Moyo wangu umepondeka mno juu ya mahusiano yangu na huyu binti

Kuna ka ukweli, hapa. sehemu pekee ambayo najificha ficha nikiwa natumia JF ni maeneo ya kisiasa ila nje ya hapo hasa mikoani najivinjari utanikuta bar naperuzi tu
 
Comment yako ina ukweli Mpendwa uhuru wa kumiliki Id zaidi ya moja ufutwe.
 
humjui Gily πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
haha mke wa mtu huyuπŸ˜€ hapo ndipo kinachomlinda siwindi wale za watu. Nina kuku nataka week wauzwe niachane nao ningemoa mmoja akale na familia kiroho safi kabisaπŸ˜€

huamini kuwa there are good deeds auπŸ˜€ mbona jana nimempa demu mmoja kuku jirani kampikia bwana wake supu na usiku hatujalala maana kama yule kuku alimpa mshikaj nguvu za kupiga bao nneπŸ˜€ tulizivumikia na mikelele ile🀣
 
No wonder unahusishwa kutoka na shoga cocastic! Kwa akili zako hizi za kitoto utapata tabu sana kwenye mahusiano
Huyo Shoga cocastic kaishiwa mabasha hadi ahangaike na ID za JF?? bila kumuhusisha coca ktk masuala yenu hampati airtime eeeh???

Hebu mniachee sijaishiwa mtu wa kuwa nae ktk mahusianoo, na sio shida zangu kabisaaa.
Mxxxxxiiiieeeeww.
 
🫣🫣 una ka mbinuuu kakali sanaaa...
 
Kumbuka A small leak will sink a ship- Fid Q- Propaganda

"Ujinga ni mjukuu wa woga yule aliyemzaa chuki"- Fid Q--Ielewe mitaa.
 
Huyo Shoga cocastic kaishiwa mabasha hadi ahangaike na ID za JF?? bila kumuhusisha coca ktk masuala yenu hampati airtime eeeh???

Hebu mniachee sijaishiwa mtu wa kuwa nae ktk mahusianoo, na sio shida zangu kabisaaa.
Mxxxxxiiiieeeeww.
Kwani unawapata wapi hao wanaokupumulia kisogoni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…