Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Hanieh ?? Kutumia WASAP kumemponza.Shirika la kijajusi la Israel MOSSAD linadaiwa kutumia viumbe vya Allen's katika operesheni zao,
Inaelezwa kuwa mossad wanawatumia Allen's kuwafanyia kazi zao,
Kufuatia kuuliwa Kwa kiongozi mkubwa wa hamas hapo Jana, Ismael hayineh,
Wachambuzi wengi wanashangaa kuhusu uwezo wa mossad wanawezaje kuwa watu wakubwa hivi Wanaolindwa na ulinzi mkali sana.
MOSSAD wanaelezwa kuwa huenda WANATUMIA matumizi ya viumbe vikali vya Allen's kwenye mishe zao kwani sio Hali ya kawaida sana kwa matukio wanayoyafanya,
MOSSAD wanadaiwq kuwa hivi Sasa ndio kikundi hatari Cha kijasusi duniani.
Je ni kweli MOSSAD WANATUMIA ALLENS?
Osama mwenyewe aliwah sema "Ili upambane na adui wa kosasa, Tumia mbinu za zamani".