Mpaka sasa unamshukuru Mungu kwa jambo gani kuu alilokutendea maishani mwako?

Nimeandika kutokana na uelewa wangu tafadhali baki na uelewa wako amini unachoona sahihi. Ahsante!
 
Huo ni mtazamo wako na mawazo yako, mimi sina cha zaidi mkuu.
Hata wewe kusema Mungu yupo ni mawazo na mitazamo yenu tu.

Kwa vile Mungu huyo hayupo katika uhalisia na hayupo kwa namna yoyote ile ya kuthibitishika yupo.

Mawazo na mitazamo yenu ya kusema Mungu yupo hayana ukweli wowote ule.

Kwa vile mmeshindwa na hamuwezi kuthibitisha ukweli wa hayo mawazo na mitazamo yenu.

Automatically mawazo yenu ni uongo mtupu.
 
Sawa mkuu
 
Kaka kumbe uko njema eeehhh!!

Hongera.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…