Mpaka leo najiuliza, ilikuwaje mpaka Magufuli akawa Rais?

Imefika wakati lazima tupate post mortem ya kisiasa ya kwa nini hii blunder ilifika kupata Rais ambaye hata uraia wake ulikuwa na maswali? la
Kwa post za aina nakuhakikishia bwashee kwa sasa huna uwezo wa kufanyia post mortem, inabidi uagize akili za ziada ili ujiongezee uwezo. Zipo zinauzwa online, Amazon !
 
Stress za Kikwete ndo zilileta balaa lote hili, he feared Lowassa than anyone, lakini nadhani hadi dakika ya Mwisho aliopa poo mwenyewe kwa jinsi alivosomeshwa namba na jiwe
 
Aise una roho mbaya! kwa hiyo walioingia madarakani kabla ya magufuli walikuwa wasafi , shida uliyonayo ni umasikini nakuombea utafte njia ya kuumaliza maana unapenda kila kitu uletewe mezani kitu ambacho hakitokuja kuwezekana hata siku moja
 
We kijana wa darasa la saba, soma kwanza uielewe mada.
 
Kwa post za aina nakuhakikishia bwashee kwa sasa huna uwezo wa kufanyia post mortem, inabidi uagize akili za ziada ili ujiongezee uwezo. Zipo zinauzwa online, Amazon !
Huhitaji akili za zuada kujua kuwa wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM wakiweka kando ubinafsi naubaguzi wa kimtandao ndani ya chama, mambo ya 2015 yatakuwa historia.
 
Ye mwenyewe alikuwa fisadi papa
 
Aliwahi kusema kafanyiziwa tuu haikua lengo lake
 
Mimi mwenyewe huwa najiuliza mtu kama kikwete ilikuaje akawa Rais?
Mtu hopeless kama Hangaya nae eti leo ni Rais.
 
Jpm Ni rais Bora kuwai kuwepo ktk ukanda wa Africa baada ya gadafi

Cpati picha kombination ya jpm na gadafi wale watu walikuwa nduo Marais pekee kwa miongo kadhaa achilia mbali wale waliotangulia Kam Nyerere na kina kenyata

Jpm ndio rais Bora kbsa Africa kumpata kwa miongo kadhaaa period

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kifupi nchi hii haina succession plan wala vetting. Nchi yenye vetting huyo Magufuli hata form asingepewa. Kwa sababu alikuwa na shida kichwani
Nakukumbusha kitu! Nyerere hakumkubali kabisa Mwinyi ila alieheshimu uongozi wake mpaka amalizr miaka 10, hiki kitendo kilichoanza kwa JPM cha kujiona kuna watu wanaweza kumtoa Rais kwa njia yoyote kitakuja kututafuna huko mbele.
 
sivyo Magufuli no. 2 yupo round the corner.

Namsubiri
 
100000%
 
Stress za Kikwete ndo zilileta balaa lote hili, he feared Lowassa than anyone, lakini nadhani hadi dakika ya Mwisho aliopa poo mwenyewe kwa jinsi alivosomeshwa namba na jiwe
JK sasa ni mzee, anatakiwa kuona madhara ya ule mtandao wake.
Mwisho wa siku mtandao ulipochokwa, Kamati Kuu ya CCM wametuletea balaa ambalo halikutazamiwa.
Tujisahihishe.
 
Rejea mazungumzo ya simu yaliyonaswa kati ya Kinana, JMakamba, Nape na Membe utapata Majibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…