Mpaka leo najiuliza, ilikuwaje mpaka Magufuli akawa Rais?

Magufuli alikuwa rais kwa wafanya maamuzi wa wakati huo kuyaamini sana mapendekezo ya Intelijensia. Matokeo yake tukayakanyaga.
 
Yule mzee noma sana...amefanya wan asiasa waonekane wapiga porojo tu kwa wananchi.kila mtu atamkumbuka kwa lake.
 
Yule mzee noma sana...amefanya wan asiasa waonekane wapiga porojo tu kwa wananchi.kila mtu atamkumbuka kwa lake.
Kwa maamuzi tu alikuwa vizuri,Ila mengine alifeli kama visasi na kutaka watu waishi kwa tabu,manake ukimbana tajir direct unakuwa unamuumiza maskin anayemtegemea.
Uwezo wake wa kuchukua hatua,umefanya rais wa Sasa kupwaya kwenye kiti chake,manake maza ana uwezo mdogo wa kuanalyse mambo na kutake action,ndio maana vilaza kama makamba na mwigulu wanamburuza,🤣kwakua naye ni empty tu🙏
 
 
Kunanchi wajinga ni wengi na masikii niwengi zaidi, nchi hizo hushindwa kila nyanja hata kumchagua wakuwaongoza hushindikana
 
Wewe usiyekuwa na huo ubaya aliokuwa nao Magufuli (kwa mujibu wa maelezo yako), unaweza kuupata huo Urais kwa ndoto za usingizini?

Ufukara unakusumbua.
Unatetea Nini??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…