mkulimamiwa
JF-Expert Member
- Mar 4, 2025
- 2,591
- 5,315
Ni bangi inayoitwa dini.Wana jamvi hamjamboni?
Kunazo tarifa lukuki zikitokea Iran ya Madale kuwa, Tayari huko vita vya Beberu mkuu na Iran ya wairan wanaouumia ukiachana na wairan wa Miswe, eti viko mwishoni mwishoni kuimalizika huku Iran akiwa ndiye mshindi wa vita kwa kumchakaza Marekani kisawasawa
Swali langu ni
Ni mabomu mangapi yameungurumishwa ndani ya majiji ya Marekani kiasi Cha wamarekani kuelemewa?
Ila ushabiki wa mambo ya vita, ni kitu mbaya sana aisee
Marekani huwa anaepuka kupigana vita ma nchi ambazo zina silaha zinazoweza kufika sebuleni kwake.Wana jamvi hamjamboni?
Kunazo tarifa lukuki zikitokea Iran ya Madale kuwa, Tayari huko vita vya Beberu mkuu na Iran ya wairan wanaouumia ukiachana na wairan wa Miswe, eti viko mwishoni mwishoni kuimalizika huku Iran akiwa ndiye mshindi wa vita kwa kumchakaza Marekani kisawasawa
Swali langu ni
Ni mabomu mangapi yameungurumishwa ndani ya majiji ya Marekani kiasi Cha wamarekani kuelemewa?
Ila ushabiki wa mambo ya vita, ni kitu mbaya sana aisee
Punguza munkari Tulia ueleweshwe , vita sio mabomu wala vita sio kuua watu wasio na hatia. Vita ni malengo na ili ushinde vita maana yake ufikie malengo yako ulokusudia.Wana jamvi hamjamboni?
Kunazo tarifa lukuki zikitokea Iran ya Madale kuwa, Tayari huko vita vya Beberu mkuu na Iran ya wairan wanaouumia ukiachana na wairan wa Miswe, eti viko mwishoni mwishoni kuimalizika huku Iran akiwa ndiye mshindi wa vita kwa kumchakaza Marekani kisawasawa
Swali langu ni
Ni mabomu mangapi yameungurumishwa ndani ya majiji ya Marekani kiasi Cha wamarekani kuelemewa?
Ila ushabiki wa mambo ya vita, ni kitu mbaya sana aisee
Una uhakika na hili?marekani hafanyi vita kama magaidi wanavyofanya, hapigi wananchi au infrastructure za wananchi, US anampiga adui hatua kwa hafua
Baada ya kuua ndio ikawaje?Iran hawajaambulia hata Kanali. US wameua kila level ya Jenerali.
Shida mukishakua munasapoti waunga mkono wasagaji na wafiranaji hata akili hua zinahama kabisaTatizo la wavaa mashuka ni mihemuko na kupenda mambo ya kufikirika.
Wanakuambia eti iran anampelekesha marekani, lakini in reality ukiangalia marekani hafanyi vita kama magaidi wanavyofanya, hapigi wananchi au infrastructure za wananchi, US anampiga adui hatua kwa hafua. Anatumia strategic na sio jihad.
Kama marekani akiamu kumburuza iran bila ya ubinadamu basi anaweza ila yeye yuko civilized
Ni sawa na kusema....!Marekani huwa anaepuka kupigana vita ma nchi ambazo zina silaha zinazoweza kufika sebuleni kwake.
Siku akipigana na nchi kama Turkey, Russia au China Raia wake wapenda vita wataigeuka serikali maana hawajawahi kupitia hali ambayo serikali yao huwapisha wengine. Septemba 11 mpaka leo inawapigisha kelele wakati wao wanashusha majengo ya nchi nyingine kila siku.
Kushinda vita ni mbinu... Ukinivamia ili udondoshe utawala ukashindwa basi nimeshinda hata kama sikufika kwako maana lengo lako halijatimia.
Marekani alianza kuwa anataka kubadilisha regime ya Iran, baadaye malengo yakaenda yanabadilika kadri muda unavyokwenda. Sasa si regime tena bali ni hormuz...
Ukitazama kwa ukaribu utagundua hakuna alicho archieve hadi sasa. Iran bado inaongozwa kwa sheria na utawala ule ule.
Kama ugaidi Kuna anayemfikia mu Israel au kwa upande huo macho Yako yanakua kisogoniTatizo la wavaa mashuka ni mihemuko na kupenda mambo ya kufikirika.
Wanakuambia eti iran anampelekesha marekani, lakini in reality ukiangalia marekani hafanyi vita kama magaidi wanavyofanya, hapigi wananchi au infrastructure za wananchi, US anampiga adui hatua kwa hafua. Anatumia strategic na sio jihad.
Kama marekani akiamu kumburuza iran bila ya ubinadamu basi anaweza ila yeye yuko civilized
Ukiingia vitani unakuwa na lengo. Toka mwanzo Marekani alisema ni kuangusha utawala.... Mpaka sasa hilo halijatimia. Sasa amearchieve nini?Ni sawa na kusema....!
Licha kuwa ulinpiga kila pahala na kunilemea ila hukukiponda ponda kichwa, ulipaswa unipige kichwa...!
Kama ndivyo, basi sawa
Hata hivyo vita bado vingali vikiendelea, labda kichwa kitapigwa..?
Wavaa mashuka ndio kina nani?Tatizo la wavaa mashuka ni mihemuko na kupenda mambo ya kufikirika.
Wanakuambia eti iran anampelekesha marekani, lakini in reality ukiangalia marekani hafanyi vita kama magaidi wanavyofanya, hapigi wananchi au infrastructure za wananchi, US anampiga adui hatua kwa hafua. Anatumia strategic na sio jihad.
Kama marekani akiamu kumburuza iran bila ya ubinadamu basi anaweza ila yeye yuko civilized
Kwani chief kabla hatjadili hii maada lengo lako ni kutaka kuelewa au unajibu lako unahitaji kubishanWana jamvi hamjamboni?
Kunazo tarifa lukuki zikitokea Iran ya Madale kuwa, Tayari huko vita vya Beberu mkuu na Iran ya wairan wanaouumia ukiachana na wairan wa Miswe, eti viko mwishoni mwishoni kuimalizika huku Iran akiwa ndiye mshindi wa vita kwa kumchakaza Marekani kisawasawa
Swali langu ni
Ni mabomu mangapi yameungurumishwa ndani ya majiji ya Marekani kiasi Cha wamarekani kuelemewa?
Ila ushabiki wa mambo ya vita, ni kitu mbaya sana aisee
Kwamba dini ni bangi tu?Ni bangi inayoitwa dini.
Wavaa mashuka ndio kina nani?
............Ongezea.Kwamba dini ni bangi tu?
Ni kweli....Iran hawajaambulia hata Kanali. US wameua kila level ya Jenerali.