Kanali_
JF-Expert Member
- Nov 18, 2018
- 6,438
- 10,180
Story zenu zinanichekeshaga sana, mnajitekenya na kucheka wenyewe!Huna unachokijua kuna huyu kiongozi mzungu wa uholanzi sio mbumbumbu kama wewe , huyu alikuwa hadi anataka sheria kali zitungwe kuudhibiti uislamu bungeni uholanzi, akawa anaandika kitabu cha kukashifu uislamu, mwisho wa siku akaja kubadili dini na sasa hivi ni swala tano