Mossad delivers 100,000 coronavirus test kits to Israel overnight

My response to questions and general lifestyle is of no consequence to you...And why do you need to care about my identity that much? And to what end? You must have gone out of your mind.
An answer from a typical intellectual dwarf.
 
Tumshukuru Mungu kwa zawadi ya amani aliyotupa na pia tukumbuke kuheshimu michango ya wanausalama wetu wanaokesha kuhakikisha tunafurahia vyema zawadi hiyo ya amani aliyotupa Mungu.
Hahaha cheki hili nalo, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
You fools are on the wrong side of history.
 
Mkuu eti wewe nawe ni TISS kama wadau wanavyosema hapo juu ? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hahaha cheki hili nalo, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
You fools are on the wrong side of history.
Haha, hao Mossad wenyewe Motto yao ni Mstari wa Biblia, wamejenga Taifa lao katika misingi ya Kumtegemea Mungu. Bila Mungu anayekesha anafanya hiyo kazi bure. Wanamtanguliza Mungu na kumtegemea ndio maana wamefanikiwa.
 
Ila ninyi wenzangu mnatanguliza Mwenge!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ I'm dead.
 
Hata hao Mossad wapo chini ya ofisi ya waziri mkuu wa Israel.
 
Duh...!. Tiss wetu watakuwa wako busy kudukua simu za watu na kufuatilia mitandaoni nani ka comment nini kuhusu Corona!.

P
Kuna mtu kavifananisha vyama pinzani na Corona hivyo huenda huu ufatiliaji uliouandika ukatekelezwa kivitendo.
 
Tumshukuru Mungu kwa zawadi ya amani aliyotupa na pia tukumbuke kuheshimu michango ya wanausalama wetu wanaokesha kuhakikisha tunafurahia vyema zawadi hiyo ya amani aliyotupa Mungu.
Amani tuliyonayo si kwasababu ya hao wana usalama!Usalama na amani ni vitu viwili tofauti ila vinafanana tu!
 
Lazima wawepo maana Israel ni dola ya kijasusi.

Uhai wake unategemea sana harakati za kijasusi nje ya mipaka yake.
Maana yangu ilikuwa ni kwamba mfumo wao wa kiutendaji, haupo tofauti sana na hapa kwetu kwani wao ( Mossad) wapo chini ya Ofisi ya Waziri mkuu wa Israel.
 
Ulijuaje kama wanadukua simu za watu, ushindwe kujua mengine au kuna sehemu yoyote wame publish TISS kwamba wanadukua simu za watu?
 
Sheria haiwaruhusu kufanya hivyo kuweka vitu hadharani,labda sheria ikabadilishwe lakini sheria, taratibu na kanuni ya uanzishwaji wake inawabana.
 
Maana yangu ilikuwa ni kwamba mfumo wao wa kiutendaji, haupo tofauti sana na hapa kwetu kwani wao ( Mossad) wapo chini ya Ofisi ya Waziri mkuu wa Israel.
Yap! Siasa ndiyo inayoongoza nchi.
 
Lazima wawepo maana Israel ni dola ya kijasusi.

Uhai wake unategemea sana harakati za kijasusi nje ya mipaka yake.
Ila hii mijamaa ni midwanzi kishenzi
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…