Motra the future na Diss Track dhidi ya Kikosi Kazi awaita kikosi kazi WEUPE

Kanyoosha mikono au alikuwa anawapa counselling wasijihisi inferior now wamepona wameamua wamtume motra awajibie, hii ya saizi itakuwa kama ile ya kimbari
Jamaa hajui anachokiongea may be rap sio mziki wake anajoforce tu
 
Dude vitu vinhine kama hujui bora ukae kimya tu
 
Sijawah kuona pumba kama hii
 
Brilliant
 
Umeskiza Hiyo " mbupu" kwa makini? Wewe ndio hujui kitu kabisa.
Nenda kaskize upya #WEUPE ili ufunguke akili ..ngoma imejitosheleza ile. Halafu vaa uusika wa kila mmoja aliyechanwa mule.
#WEUPEE peee
Mitoto ya arusha mnajiona migumu halafu hamnaga lolote
Sasa weupe nayo si rap tu kama za banza stone haina metaphor no word plays simply vina vya malenga
Ww unasifia means hujui lolote kuhusu uandishi wa hophop
 
Nadhan ww ndo umekosa cha kufanya
 
Umeskiza Hiyo " mbupu" kwa makini? Wewe ndio hujui kitu kabisa.
Nenda kaskize upya #WEUPE ili ufunguke akili ..ngoma imejitosheleza ile. Halafu vaa uusika wa kila mmoja aliyechanwa mule.
#WEUPEE peee
Hoja yangu haija baase kwenye content ya hiyo mbupu, hoja ime base kwenye title la hiyo ngoma "mbupu" kwamba ni neno ambalo limekuwa flapped kutoka kwenye neno pumbu

In case of moral, nimeambiwa na mdau kua nyimbo za tamaduni zinaskizwa na wahuni ila watu wenye busara haawezi kusikiliza hizo, eanaskiliza mbupu ya weusi maana hiyo ime fit na kukubalika kimaadili
 
Haya ww mchambuzi mawenge kasarenda eeh?? Daudi Mchambuzi
Msiwe mnaropoka ropoka tumsiyoyajua
Kwanza jamaa katoa diss ambayo hata motra atakosa nguvu ya kujibu kwasababu namna alivyo chanwa ni indirect mpaka uunge dots, kwa hiyo ili naye ajibu lazima atumie style ile ile ya ku hide some codes kitu ambacho ni kigumu sana
 
Eti mabwana wa dar ujue wana dharau kweli, mademu wa chuga wanatuona kama house girl.../
Wanamsifia uwoya tu na aunt ezekiel, wabaguzi sana siwataki tena wamefeli.../
 
Dogo kayakanyaga
Kalelewa na tamaduni leo anajifanya anawashobokea kina joh wakat all thos years wanamtreat kama chawa tu
Uzuri ni kwamba anatambua kks are rylical bullet
 
Eti mabwana wa dar ujue wana dharau kweli, mademu wa chuga wanatuona kama house girl.../
Wanamsifia uwoya tu na aunt ezekiel, wabaguzi sana siwataki tena wamefeli.../
Hyo line ya madem wa chuga wanatuona kama ma house girl
Ndo wakina joh walivyokua wanamtreat motra
Wanashinda pale sinza kwa remmy wanamtuma vyepe tu dah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…