Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Ili ufanye nini?Makosa yapi yalikugusa?
Ni vizuri kuwa muwazi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ili ufanye nini?Makosa yapi yalikugusa?
Ni vizuri kuwa muwazi.
Swali euro sana……. Liende sambamba na imekuaje hadi SAMIA nae kawa Rais !!Mpaka hii leo nafikiria, tena critically, ilifanyika vipi hadi John Pombe Mgufuli akafikia hatua ya kuwa Rais wa Tanzania?
Sijamfahamu Magufuli akiwa Rais, nilikuwa namfahamu toka akiwa Naibu Waziri pale Wizara ya Ujenzi. Kuingia ofisini tu siku alipoteuliwa na Rais mkapa kuwa Naibu Waziri wa Ujenzi, kuna mhandisi walisoma wote chuoni akamtania kuwa anafanya nini pale wizara ya mainjinia, Magufuli akamwambia hamjui yeye nani, na akaagiza atimuliwe, akatimuliwa.
Na huko alikopata ubunge, tunaambiwa kuna watu wamepotea au wamepotezwa.
Pale Wizara ya ujenzi, uwekaji mipaka ya barabara zimeliwa fedha nyingi sana nchi nzima. Uuzaji wa nyumba za serikali ndio usiseme, wakubwa wote walifaidika. Serikali ilikuw wapi?
Mimi nashindwa kuelewa kuwa kama vyombo vilikuwa vinamjua Magufuli ni kwa nini Mkapa na hata Kikwete walifumbia macho mapungufu yake?
Sitagusa mapungufu ya Magufuli akiwa madarakani, maana hata hawa viongozi wa leo serikalini walionja joto la jiwe.
Imefika wakati lazima tupate post mortem ya kisiasa ya kwa nini hii blunder ilifika kupata Rais ambaye hata uraia wake ulikuwa na maswali? la sivyo Magufuli no. 2 yupo round the corner.
Nati siyo zimelehea...hazipo kabisa!Swali euro sana……. Liende sambamba na imekuaje hadi SAMIA nae kawa Rais !!
Ni maswali muhimu kujiuliza
Kuna mahali nut zimelegea ,
Huwezi kumtetea muuaji mzee.Hata utetee vipi hawezi kuwa msafi kwa maneno yako.Kikwete hata kama ameua hawezi kufika hata robo ya magufuli.Na ukiambiwa leo hii utaje watu waliouawa na kikwete utawataja?Ni nani aliuawa na kikwete?mimi nakutajia baadhi tu ya waliouawa na kuteswa na mungu wako.Ben Saanane,Azory Gwanda,Lisu,Mdude,Mbowe,Lema,Alphonce Mawazo,waliokuwa wakiokotwa kwenye viroba ufukweli,n.k.Samia pia ni hivyo hivyo kama kikwete.Kamuua nani!Sasa hivi kuna watafuta Figo.Wanateka watu Kila kona ya nchi ili wawatoe Figo.Wewe hulijui hili?Au kwenu halijatokea?mungu wenu alikuwa m.s.h...nzi sanaKauwa wangapi?
Kwani sasa hivi watu hawafi?. Kwani wakati wa kikwete waatu hawakutekwa na kuuwawa.. Au ulikuwa mdogo?
Utofauti wa JPM na wengine ni kutogawa Asali tu. JPM alitaka pesa zote ziende kwenye maendeleo ila wanasiasa na wanaharakati wakawa wanataka wapewe mafungu. Kitu ambacho sasa hivi wanapewa na wanagombana wenyewe kwa wenye. Watu wengi tu wanatekwa na kufa alkini kelele ni chache kwa sababu ya asali.
Hajawahi kushinda uraisiMpaka hii leo nafikiria, tena critically, ilifanyika vipi hadi John Pombe Mgufuli akafikia hatua ya kuwa Rais wa Tanzania?
Sijamfahamu Magufuli akiwa Rais, nilikuwa namfahamu toka akiwa Naibu Waziri pale Wizara ya Ujenzi. Kuingia ofisini tu siku alipoteuliwa na Rais mkapa kuwa Naibu Waziri wa Ujenzi, kuna mhandisi walisoma wote chuoni akamtania kuwa anafanya nini pale wizara ya mainjinia, Magufuli akamwambia hamjui yeye nani, na akaagiza atimuliwe, akatimuliwa.
Na huko alikopata ubunge, tunaambiwa kuna watu wamepotea au wamepotezwa.
Pale Wizara ya ujenzi, uwekaji mipaka ya barabara zimeliwa fedha nyingi sana nchi nzima. Uuzaji wa nyumba za serikali ndio usiseme, wakubwa wote walifaidika. Serikali ilikuw wapi?
Mimi nashindwa kuelewa kuwa kama vyombo vilikuwa vinamjua Magufuli ni kwa nini Mkapa na hata Kikwete walifumbia macho mapungufu yake?
Sitagusa mapungufu ya Magufuli akiwa madarakani, maana hata hawa viongozi wa leo serikalini walionja joto la jiwe.
Imefika wakati lazima tupate post mortem ya kisiasa ya kwa nini hii blunder ilifika kupata Rais ambaye hata uraia wake ulikuwa na maswali? la sivyo Magufuli no. 2 yupo round the corner.
mafisadi ,vyeti feki,wala rushwa ,wauza ngada,wavivu mbona mnamuwaza sana Magufuli mnafikiri nyie mtaishi milele dunianiMpaka hii leo nafikiria, tena critically, ilifanyika vipi hadi John Pombe Mgufuli akafikia hatua ya kuwa Rais wa Tanzania?
Sijamfahamu Magufuli akiwa Rais, nilikuwa namfahamu toka akiwa Naibu Waziri pale Wizara ya Ujenzi. Kuingia ofisini tu siku alipoteuliwa na Rais mkapa kuwa Naibu Waziri wa Ujenzi, kuna mhandisi walisoma wote chuoni akamtania kuwa anafanya nini pale wizara ya mainjinia, Magufuli akamwambia hamjui yeye nani, na akaagiza atimuliwe, akatimuliwa.
Na huko alikopata ubunge, tunaambiwa kuna watu wamepotea au wamepotezwa.
Pale Wizara ya ujenzi, uwekaji mipaka ya barabara zimeliwa fedha nyingi sana nchi nzima. Uuzaji wa nyumba za serikali ndio usiseme, wakubwa wote walifaidika. Serikali ilikuw wapi?
Mimi nashindwa kuelewa kuwa kama vyombo vilikuwa vinamjua Magufuli ni kwa nini Mkapa na hata Kikwete walifumbia macho mapungufu yake?
Sitagusa mapungufu ya Magufuli akiwa madarakani, maana hata hawa viongozi wa leo serikalini walionja joto la jiwe.
Imefika wakati lazima tupate post mortem ya kisiasa ya kwa nini hii blunder ilifika kupata Rais ambaye hata uraia wake ulikuwa na maswali? la sivyo Magufuli no. 2 yupo round the corner.
Umeanza vizuri ila ukakosea sehemu.Huwezi kumtetea muuaji mzee.Hata utetee vipi hawezi kuwa msafi kwa maneno yako.Kikwete hata kama ameua hawezi kufika hata robo ya magufuli.Na ukiambiwa leo hii utaje watu waliouawa na kikwete utawataja?Ni nani aliuawa na kikwete?mimi nakutajia baadhi tu ya waliouawa na kuteswa na mungu wako.Ben Saanane,Azory Gwanda,Lisu,Mdude,Mbowe,Lema,Alphonce Mawazo,waliokuwa wakiokotwa kwenye viroba ufukweli,n.k.Samia pia ni hivyo hivyo kama kikwete.Kamuua nani!Sasa hivi kuna watafuta Figo.Wanateka watu Kila kona ya nchi ili wawatoe Figo.Wewe hulijui hili?Au kwenu halijatokea?mungu wenu alikuwa m.s.h...nzi sana
Ungekuwa Ben Saanane au Lwajabe usingekuwa na uwanda wa kusema hayo.Kama kuna hasara taifa hili limewahi kupata basi ni kumpoteza yule mtu. Alikua mzalendo kweli kweli, mzalendo hasa.
Alikuwa fiksi yule jamaa, yeye mwenyewe alikuwa na PhD feki!mafisadi ,vyeti feki,wala rushwa ,wauza ngada,wavivu mbona mnamuwaza sana Magufuli mnafikiri nyie mtaishi milele duniani
Hata Mimi najiuliza ilikuwaje wewe ukazaliwa ilihali toka ukiwa tumboni ulikuwa lijinga. Shetani mkubwa. Mungu chukua hili lishetani haraka lichome Moto liteketee kabisaMpaka hii leo nafikiria, tena critically, ilifanyika vipi hadi John Pombe Mgufuli akafikia hatua ya kuwa Rais wa Tanzania?
Sijamfahamu Magufuli akiwa Rais, nilikuwa namfahamu toka akiwa Naibu Waziri pale Wizara ya Ujenzi. Kuingia ofisini tu siku alipoteuliwa na Rais mkapa kuwa Naibu Waziri wa Ujenzi, kuna mhandisi walisoma wote chuoni akamtania kuwa anafanya nini pale wizara ya mainjinia, Magufuli akamwambia hamjui yeye nani, na akaagiza atimuliwe, akatimuliwa.
Na huko alikopata ubunge, tunaambiwa kuna watu wamepotea au wamepotezwa.
Pale Wizara ya ujenzi, uwekaji mipaka ya barabara zimeliwa fedha nyingi sana nchi nzima. Uuzaji wa nyumba za serikali ndio usiseme, wakubwa wote walifaidika. Serikali ilikuw wapi?
Mimi nashindwa kuelewa kuwa kama vyombo vilikuwa vinamjua Magufuli ni kwa nini Mkapa na hata Kikwete walifumbia macho mapungufu yake?
Sitagusa mapungufu ya Magufuli akiwa madarakani, maana hata hawa viongozi wa leo serikalini walionja joto la jiwe.
Imefika wakati lazima tupate post mortem ya kisiasa ya kwa nini hii blunder ilifika kupata Rais ambaye hata uraia wake ulikuwa na maswali? la sivyo Magufuli no. 2 yupo round the corner.
Hayo ni baadhi ya mambo yanao niudhi pia, lakini ni rais yupi ambaye kipindi chake hayakutokea mauaji ya kutisha na kusikitisha? Mzee Kibao vipi? Tukio la Sativa na la Ben Saanane tofauti yake ni ipi? Kina Soka je? Well, turudi nyuma huko, Absolom Kibanda, Dr. Ulimboka, Dr. Mvungi? Mwandishi wa habari wa Channel 10 pale Nyololo Iringa vipi? Turudi nyuma zaidi, what about Horace Kolimba? Francis Katabalo enzi za Mwinyi vipi? Tusimseme Magufuli as if hayo yalitendeka katika utawala wake pekee while hadi sasa hayo mambo ya kuudhi bado yanatendeka.Ungekuwa Ben Saanane au Lwajabe usingekuwa na uwanda wa kusema hayo.
Miaka 10 bado unajiuliza???Mpaka hii leo nafikiria, tena critically, ilifanyika vipi hadi John Pombe Mgufuli akafikia hatua ya kuwa Rais wa Tanzania?
Sijamfahamu Magufuli akiwa Rais, nilikuwa namfahamu toka akiwa Naibu Waziri pale Wizara ya Ujenzi. Kuingia ofisini tu siku alipoteuliwa na Rais mkapa kuwa Naibu Waziri wa Ujenzi, kuna mhandisi walisoma wote chuoni akamtania kuwa anafanya nini pale wizara ya mainjinia, Magufuli akamwambia hamjui yeye nani, na akaagiza atimuliwe, akatimuliwa.
Na huko alikopata ubunge, tunaambiwa kuna watu wamepotea au wamepotezwa.
Pale Wizara ya ujenzi, uwekaji mipaka ya barabara zimeliwa fedha nyingi sana nchi nzima. Uuzaji wa nyumba za serikali ndio usiseme, wakubwa wote walifaidika. Serikali ilikuw wapi?
Mimi nashindwa kuelewa kuwa kama vyombo vilikuwa vinamjua Magufuli ni kwa nini Mkapa na hata Kikwete walifumbia macho mapungufu yake?
Sitagusa mapungufu ya Magufuli akiwa madarakani, maana hata hawa viongozi wa leo serikalini walionja joto la jiwe.
Imefika wakati lazima tupate post mortem ya kisiasa ya kwa nini hii blunder ilifika kupata Rais ambaye hata uraia wake ulikuwa na maswali? la sivyo Magufuli no. 2 yupo round the corner.
Unaudhika kwa vile uko hai. Ungekuwa umekufa haijalishi nani kakuua.Hayo ni baadhi ya mambo yanao niudhi pia, lakini ni rais yupi ambaye kipindi chake hayakutokea mauaji ya kutisha na kusikitisha? Mzee Kibao vipi? Tukio la Sativa na la Ben Saanane tofauti yake ni ipi? Kina Soka je? Well, turudi nyuma huko, Absolom Kibanda, Dr. Ulimboka, Dr. Mvungi? Mwandishi wa habari wa Channel 10 pale Nyololo Iringa vipi? Turudi nyuma zaidi, what about Horace Kolimba? Francis Katabalo enzi za Mwinyi vipi? Tusimseme Magufuli as if hayo yalitendeka katika utawala wake pekee while hadi sasa hayo mambo ya kuudhi bado yanatendeka.
Mkimbizi wa Burundi wewe.Hata Mimi najiuliza ilikuwaje wewe ukazaliwa ilihali toka ukiwa tumboni ulikuwa lijinga. Shetani mkubwa. Mungu chukua hili lishetani haraka lichome Moto liteketee kabisa
Ulitaka Rais awe hayati Lowassa wa CHADEMA?. Mkuu asingeweza kuingia ikulu ile ile aliyoondoka hayati Julius Nyerere.Mpaka hii leo nafikiria, tena critically, ilifanyika vipi hadi John Pombe Mgufuli akafikia hatua ya kuwa Rais wa Tanzania?
Sijamfahamu Magufuli akiwa Rais, nilikuwa namfahamu toka akiwa Naibu Waziri pale Wizara ya Ujenzi. Kuingia ofisini tu siku alipoteuliwa na Rais mkapa kuwa Naibu Waziri wa Ujenzi, kuna mhandisi walisoma wote chuoni akamtania kuwa anafanya nini pale wizara ya mainjinia, Magufuli akamwambia hamjui yeye nani, na akaagiza atimuliwe, akatimuliwa.
Na huko alikopata ubunge, tunaambiwa kuna watu wamepotea au wamepotezwa.
Pale Wizara ya ujenzi, uwekaji mipaka ya barabara zimeliwa fedha nyingi sana nchi nzima. Uuzaji wa nyumba za serikali ndio usiseme, wakubwa wote walifaidika. Serikali ilikuw wapi?
Mimi nashindwa kuelewa kuwa kama vyombo vilikuwa vinamjua Magufuli ni kwa nini Mkapa na hata Kikwete walifumbia macho mapungufu yake?
Sitagusa mapungufu ya Magufuli akiwa madarakani, maana hata hawa viongozi wa leo serikalini walionja joto la jiwe.
Imefika wakati lazima tupate post mortem ya kisiasa ya kwa nini hii blunder ilifika kupata Rais ambaye hata uraia wake ulikuwa na maswali? la sivyo Magufuli no. 2 yupo round the corner.
Mada yangu haisemi hivyo. Hayo ni mawazo yako. Lowasa si mbadala wa Magufuli kisiasa.Ulitaka Rais awe hayati Lowassa wa CHADEMA?. Mkuu asingeweza kuingia ikulu ile ile aliyoondoka hayati Julius Nyerere.
Mkapa keshatangulia mbele za haki na huyo angefaa kuelezea kwa kirefu ni kwanini alihakikisha anampa nchi JPM na kumchinjia baharini Membe na Lowassa.Mada yangu haisemi hivyo. Hayo ni mawazo yako. Lowasa si mbadala wa Magufuli kisiasa.