Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu wanaanza na herufi C ya CCM wakati kunavyama vinaanza na A.
Nimeona Mfano wa karatasi ya kupigia kura za Urais inayosambaa mitandaoni na ambayo inadaiwa kutolewa na Tume ya Uchaguzi (NEC).
Nina swali dogo tu ambalo naomba nijibiwe. Huu mpangilio wa Majina ya vyama uliowekwa kwa namba ulitokana na vigezo gani, yaani ni kigezo gani kilizingatiwa ili huyu awe namba 1 na yule awe namba 5 ama awe namba 8?
Nitasema Kweli Daima Fitna kwangu Mwiko .
Lakini kina Membe na Lipumba walikuja kuchukua fomu baada ya Lissu, Labda waseme ni mpangilio wa uteuzi wa kugombea, maana Lissu alikaa nao mpaka usikuNEC wamesema kama Wagombea walivyoenda Kuchukua Fomu za Kugombea hapo Kwao NEC basi ndiyo nao Wamepangwa hivyo hivyo Karatasini.
Hii imekaa poa ni mpango wa Mungu usiwastue wakabadili
Nimeona Mfano wa karatasi ya kupigia kura za Urais inayosambaa mitandaoni na ambayo inadaiwa kutolewa na Tume ya Uchaguzi (NEC).
Nina swali dogo tu ambalo naomba nijibiwe. Huu mpangilio wa Majina ya vyama uliowekwa kwa namba ulitokana na vigezo gani, yaani ni kigezo gani kilizingatiwa ili huyu awe namba 1 na yule awe namba 5 ama awe namba 8?
Nitasema Kweli Daima Fitna kwangu Mwiko .
Ukifanya hivyo kura inaharibika mkuuWameamua kuwaweka wapinzani wawili mbalimbali ili wale watu wanaotetemeka wasije kukosea kupiga tiki.
Tarehe 28 nikiingia chumba Cha kupigia kura, nachukua kalamu, pale namba moja nachora zombie halafu tiki napiga chini kabisaaa.
Nafikiri wameanza na chama tawala na vyama vyake washirika!!!
Nimeona Mfano wa karatasi ya kupigia kura za Urais inayosambaa mitandaoni na ambayo inadaiwa kutolewa na Tume ya Uchaguzi (NEC).
Nina swali dogo tu ambalo naomba nijibiwe. Huu mpangilio wa Majina ya vyama uliowekwa kwa namba ulitokana na vigezo gani, yaani ni kigezo gani kilizingatiwa ili huyu awe namba 1 na yule awe namba 5 ama awe namba 8?
Nitasema Kweli Daima Fitna kwangu Mwiko .
Hao watumishi wanaoandaa hizo karatasi akili zao hazina akili.2015 walifata mpangilio Alphabetically.
Naona mwaka huu wameamua kufanya kituko, inawezekana wakaweka jina la chadema upande wa nyuma wa karatasi.
Sitashangaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu mwaka jana wakaengua wagombea uchaguzi serikali za mitaa kisa walijaza CHADEMA badala ya Chama cha demokrasia na maendeleo
Malekezo kutoka juu [emoji23][emoji23][emoji23]
Wa kwanza Chama Tawala, halafu wa mwisho Chama Kikuu cha upinzani.
Nimeona Mfano wa karatasi ya kupigia kura za Urais inayosambaa mitandaoni na ambayo inadaiwa kutolewa na Tume ya Uchaguzi (NEC).
Nina swali dogo tu ambalo naomba nijibiwe. Huu mpangilio wa Majina ya vyama uliowekwa kwa namba ulitokana na vigezo gani, yaani ni kigezo gani kilizingatiwa ili huyu awe namba 1 na yule awe namba 5 ama awe namba 8?
Nitasema Kweli Daima Fitna kwangu Mwiko .
Na 'Kisaikolojia' Jina lako pamoja na Picha yako ( Nyago lako ) vikiwekwa kuanzia Namba 12 hadi 14 tu jua ni ya 'Adhabu' ya 'Kimkakati' Kwako pia.Lakini kina Membe na Lipumba walikuja kuchukua fomu baada ya Lissu, Labda waseme ni mpangilio wa uteuzi wa kugombea, maana Lissu alikaa nao mpaka usiku
Huo ni mfano Boss.. siyo kitu halisi.. katika karatasi Halisi waweza kukuta CHADEMA Ndo no.1
Ila kwa upande wa pili ni kumpiga chura teke, kwa wale waiojua kusoma vizuri au wanaokuwa na kiwewe cha kupiga kura wataambiwa tu piga kura pale chini kabisa ni jina la mwisho, sema kwa Tume yetu "huru" wanaweza kuwa huru kubadilisha hizo karatasi tena na kuweka mpendwa wao chiniNa 'Kisaikolojia' Jina lako pamoja na Picha yako ( Nyago lako ) vikiwekwa kuanzia Namba 12 hadi 14 tu jua ni ya 'Adhabu' ya 'Kimkakati' Kwako pia.
CHADEMA HAIKO BOLDED
Nimeona Mfano wa karatasi ya kupigia kura za Urais inayosambaa mitandaoni na ambayo inadaiwa kutolewa na Tume ya Uchaguzi (NEC).
Nina swali dogo tu ambalo naomba nijibiwe. Huu mpangilio wa Majina ya vyama uliowekwa kwa namba ulitokana na vigezo gani, yaani ni kigezo gani kilizingatiwa ili huyu awe namba 1 na yule awe namba 5 ama awe namba 8?
Nitasema Kweli Daima Fitna kwangu Mwiko .
Msimamizi wa kituo au karani unamwambia yule layman tick uyo wa mwisho. Kwakwel huu mpangilio umekaa poa snHuu mpangilio mzuri sana, wao walijifanya kukomoa ila unawaambia laymen kuwa tiki yule wa mwisho. Angepachikwa katikati ingeleta ugumu.
Wapiga Kura wengi Siku ya Kupiga Kura huwa hawataki na wala hawapendi sana 'Kujichosha' na huwapigia wa Kwanza na wa Mwisho ataachwa tu.Ila kwa upande wa pili ni kumpiga chura teke, kwa wale waiojua kusoma vizuri au wanaokuwa na kiwewe cha kupiga kura wataambiwa tu piga kura pale chini kabisa ni jina la mwisho, sema kwa Tume yetu "huru" wanaweza kuwa huru kubadilisha hizo karatasi tena na kuweka mpendwa wao chini
Lengo kuibeba CCM mtu anaambiwa ukiona jina la kwanza chagua hata kama hajui kusoma
Nimeona Mfano wa karatasi ya kupigia kura za Urais inayosambaa mitandaoni na ambayo inadaiwa kutolewa na Tume ya Uchaguzi (NEC).
Nina swali dogo tu ambalo naomba nijibiwe. Huu mpangilio wa Majina ya vyama uliowekwa kwa namba ulitokana na vigezo gani, yaani ni kigezo gani kilizingatiwa ili huyu awe namba 1 na yule awe namba 5 ama awe namba 8?
Nitasema Kweli Daima Fitna kwangu Mwiko .
Uchaguzi wetu ni maigizo tupuWalidhani wakimweka lissu wa mwisho wapigakura hawatamwona kumbe, Sasa tumeisha jua Cha kufanya "chagua wagombea wagombea wa mwisho kwenye karatasi"