Mpaka sasa unamshukuru Mungu kwa jambo gani kuu alilokutendea maishani mwako?

Mpaka sasa unamshukuru Mungu kwa jambo gani kuu alilokutendea maishani mwako?

Kwamba hutakufa sio na hutakaa uumwe?

Au siku ukifa au ukiumwa huyo Mungu atakuwa amesahau majukumu yake.

Au utakuwa umesahau kumshukuru huyo Mungu unayedai anakupa uhai na afya?

Je waliokufa na wanao umwa mahospitali unadhani hawakuwa wanamshukuru huyo Mungu kwa uhai na afya kabla hawajaanza kuumwa?
Nimeandika kutokana na uelewa wangu tafadhali baki na uelewa wako amini unachoona sahihi. Ahsante!
 
Huo ni mtazamo wako na mawazo yako, mimi sina cha zaidi mkuu.
Hata wewe kusema Mungu yupo ni mawazo na mitazamo yenu tu.

Kwa vile Mungu huyo hayupo katika uhalisia na hayupo kwa namna yoyote ile ya kuthibitishika yupo.

Mawazo na mitazamo yenu ya kusema Mungu yupo hayana ukweli wowote ule.

Kwa vile mmeshindwa na hamuwezi kuthibitisha ukweli wa hayo mawazo na mitazamo yenu.

Automatically mawazo yenu ni uongo mtupu.
 
Sawa mkuu
 
Familia ya four kids,Elimu na ajira,vitega uchumi vilivyopo SI haba naingiza walau laki 3hadi nne kwa mwezi ambazo sio ya kuuza Wala kununua yaani ipo tu nje ya ajira!,hata nisipokuwepo siwezi daiwa Hela ya matumizi!

Na mengine meengi sana!

Uzima na afya!
Kaka kumbe uko njema eeehhh!!

Hongera.
 
Back
Top Bottom