Nilipe nisepe
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 1,467
- 3,496
Kwa iyo mkuu hata ile kule Iraq ilikuwa strategic sio???Tatizo la wavaa mashuka ni mihemuko na kupenda mambo ya kufikirika.
Wanakuambia eti iran anampelekesha marekani, lakini in reality ukiangalia marekani hafanyi vita kama magaidi wanavyofanya, hapigi wananchi au infrastructure za wananchi, US anampiga adui hatua kwa hafua. Anatumia strategic na sio jihad.
Kama marekani akiamu kumburuza iran bila ya ubinadamu basi anaweza ila yeye yuko civilized
Sio limeshindwaNi kweli....
Lengo la Regime change limekufa kwa Sasa ni Hormuz ifunguliwe.
Maskini akili tu ndio ulinyimwaga. Kwako wewe vita ni hadi wapige majiji ya marekani?Ila ushabiki wa mambo ya vita, ni kitu mbaya sana aiaisee
Ukiwa mgalatia alafu ukiwa kilaza unakuwa kama msukuleTatizo la wavaa mashuka ni mihemuko na kupenda mambo ya kufikirika.
Wanakuambia eti iran anampelekesha marekani, lakini in reality ukiangalia marekani hafanyi vita kama magaidi wanavyofanya, hapigi wananchi au infrastructure za wananchi, US anampiga adui hatua kwa hafua. Anatumia strategic na sio jihad.
Kama marekani akiamu kumburuza iran bila ya ubinadamu basi anaweza ila yeye yuko civilized
Ushindi unategemeana na malengo, US na Israel zilipanga kung'oa utawala wa Ayatollah na pia kumaliza nuclear enrichment ila zote mbili zimefeli kwahiyo ni ushindi kwa Iran.Wana jamvi hamjamboni?
Kunazo tarifa lukuki zikitokea Iran ya Madale kuwa, Tayari huko vita vya Beberu mkuu na Iran ya wairan wanaouumia ukiachana na wairan wa Miswe, eti viko mwishoni mwishoni kuimalizika huku Iran akiwa ndiye mshindi wa vita kwa kumchakaza Marekani kisawasawa
Swali langu ni
Ni mabomu mangapi yameungurumishwa ndani ya majiji ya Marekani kiasi Cha wamarekani kuelemewa?
Ila ushabiki wa mambo ya vita, ni kitu mbaya sana aisee
Acha utoto, marekani amelipua madaraja, miundombinu ya maji masafi, na kalipua vyuo vikuu, hospitali ya kansa kwa vitoto vichanga na ameua watoto zaidi ya 200 kwenye shule ya msingi alafu unaandika uongo gani hapa?Wanakuambia eti iran anampelekesha marekani, lakini in reality ukiangalia marekani hafanyi vita kama magaidi wanavyofanya, hapigi wananchi au infrastructure za wananchi, US anampiga adui hatua kwa hafua. Anatumia strategic na sio jihad.
Kipi hajafanya? Marekani ameshaua zaidi ya raia elfu 5 (sio wanajeshi) baada ya kulipua maeneo ya raia wengi alafu unaongea ujinga gani hapa!!Kama marekani akiamu kumburuza iran bila ya ubinadamu basi anaweza ila yeye yuko civilized
Kwani kupigana si ilikua kupindua nchi sasa ikifeli si umeshindwa vita? huko Vietnam waliua watu zaidi ya Million 1 ila bado walishindwa vita sababu malengo yao ya kuondoa utawala wa Viet cong yalifeli same to Cuba waliua watu kibao ila kwa sababu walifeli kuondoa utawala wa castro walihesabika kushindwa vita.Ni sawa na kusema....!
Licha kuwa ulinpiga kila pahala na kunilemea ila hukukiponda ponda kichwa, ulipaswa unipige kichwa...!
Kama ndivyo, basi sawa
Hata hivyo vita bado vingali vikiendelea, labda kichwa kitapigwa..?
Dah!Iran hawajaambulia hata Kanali. US wameua kila level ya Jenerali.
Kumbe lengo la vita hii ilikua ni kuuliana viongozi?Ni kweli....
Lengo la Regime change limekufa kwa Sasa ni Hormuz ifunguliwe.
Kama ulitegemea kuona comment kinyume na hio pole sana mkuuDah!
Sikutegemea komenti kamaHii kutoka kwako.
Kwamba Iran hawajafanikiwa kuua hata kanali TU.
Kwamba Marekani pamoja na Israel wameua wakubwa kibao wa Iran.
Lakini Cha ajabu serikali ya kiislam ya Iran bado Iko madarakani..
Sasa sikuwahi kuisikia kama lengo la vita hii ni kuuliana viongozi wa kijeshi na kiraia.
Ila kama ni hivyo basi USA kashinda.
Basi walipaswa kurudisha majeshi kwao kwa sababu lengo limetimia.
Komenti hii imenikumbusha enzi za utoto tukifungwa kwenye football tunasema "kutufunga magoli mmetufunga lkn chenga twawala."
Leo hii Marekani imekua ya kushangilia kuua viongozi wa adui badala ya kutundika bendera ya Marekani Tehran!
Dah aisee ajabu sana.Kama ulitegemea kuona comment kinyume na hio pole sana mkuu
Kwasasa hiko ndio kichochoro Chao chakujifichia
Hawana pengine kama kuua viongozi wa kijeshi basi watangaze ushindi waondoke vitani
Unatumia vigezo gani kusema Iran kashinda vita?Dah!
Sikutegemea komenti kamaHii kutoka kwako.
Kwamba Iran hawajafanikiwa kuua hata kanali TU.
Kwamba Marekani pamoja na Israel wameua wakubwa kibao wa Iran.
Lakini Cha ajabu serikali ya kiislam ya Iran bado Iko madarakani..
Sasa sikuwahi kuisikia kama lengo la vita hii ni kuuliana viongozi wa kijeshi na kiraia.
Ila kama ni hivyo basi USA kashinda.
Basi walipaswa kurudisha majeshi kwao kwa sababu lengo limetimia.
Komenti hii imenikumbusha enzi za utoto tukifungwa kwenye football tunasema "kutufunga magoli mmetufunga lkn chenga twawala."
Leo hii Marekani imekua ya kushangilia kuua viongozi wa adui badala ya kutundika bendera ya Marekani Tehran!
Naunatumia vigezo gani kusema kama kashindwa vitaUnatumia vigezo gani kusema Iran kashinda vita?
Malengo ya mwanzo kabisa Marekani na Israel kuanzisha mashambulizi dhidi Iran yalikuwa yapi ?Unatumia vigezo gani kusema Iran kashinda vita?
Akikujibu unitagMalengo ya mwanzo kabisa Marekani na Israel kuanzisha mashambulizi dhidi Iran yalikuwa yapi ?
iran hajatupia kombora lolote ndani ya marekani ila marekani vita ishamchosha milio kibao...IMAGINE IRAN INGEKUWA INATUPA MAKOMBORA KULE HII VITA MAREKANI INGEMSHINDA 48HRS TUWana jamvi hamjamboni?
Kunazo tarifa lukuki zikitokea Iran ya Madale kuwa, Tayari huko vita vya Beberu mkuu na Iran ya wairan wanaouumia ukiachana na wairan wa Miswe, eti viko mwishoni mwishoni kuimalizika huku Iran akiwa ndiye mshindi wa vita kwa kumchakaza Marekani kisawasawa
Swali langu ni
Ni mabomu mangapi yameungurumishwa ndani ya majiji ya Marekani kiasi Cha wamarekani kuelemewa?
Ila ushabiki wa mambo ya vita, ni kitu mbaya sana aisee
Hii comment unadhani umekatwa kichwa au unaishi dunia ya kwako peke yao iran alishambulia nchi kama 5 akaua watu wasiozid 20 usa na israel wao waliua watu kama 3000+ nani alikuwa anashambulia hovyo hapoTatizo la wavaa mashuka ni mihemuko na kupenda mambo ya kufikirika.