Uchaguzi 2020 Mpangilio wa Majina ya vyama kwenye Karatasi ya kupigia kura ulizingatia nini?

Uchaguzi 2020 Mpangilio wa Majina ya vyama kwenye Karatasi ya kupigia kura ulizingatia nini?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Mfano wa Karatasi ya Kura  Uchaguzi wa Rais, 2020 ( 640 X 640 ).jpg

Nimeona Mfano wa karatasi ya kupigia kura za Urais inayosambaa mitandaoni na ambayo inadaiwa kutolewa na Tume ya Uchaguzi (NEC).

Nina swali dogo tu ambalo naomba nijibiwe. Huu mpangilio wa Majina ya vyama uliowekwa kwa namba ulitokana na vigezo gani, yaani ni kigezo gani kilizingatiwa ili huyu awe namba 1 na yule awe namba 5 ama awe namba 8?

Nitasema Kweli Daima Fitna kwangu Mwiko .
 
2015 walifata mpangilio Alphabetically.

Naona mwaka huu wameamua kufanya kituko, inawezekana wakaweka jina la chadema upande wa nyuma wa karatasi.

Sitashangaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Halafu mwaka jana wakaengua wagombea uchaguzi serikali za mitaa kisa walijaza CHADEMA badala ya Chama cha demokrasia na maendeleo
 
2015 walifata mpangilio Alphabetically.

Naona mwaka huu wameamua kufanya kituko, inawezekana wakaweka jina la chadema upande wa nyuma wa karatasi.

Sitashangaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mpangilio wa alphabeti ndiyo ambao unakubalika kimataifa. Sijui hii imekaaje! Ila busara na hekima hutupa mantiki ya kuwa aliye wa kwanza huja kuwa wa mwisho, na wa mwisho huwa ni wa kwanza.
 
Mpangilio wa alphabeti ndiyo ambao unakubalika kimataifa. Sijui hii imekaaje! Ila busara na hekima hutupa mantiki ya kuwa aliye wa kwanza huja kuwa wa mwisho, na wa mwisho huwa ni wa kwanza.
Walidhani wakimweka Lissu wa mwisho wapigakura hawatamwona kumbe, Sasa tumeisha jua Cha kufanya "chagua wagombea wagombea wa mwisho kwenye karatasi"
 
Back
Top Bottom