Mpaka leo najiuliza, ilikuwaje mpaka Magufuli akawa Rais?

Legacy ya MAGUFULI ITADUMU MILELE WANAO MCHUKIA NI WAZEMBE, WAVIVU, MAFISADI , WAPIGA DEAL, WALA RUSHWA , WAHUJUMU UCHUMI, VYETI FEKI...........

WAZALENDO WANAGONGA CHEERS 🥂 🍾 KWA MAISHA YA SHUJAA WETU

MIMI PIA NI THE NEXT MAGUFULI JAPO NIPO MBALI NA SIASA

WE LOVE JOHN 😍
 
Swali euro sana……. Liende sambamba na imekuaje hadi SAMIA nae kawa Rais !!
Ni maswali muhimu kujiuliza

Kuna mahali nut zimelegea ,
 
Swali euro sana……. Liende sambamba na imekuaje hadi SAMIA nae kawa Rais !!
Ni maswali muhimu kujiuliza

Kuna mahali nut zimelegea ,
Nati siyo zimelehea...hazipo kabisa!
Alieziondoa atafutwe!
 
Huwezi kumtetea muuaji mzee.Hata utetee vipi hawezi kuwa msafi kwa maneno yako.Kikwete hata kama ameua hawezi kufika hata robo ya magufuli.Na ukiambiwa leo hii utaje watu waliouawa na kikwete utawataja?Ni nani aliuawa na kikwete?mimi nakutajia baadhi tu ya waliouawa na kuteswa na mungu wako.Ben Saanane,Azory Gwanda,Lisu,Mdude,Mbowe,Lema,Alphonce Mawazo,waliokuwa wakiokotwa kwenye viroba ufukweli,n.k.Samia pia ni hivyo hivyo kama kikwete.Kamuua nani!Sasa hivi kuna watafuta Figo.Wanateka watu Kila kona ya nchi ili wawatoe Figo.Wewe hulijui hili?Au kwenu halijatokea?mungu wenu alikuwa m.s.h...nzi sana
 
Hajawahi kushinda uraisi
 
mafisadi ,vyeti feki,wala rushwa ,wauza ngada,wavivu mbona mnamuwaza sana Magufuli mnafikiri nyie mtaishi milele duniani
 
Umeanza vizuri ila ukakosea sehemu.

Kama kikwete kaua hata mmoja tu unamteteaje?

Unauhakika gani kwamba Magufuli aliua? Uhashahidi uko wapi?
 
Kwa hiyo kipimo cha raisi bora tz ni idadi ya kua raia wake?
 
Kama kuna hasara taifa hili limewahi kupata basi ni kumpoteza yule mtu. Alikua mzalendo kweli kweli, mzalendo hasa.
 
Hata Mimi najiuliza ilikuwaje wewe ukazaliwa ilihali toka ukiwa tumboni ulikuwa lijinga. Shetani mkubwa. Mungu chukua hili lishetani haraka lichome Moto liteketee kabisa
 
Ungekuwa Ben Saanane au Lwajabe usingekuwa na uwanda wa kusema hayo.
Hayo ni baadhi ya mambo yanao niudhi pia, lakini ni rais yupi ambaye kipindi chake hayakutokea mauaji ya kutisha na kusikitisha? Mzee Kibao vipi? Tukio la Sativa na la Ben Saanane tofauti yake ni ipi? Kina Soka je? Well, turudi nyuma huko, Absolom Kibanda, Dr. Ulimboka, Dr. Mvungi? Mwandishi wa habari wa Channel 10 pale Nyololo Iringa vipi? Turudi nyuma zaidi, what about Horace Kolimba? Francis Katabalo enzi za Mwinyi vipi? Tusimseme Magufuli as if hayo yalitendeka katika utawala wake pekee while hadi sasa hayo mambo ya kuudhi bado yanatendeka.
 
Miaka 10 bado unajiuliza???
Change
 
Unaudhika kwa vile uko hai. Ungekuwa umekufa haijalishi nani kakuua.
 
Ulitaka Rais awe hayati Lowassa wa CHADEMA?. Mkuu asingeweza kuingia ikulu ile ile aliyoondoka hayati Julius Nyerere.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…