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wa huku kwetu wanatembea vifua mbere tu,na mibunduki yao.
Uzuri Corona haina macho,wala
uoga,inampata yoyote awae.
 
Mbona uzi kama una vichwa viwili visivyofanana?

ˡ ˡⁱᵏᵉ ᵇⁱᵍ⁻ᵗⁱᵗᵗʸ ʷᵒᵐᵃⁿ [emoji377]
 
Hata wewe hujui role za TISS au unafuata mkumbo tu mkuu?

Niambie sheria ya iliyosabisha uuzishwaji wa TISS inaruhusu ku publish kwa UMMA(public) TASKS yoyote kama walishafeli au kufanikiwa?
Kwenye sauti za akina Nape,wamefeli sana hawa TISS!
 
Msidhihaki taasisi muhimu/nyeti kama hii TISS jamani. Hii taasisi haina chama na ina wazalendo vindakindaki. Huwezi kuwa katika hii taasisi ikiwa hauna uzalendo. They are doing a great job like never before and they are working day and night to intelligently secure the country. Mzizodoe. Naomba kuwasilisha.
 
Back
Top Bottom