Moyo wangu umepondeka mno juu ya mahusiano yangu na huyu binti

Utasikii kuku analia koookooookooooo mala kimyaaa.. imeisha hiyooo ,,πŸ˜…πŸ«£πŸ«£πŸ˜…πŸ˜…
πŸ˜€ na hizi mvua sijala mzigo kitambo mama watoto yuko uzazi
naweza lala nikapiliza ukafa kwa ugumu πŸ˜€ ila wanawake wa huku hawana huruma hata kumsaidia mwanamke mwenzao kumtunza bwana😬
 
Jana nilimshauri anywe panadol mbili ila mbishi sana Angeamka bila maumivu leoπŸ˜€
Kama alifanya hvyo na maumivu bado yapo namshauri maumivu yakizidi amuone daktari πŸ˜‚
 
πŸ˜€ na hizi mvua sijala mzigo kitambo mama watoto yuko uzazi
naweza lala nikapiliza ukafa kwa ugumu πŸ˜€ ila wanawake wa huku hawana huruma hata kumsaidia mwanamke mwenzao kumtunza bwana😬
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… weee vumilia tu miezi sita mbona michache tu
 
Mumsaidie mwanaume mwenzenu kutoka ktk hiyo hali, maana anaelekea kubayaa zaidi. Lol
Kuna baadhi ya mambo ni ngumu kumsaidia mtu. Imagine hata kiganja chake Cha mkono hajawahi kukiona, ila anaweweseka.

Ushauri ninaompa, next time akimuelewa mtu amfate PM, na kama pm imefungwa, awe mpole. Imagine unapigwa kibuti mbele ya public, hata kama ni wewe, lazima upate mhaho.
 
kadri siku zinavyoendaa naona watu wananiuliza mbona unanenepa sanaπŸ˜€ kumbe nina nguvu za ziada zumehifadhiwaπŸ˜€
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… haya kwaiyo bibie Nuzulati utamuagizia huyo kuku apelekwe nyumbani kwake au
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…