TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Wanatafuta namna ya kujiondoa kwenye lawama wanazotuhumiwa nazo na mshirika wake kuhusu janga!Yaani taifa teule halina kiwanda Cha testing kits mpaka wanatumia mossad kwenda kuingiza kimagendo.
Hata wewe hujui role za TISS au unafuata mkumbo tu mkuu?Duh...!. Tiss wetu watakuwa wako busy kudukua simu za watu na kufuatilia mitandaoni nani ka comment nini kuhusu Corona!.
P
Kwani fasihi (Literature) haiwezi kukupasha habari? Mimi nilivyosoma nilifundishwa kwamba moja ya lengo kuu la fasihi (Literature) ni kuhabarisha. Wewe mwenzangu ulifundishwa tofauti?Hakuna cha literature hapo....!!! Kwani huu ni ukumbi wa Lugha!?(yaani jukwaa la lugha)?. Uzi umewekwa kwenye jukwaa la kupashana habari na si vinginevyo. Kukiri udhaifu ni hatua moja kuimarika na kuwa madhubuti. Leta hoja nyingine.
Kwa mujibu wa motto isiyo rasmi ya Mkuu, Paskalli Mayalla, inasema "...kuleta habari yoyote iwe tetesi ama ya ukweli na kudhibitika hapa JF ni kufanikisha ile dhana ya privilege ama haki ya mwana JF kuwa the First to Know...". Sasa kama taarifa inayodokezwa inapokuja kuwa kinyume na dokezo...basi hiyo inaharibu maana nzima ya "...be the First to Know..." na kuwa be the first to be confused and agitated...". Na hii si privilege tena bali problem.
It's called economics, A Principle of Relative Advantage.Yaani taifa teule halina kiwanda Cha testing kits mpaka wanatumia mossad kwenda kuingiza kimagendo....
Wakikudukua na kukuta comment yako ya hapo juu lazima wakuandikie ka memo wakabandike kwenye tendego la kitanda chako,ila hata wewe sikuamini amini!![emoji849]No one can tell nani anadukuliwa na nani hadukuliwi, when they have reasons kukudukuwa, unadukuliwa, mimi hata nikidukuliwa hawapati kitu kwasababu mimi ni Mzalendo wa kweli wa taifa hili
P
Satire is part of literature, so brace yourself.
Indeed Amigo, Irony and Sarcasm are the strongest forms of Satire.Irony too.
Wapumbav ni hao serikali, wameleta mgawanyiko katika jamii!Na huo ndo ukweli,maana wapinzani ni wapuuzi sana,na wako radhi hii nchi RAIA wote wakufe
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye sauti za akina Nape,wamefeli sana hawa TISS!Hata wewe hujui role za TISS au unafuata mkumbo tu mkuu?
Niambie sheria ya iliyosabisha uuzishwaji wa TISS inaruhusu ku publish kwa UMMA(public) TASKS yoyote kama walishafeli au kufanikiwa?
Sisi na Chadema tu mpaka waombe po.Halafu population ya israel ni ndogo tu but they care
But sisi population ya watu mil60 we don't care about anything!!
What a fucking nation!..
Halafu population ya israel ni ndogo tu but they care
But sisi population ya watu mil60 we don't care about anything!!
What a fucking nation!..
Ya jandoni yanaishia jandoniWewe washawahi kukudukua mkuu Pascal ?
Hebu leo tumegee bungeni uliambiwa nini ?