Mpaka sasa wamekufa 9,700 hivi mashabiki wa HAMAS bado mnaamini huu uchokozi ulikua sahihi?

Huna unachokijua kuna huyu kiongozi mzungu wa uholanzi sio mbumbumbu kama wewe , huyu alikuwa hadi anataka sheria kali zitungwe kuudhibiti uislamu bungeni uholanzi, akawa anaandika kitabu cha kukashifu uislamu, mwisho wa siku akaja kubadili dini na sasa hivi ni swala tano
Story zenu zinanichekeshaga sana, mnajitekenya na kucheka wenyewe!
 
Sawa kumbuka juzi tu scotland imemchagua first minister muislamu tena mke wake mpalestina na huku uingereza imeweka record kwa kuchagua wabunge 19 waislamu bado unasema dunia imetukataa? Uislam umekubalika hadi na wazungu wewe chuki ndio zinazokusumbua
Hao waislam wazungu unawajua vzr? Unadhani uislam wao ni kama wako? Haohao ndo wanaoidhinisha misaada ya silaha kwa Israel kwaajili ya kuwapelekea moto waislam wenzako huko Gaza!
 
Gaza ina waislamu na wakristo , na wazungu wengi wanaasupport palestine na wanalaani upuuzi huu unaondelea leo uingereza councilors 20 wameresign kupinga msimamo wa serikali yao, wewe kazi yako kubwabwaja tu na chuki zako kwa waislamu
 
Attachments

  • Screenshot_20231105-224939_Instagram.jpg
    Screenshot_20231105-224939_Instagram.jpg
    118.8 KB · Views: 2
  • Screenshot_20231105-223905_Chrome.jpg
    Screenshot_20231105-223905_Chrome.jpg
    103.3 KB · Views: 1
Jinsi mnavyoishi na wazungu kwa bashasha kubwa?
Yes dunia maisha popote na uzuri uislamu umeendelea kukubalika kila kona ya dunia hadi nafasi za juu za uongozi kwnye nchi za magharibi ikiwemo chama cha kikristo ujerumani
 
Sawasawa.Ni muda mzuri mkirudi na kwenye nchi zenu za asili, Afrika na Uarabuni/Asia mkaendeleze "mahaba bin upendo" mliouvuna kwa makafir wa kizungu.Ama sivyo?
 
Ndio maana nakwambia maisha ni popote hata huko uarabuni kuna wazungu wengi wameenda kwa sababu za kimaisha ile ligi tu ya uarabuni wazungu almost 80% acha qatar, dubai na etc hata wewe ukitaka nenda hakuna atakayekukataza
 
Sawasawa.Ni muda mzuri mkirudi na kwenye nchi zenu za asili, Afrika na Uarabuni/Asia mkaendeleze "mahaba bin upendo" mliouvuna kwa makafir wa kizungu.Ama sivyo?
Hao wazungu wenyewe wakishaujua uislamu wanaishia kubadili dini tu
 
Attachments

  • Screenshot_20231105-232818_Chrome.jpg
    Screenshot_20231105-232818_Chrome.jpg
    112.2 KB · Views: 2
Huna unachokijua kuna huyu kiongozi mzungu wa uholanzi sio mbumbumbu kama wewe , huyu alikuwa hadi anataka sheria kali zitungwe kuudhibiti uislamu bungeni uholanzi, akawa anaandika kitabu cha kukashifu uislamu, mwisho wa siku akaja kubadili dini na sasa hivi ni swala tano
Kwahyo mkuu alah kaamuaje kuhusu hili kwamba wayahudi nao watakua waislam kama huyo mholanzi?
 
Sawa kumbuka juzi tu scotland imemchagua first minister muislamu tena mke wake mpalestina na huku uingereza imeweka record kwa kuchagua wabunge 19 waislamu bado unasema dunia imetukataa? Uislam umekubalika hadi na wazungu wewe chuki ndio zinazokusumbua
Kwani hapo walichagua kiongozi au muislam? Unatetea upumbavu kwa nguvu hivi[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Kwahyo mkuu alah kaamuaje kuhusu hili kwamba wayahudi nao watakua waislam kama huyo mholanzi?
From quran , hata huyu kiongozi wa far right wing wa uholanzi alikuwa anauchukia uislamu kama wewe, ila baada ya kufanya research wakati anaandika kitabu chake cha kukashifu uislamu aliishia kuupenda na kusilimu, allah ana njia zake
 
Attachments

  • Screenshot_20231105-233321_Chrome.jpg
    Screenshot_20231105-233321_Chrome.jpg
    33.4 KB · Views: 3
Kwani hapo walichagua kiongozi au muislam? Unatetea upumbavu kwa nguvu hivi[emoji2][emoji2][emoji2]
KWa jinsi mlivyokuwa na chuki na uislamu hamkupenda usambae hivi hadi kukubalika kumpa uongozi muislamu kwenye nchi yenye 99% chfistians but allah alwas has his ways na ingekuwa amri yenu wakristo wa tanzania hata waislamu wasingeruhusiwa kuongoza nchi za ulaya
 
Sasa mbona watu wake wanakufa hivi? Au plan zake hazjakaa sawasawa kwa ajili yakuwaokoa
Its just matter of time musa na watu wake waliuliwa na firauni , na aliua hadi kila mtoto aliyezaliwa lakini mwisho wa siku allah alionyesha njia, its just a matter of time , mungu kwenye quran anasema anawapenda wenye kusubiri
 
Mkuu kesho ulete update.
Idadi ni kubwa sana ya wafu na bado wanaendelea.
 
KWa jinsi mlivyokuwa na chuki na uislamu hamkupenda usambae hivi hadi kukubalika kumpa uongozi muislamu kwenye nchi yenye 99% chfistians but allah alwas has his ways na ingekuwa amri yenu wakristo wa tanzania hata waislamu wasingeruhusiwa kuongoza nchi za ulaya
Mbona unajichanganya mwenyewe!? Unasema Wakristo wamemchagua Kiongozi Muislam na wakati huohuo unasema ingekuwa ni maamuzi ya Wakristo wasingekubali kumpa muislam uongozi!!!
 
Maamuzi ya wakristo wa tanzania nilimaanisha, kwasababu wengi wana roho mbaya hata chunguza michango yao humu kuhusu vita ya israel na anagalia misimamo ya wazungu wengi utagundua hilo
 
Back
Top Bottom