Z zithromax JF-Expert Member Joined Apr 26, 2016 Posts 8,025 Reaction score 8,812 Aug 3, 2026 #41 Wazolee said: Ukiwa mgalatia alafu ukiwa kilaza unakuwa kama msukule Yani hata wiki 3 hazijaisha Trump anajitamba kuwa jeshi lake limelipua Madaraja , reli , mitambo ya umeme na maji Alafu wewe unasema eti USA hawajapiga miundombinu ya kiraia? Click to expand... Hata mgalatia anatumia akili jamaa anaroho mbaya zaido ya mchawi iran wameuliwa watu 3000+ irani imeshambulia nchi kama 5 hivi waliokufa hawazid 20
Wazolee said: Ukiwa mgalatia alafu ukiwa kilaza unakuwa kama msukule Yani hata wiki 3 hazijaisha Trump anajitamba kuwa jeshi lake limelipua Madaraja , reli , mitambo ya umeme na maji Alafu wewe unasema eti USA hawajapiga miundombinu ya kiraia? Click to expand... Hata mgalatia anatumia akili jamaa anaroho mbaya zaido ya mchawi iran wameuliwa watu 3000+ irani imeshambulia nchi kama 5 hivi waliokufa hawazid 20
Malcolm Zheng Member Joined Mar 11, 2023 Posts 71 Reaction score 168 Aug 3, 2026 #42 Marekani na Israel ndiyo mataifa ya kigaidi na kufadhili ugaidi duniani kutokana Matendo yao ya hovyo
Marekani na Israel ndiyo mataifa ya kigaidi na kufadhili ugaidi duniani kutokana Matendo yao ya hovyo
hip hop uchwara JF-Expert Member Joined Jan 13, 2023 Posts 6,853 Reaction score 4,552 Aug 3, 2026 #43 Muiran anapigana na sanctions pamoja na wazungu +waarabu +Waafrika kama wewe