Mpaka leo najiuliza, ilikuwaje mpaka Magufuli akawa Rais?

Wewe ni nani katika hii nchi?

Kinyangarika tu hata ubalozi huna!

Magufuli alikuwa rais wa nchi na amiri jeshi mkuu, na nafurahii aliwapelekea moto mpaka mkaamua kumdondosha. [emoji1787]

Chuma kinaliaa chumaa HA HA HA chumaa! Weweeee!!
You are brainwashed. Its not your fault

Sent from my TECNO KG7h using JamiiForums mobile app
 
Sitashangaa nkiona post yako ikishambuliwa na watu. Watanzania wengi sana hatuelewi nini kinaendelea kwa sababu kwanza elimu ndogo/hafifu. Na kama unakumbuka watu walio na elimu walikuwa hawapendwi kweli

Sent from my TECNO KG7h using JamiiForums mobile app
 
Mkuu, kwanza mimi mwana CCM.
Pili, tukubali tusikubali, Kamati Kuu ya CCM iliparaganyika kutokana na kukosa umoja katika uteuzi wa mgombea urais 2015.
Siasa za misimamo ya chama na nani ataibeba bendera ya chama zilisahaulika kabisa.
Badala yake ikawa siasa za mitandao ya mtu na mtu, kama alivyifanya Kikwete mapema akigombea.
Mara kaingia mzee mzima Mkapa na kumpendekeza " kijana wake mchapa kazi" , Magufuli.
Na ikawa kwa mshangao kwa wengi.
 
Mbona Iddi Amini tunamsimanga? asemwe kwa maovu yake
 
Lilikuwa zali la memtali

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Mhubiri 9:5
kwa sababu walio hai wanajua ya kwamba watakufa; lakini wafu hawajui neno lo lote, wala hawana ijara tena; maana kumbukumbu lao limesahauliwa.

Mhubiri 9:6
Mapenzi yao na machukio yao, na husuda yao, imepotea yote pamoja; wala hawana sehemu tena katika jambo lo lote lililofanyika chini ya jua.
 
Hujiulizi ilikuaje mama yako mpaka akabeba mimba akazaa fedhuli kama wewe?
 
Ilitokana na kuwa na mfumo hafifu wa vetting kitengoni
 
Siasa za ubinafsi, za kuangalia kundi dogo linalowazunguka, ndugu, marafiki, kabila, wakwe, kanda ,....ni tatizo, na matokeo yake tunayaona.
Wanasiasa wabinafsi humuona yule atakayepundisha haki, anayeweza kuibia uma kwa faida ya kundi lao dogo ndiye shujaa na atapendekezwa mara moja.
Kinyume chake, wanasiasa wenye mapenzi mema na taifa, watafanya maamuzi kwa faida ya wananchi wote, vyama vyote, bila kuangalia zaidi kundi lao dogo.
 
Mkuu samweli wa pili , asemavyo Mhubiri ni kweli, ila anazungumzia ulimwengu huu wa mwili, physical world, ukiisha kufa unageuka mavumbi and that is the end of you kwenye ulimwengu huu wa mwili.

Kiumbe ni mwili na roho, kinachokufa ni mwili tuu, na kifo au kukata roho ni kitendo cha roho kuacha mwili, mwili ndio unakuwa na kugeuka mavumbi kwenye ulimwengu wa mwili, physical world na roho haifi, ni eternal, inaelekea kwenye ulimwengu wa roho, the spiritual world kwa ama kwenye jehanam ya moto wa milele, ama peponi kwenye raha ya milele, tena kwa dini ya wenzetu, kila mwanamume anakabidhiwa wanawali 7!, huko ni raha tuu!.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…