Tetesi: MOSSAD wa Israel wanatumia aliens?

Shirika la kijajusi la Israel MOSSAD linadaiwa kutumia viumbe vya Allen's katika operesheni zao,
Inaelezwa kuwa mossad wanawatumia Allen's kuwafanyia kazi zao,
Kufuatia kuuliwa Kwa kiongozi mkubwa wa hamas hapo Jana, Ismael hayineh,

Wachambuzi wengi wanashangaa kuhusu uwezo wa mossad wanawezaje kuwa watu wakubwa hivi Wanaolindwa na ulinzi mkali sana.
MOSSAD wanaelezwa kuwa huenda WANATUMIA matumizi ya viumbe vikali vya Allen's kwenye mishe zao kwani sio Hali ya kawaida sana kwa matukio wanayoyafanya,

MOSSAD wanadaiwq kuwa hivi Sasa ndio kikundi hatari Cha kijasusi duniani.

Je ni kweli MOSSAD WANATUMIA ALLENS?
Hanieh ?? Kutumia WASAP kumemponza.

Osama mwenyewe aliwah sema "Ili upambane na adui wa kosasa, Tumia mbinu za zamani".
 
Shirika la kijajusi la Israel MOSSAD linadaiwa kutumia viumbe vya Allen's katika operesheni zao,
Inaelezwa kuwa mossad wanawatumia Allen's kuwafanyia kazi zao,
Kufuatia kuuliwa Kwa kiongozi mkubwa wa hamas hapo Jana, Ismael hayineh,

Wachambuzi wengi wanashangaa kuhusu uwezo wa mossad wanawezaje kuwa watu wakubwa hivi Wanaolindwa na ulinzi mkali sana.
MOSSAD wanaelezwa kuwa huenda WANATUMIA matumizi ya viumbe vikali vya Allen's kwenye mishe zao kwani sio Hali ya kawaida sana kwa matukio wanayoyafanya,

MOSSAD wanadaiwq kuwa hivi Sasa ndio kikundi hatari Cha kijasusi duniani.

Je ni kweli MOSSAD WANATUMIA ALLENS?
😂😂😂😂
 
Attachments

  • IMG_20240801_010243.jpg
    IMG_20240801_010243.jpg
    73.9 KB · Views: 4
Kwenye Maisha Chagua Marafiki wazuri.

Marafiki wa Hamas ni, Hezbollah, Iran na Wala mirungi wa Yemen.

Ni mtu mjinga atakaye ona Wapalestina Wana washirika wazuri
 
Ni nani kama Mungu wa Abrahamu, Mungu wa Isaka, Mungu wa Yakobo na Mungu wa israel. Ndiyo mnaosema hakuna Mungu mjue Mungu wa Israel yu hai na anapigania watu wake. Na kila amwaminie hatatayarika. Israel is there to stay na kila atakayemgusa anagusa mboni ya jicho la Mungu. inwawezekana wamemkosea Mungu mahali lakini Mungu aliweka maagano na Baba yao Ibrahim.
 
Ulicho Andika ndicho nacho fahamu kuwa wale watu wana mikataba ya Siri na hao watengeza software ...sasa akinachofanyika ni kuwa mwarabu bado hajaelimika ...anaanzisha vita na uadui na hao watu ...ila bado anatumia cjui ..ggle..Ist...wana twit...ehee hawajui..kuwa Kuna software za face detach....vinasa sura ..uso...sasa kama una vita na hao watu Rudi stone age kabisa achana na mtandao wa simu.
...Raisi wa Iran alikuwa anatumia chopa ya usa...mwarabu anapenda iphone, sumsang...na anapenda vita na Israel
..waache watumie internet ...ndio watamjua Jews n another level
Jmaa hata wakina ELon musk na jamaa wa facebook wako vitani , hao hawawezi kusahau asili yao ...
 
Ila hii ya Haniyeh kuuwawa ndani ya kambi ya jeshi karibu na makazi ya Ayatollah imeqapelekea serikali ya Ayatollah kushikwa na ganzi na mshtuuko wa aina yake
Kwa kiingereza a chill in the spine.

Imewavua ngup hadharani. Wametambua Israel inafaham kila kitu hata wakienda kunya. Na uhakika ayatollah analala jicho moja wazi huku akihamahama mara kwa mara.

Nilicheki huko tiktok w Iran Diaspora wakiwasifu wateule wayahudi kuleta hofu kwa genge la Ayatollah.

Hata kifo cha rais wap Ebrahim Rais Mossad walifanya yao.

kipenzi chetu cha dhati Imam Hussein tusaidieeee
Ayatolla analala jicho moja wazi. Jicho lipi hilo mkuu
 
Shirika la kijajusi la Israel MOSSAD linadaiwa kutumia viumbe vya Allen's katika operesheni zao,
Inaelezwa kuwa mossad wanawatumia Allen's kuwafanyia kazi zao,
Kufuatia kuuliwa Kwa kiongozi mkubwa wa hamas hapo Jana, Ismael hayineh,

Wachambuzi wengi wanashangaa kuhusu uwezo wa mossad wanawezaje kuwa watu wakubwa hivi Wanaolindwa na ulinzi mkali sana.
MOSSAD wanaelezwa kuwa huenda WANATUMIA matumizi ya viumbe vikali vya Allen's kwenye mishe zao kwani sio Hali ya kawaida sana kwa matukio wanayoyafanya,

MOSSAD wanadaiwq kuwa hivi Sasa ndio kikundi hatari Cha kijasusi duniani.

Je ni kweli MOSSAD WANATUMIA ALLENS?
MTASEMA YOTE LAKINI USHOGA LAZMA UKOMESHWE
 
MOSSAD wanaelezwa kuwa huenda WANATUMIA matumizi ya viumbe vikali vya Allen's kwenye mishe zao kwani sio Hali ya kawaida sana kwa matukio wanayoyafanya,
Hii ni misconception, MOSSAD inatumia ushawishi wa kipesa zaidi kuinfiltrate ngome mbalimbali kuliko so called intelligence. Kwahiyo ukiona mtu kauwawa ujue kuna inside job imefanyika kwa pesa nyingi kuhongwa.

So hakuna cha alliens hapo, watu pekee ambao najua walihusishwa na aliens ni US the so called Area 48, sijui project MK-Ultra walipotumia excorsionists na dark arts kufanikisha mission zao.
 
Taifa la Israel limezaliwa kutokana na vita, limekua kutokana na vita na mpaka sasa hivi lina survive kutokana na vita.

Wayahudi wanajua kabisa wakilegeza kidogo tu wameisha maana wamezungukwa na maadui pande zote.
Toa VITA weka USA..... ukitaka kujua hilo ona Syria mbona wamemshindwa kumtoa Assad?
 
Aliens wana jina jipya kwani tena eh eti heading inasema Allen's hahaha

Mpaka sasa sijaelewa Kifo cha Hanniyah.. wanasema bomu ilimchoma mwilini Haniyah directry ndipo ukaufata mlipuko! dah basi nyama tu zilitapakaa.... Iran wanasema ni Missile aina ya Spike. Siku za Ugunduzi zilikuwa zinafungwa kwenye Ndege now wanaweka hadi begani.. imevukaje mipaka hadi Iran hajajua? Kuna Siku Spike ilianguka Syria Arabs wakawapa Russia na Iran ilileta khofu sana... Vita za Kitambo Iran alikuwa anavimbisha Hamas apigane na Israel ili mambomu yasiyolipuka ayabebe kama yalivyo.. Hamas walivuna sana Dollar za Iran kwa kutoa ndugu zao kafara
 
Shirika la kijajusi la Israel MOSSAD linadaiwa kutumia viumbe vya Allen's katika operesheni zao,
Inaelezwa kuwa mossad wanawatumia Allen's kuwafanyia kazi zao,
Kufuatia kuuliwa Kwa kiongozi mkubwa wa hamas hapo Jana, Ismael hayineh,

Wachambuzi wengi wanashangaa kuhusu uwezo wa mossad wanawezaje kuwa watu wakubwa hivi Wanaolindwa na ulinzi mkali sana.
MOSSAD wanaelezwa kuwa huenda WANATUMIA matumizi ya viumbe vikali vya Allen's kwenye mishe zao kwani sio Hali ya kawaida sana kwa matukio wanayoyafanya,

MOSSAD wanadaiwq kuwa hivi Sasa ndio kikundi hatari Cha kijasusi duniani.

Je ni kweli MOSSAD WANATUMIA ALLENS?
Ukisema Aliens basi tunarejea kwenye Mitume na Malaika and Jesus both are Aliens of Caanan land.

India kulikuwa na Aliens waliitwa Rama hata yule wa Egypt ni ndugu yao Ramases.. Ship zao Rama ziliitwa Vimana ndio walikuwa wanapaa nazo kuja na kuondoka. even Neucler dust inapatikana India na maeneo mengine vita za Miungu zilipiganwa sana kugombea uongozi,, Possibly vita ya Malaika wa Mungu YAHWEH na Iblis.. Hizo Plymid n.k ni Tawala za Miungu ya Kale ambayo kupotea kwao ilikuwa ni vita kubwa mno.. pengine walikubaliana na kutuacha Free Human wote.. tujijenge wenyewe free masson
 
Shirika la kijajusi la Israel MOSSAD linadaiwa kutumia viumbe vya Allen's katika operesheni zao,
Inaelezwa kuwa mossad wanawatumia Allen's kuwafanyia kazi zao,
Kufuatia kuuliwa Kwa kiongozi mkubwa wa hamas hapo Jana, Ismael hayineh,

Wachambuzi wengi wanashangaa kuhusu uwezo wa mossad wanawezaje kuwa watu wakubwa hivi Wanaolindwa na ulinzi mkali sana.
MOSSAD wanaelezwa kuwa huenda WANATUMIA matumizi ya viumbe vikali vya Allen's kwenye mishe zao kwani sio Hali ya kawaida sana kwa matukio wanayoyafanya,

MOSSAD wanadaiwq kuwa hivi Sasa ndio kikundi hatari Cha kijasusi duniani.

Je ni kweli MOSSAD WANATUMIA ALLENS?
Hakuna cha aliens ,acha ujinga .
Hii ni involvement ya resources na intelligence details za Serikali ya Marekani ,UK na France .
Mzayuni ni mchumba tu bila misaada ya mali fedha na intelligence toka kwa majasusi wa hayo mataifa.
Hayo mashoga yenu Mbagala hype as if sijui nini
Mazayuni
 
Shirika la kijajusi la Israel MOSSAD linadaiwa kutumia viumbe vya Allen's katika operesheni zao,
Inaelezwa kuwa mossad wanawatumia Allen's kuwafanyia kazi zao,
Kufuatia kuuliwa Kwa kiongozi mkubwa wa hamas hapo Jana, Ismael hayineh,

Wachambuzi wengi wanashangaa kuhusu uwezo wa mossad wanawezaje kuwa watu wakubwa hivi Wanaolindwa na ulinzi mkali sana.
MOSSAD wanaelezwa kuwa huenda WANATUMIA matumizi ya viumbe vikali vya Allen's kwenye mishe zao kwani sio Hali ya kawaida sana kwa matukio wanayoyafanya,

MOSSAD wanadaiwq kuwa hivi Sasa ndio kikundi hatari Cha kijasusi duniani.

Je ni kweli MOSSAD WANATUMIA ALLENS?
Msikilize vizuri mosab akujibu. Na la zaidi ana shangaa saa 8 za usiku halafu mtu anakufa na Body Guard wake!! walikuwa wamelala kitanda kimoja?!!

View: https://x.com/Osint613/status/1819042529783787911
 
Hawatumii ila ukitumia whatsapp sijui Facebook hata Google basi kwisha habari yako watakukamata tu ...Ndio maana wachina wanapiga ban .

Hata wamarekani na washirika wake hawaitaki Tiktok .
Hilo li TIKTOK WATOTO WA KIKE WANAUME WANAOTUMIA UPUUZ HUO HATA SIJUI WANAFANYAGA NNI NAYO
 
Ukiwa na Maadui Wengi Unakuwa na Options 1 Tu Kati ya 2
1. Uwamalize adui zako
2. Adui zako wakumalize wewe
Kwa hiyo unachagua upande wa shilingi
 
Back
Top Bottom