Motra the future na Diss Track dhidi ya Kikosi Kazi awaita kikosi kazi WEUPE

Songa alisema

Ukitaka bars hapa zipo tele na tele, nina makucha kwa hiyo kwangu upele ni kwele.../
Remi ongala mbele kwa mbele, kacha haiwezi tunzwa na watoto mchele mchele.../
Not kacha Ni Culture
 
Hahahaha unadhani Motraa atajibu upuuzi wa iyo chali anatembelea upepo wake hahahaha.

Uyo atafute namna atoke asitegemee migongo ya watu.
 
Una wimbo KRS ONE wa trap ? Nitajie tafadhali
 
Soon cholo brighter atamuua Motra kupitia beat ya mtazano ngoma tume ipitika kikosi kazi tuka bariki itoke sisi hatuwezi mjibu motra atajibiwa na watoto wenzake
Huyu jamaa ni mnyama sana

Cholo [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Na suggest huyu mtu nae angetoa kitu, vitoto vya chuga vikae kimya[emoji116]

Stan rhymes
 
Na suggest huyu mtu nae angetoa kitu, vitoto vya chuga vikae kimya[emoji116]

Stan rhymes
Aaah huyo naye balaa nadhani pia n zao la tamaduni....kama sio basi alipatikana kwenye zile city rap battles
 
Joh hawezi shuka eti kwa kupondwa na Azma/
Mtu ambaye anaforce miaka 10 kutoka kwa lazima/
Crew yenu mmefanana style kama mchele wa basmati/
Bora uwekeze nguvu sasa kuikuza Aznas/
 
Joh hawezi shuka eti kwa kupondwa na Azma/
Mtu ambaye anaforce miaka 10 kutoka kwa lazima/
Crew yenu mmefanana style kama mchele wa basmati/
Bora uwekeze nguvu sasa kuikuza Aznas/
huwezi kumuelewa one bila akili na info/
Labda ungefanya comedy ndo ingekuwa beneficial...........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…