Mpaka leo najiuliza, ilikuwaje mpaka Magufuli akawa Rais?

Tayari thread,hakika alikuwa mwamba haswa
 
Kweli inastaajabisha jpm alipenya vipi manake hata jk anashangaa kabisa, haikuwa chaguo lake. Ila ndio hivyo watu wa upande ule in washirikina wakubwa na itakuwa ndio sababu ya mshangao huu. Jpm alikuwa bahati mbaya ya nchi yetu tuwe makini tusirudie makosa 2025.

Wewe usiyekuwa na huo ubaya aliokuwa nao Magufuli (kwa mujibu wa maelezo yako), unaweza kuupata huo Urais kwa ndoto za usingizini?

Ufukara unakusumbua.

Jitu katili, lisilo na utu, jitu shamba kabisa hata ongea yake inatoa harufu ya ujinga uliyojaa akilini mwake.

Hata mm najiuliza hili jiwe ilikuwaje likaingia ikulu??

Inaonekana katika ukoo wa panya, kwa kipindi kile, yeye ndiye alikuwa na unafuu

magufuli lilikuwa jiz,tapel,puuz uwaji,piga risas watu na jitu la hovyo kuliko hata idi ami dada, Mungu alifanya vizuri kuliondoa ili likaungue moto kule liliko.

Wewe ni nani katika hii nchi?

Kinyangarika tu hata ubalozi huna!

Magufuli alikuwa rais wa nchi na amiri jeshi mkuu, na nafurahii aliwapelekea moto mpaka mkaamua kumdondosha. [emoji1787]

Chuma kinaliaa chumaa HA HA HA chumaa! Weweeee!!



Chuki humchoma anaye ihifadhi- fid Q

magu chumaaaaaaaaaa aliwapelekea moto sio mchezoo
 
Kwani na wewe ulikuwa fisadi??
 
Jitu katili, lisilo na utu, jitu shamba kabisa hata ongea yake inatoa harufu ya ujinga uliyojaa akilini mwake.

Hata mm najiuliza hili jiwe ilikuwaje likaingia ikulu??
Sexless duh [emoji849]
 
 
Raisi asiyekuwa na tabia za huruma za Kitanzania.

Na sasa Mungu katupa Rais Mtanzania asilia mwenye tabia za kitanzania za huruma na kusamehe.

Alikuwa anakubaka bila kukutizama mkuu.
 
Magufuli alishawahi kuwa Rais wa Tanzania.
Full stop [emoji1630][emoji611]
 
Kabla ya kuwa Rais alikuwa mtu poa sana mm mwenyewe nilikuwa shabiki yake kwa namna alivyokuwa anachapa kazi akiwa wazir ktk wizara tofauti hasa ya miundombinu, shida ilianza alipoukwaa u Rais akabadilika kabisa hata wale walioshiriki kumpitisha wakawa wanashangaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…