Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Ili lipate kutimia lile neno kuwa "wa mwisho atakuwa wa kwanza".
Uko sahihi kabisa... Huu mpangili ni mwiba, japo pia kwa wa ccm watawaambia tiki wa kwanza kabisaHuu mpangilio mzuri sana, wao walijifanya kukomoa ila unawaambia laymen kuwa tiki yule wa mwisho. Angepachikwa katikati ingeleta ugumu.
Mpangilio wa alphabeti ndiyo ambao unakubalika kimataifa. Sijui hii imekaaje! Ila busara na hekima hutupa mantiki ya kuwa aliye wa kwanza huja kuwa wa mwisho, na wa mwisho huwa ni wa kwanza.2015 walifata mpangilio Alphabetically.
Naona mwaka huu wameamua kufanya kituko, inawezekana wakaweka jina la chadema upande wa nyuma wa karatasi.
Sitashangaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kama imekaa vizuri vile !Pigia Kura yule wa mwisho
Huwa wanapangaga kwa Alphabetic order which means vyama kama AAFP na ADC ndio wangetakiwa kutangulia.
Walidhani wakimweka Lissu wa mwisho wapigakura hawatamwona kumbe, Sasa tumeisha jua Cha kufanya "chagua wagombea wagombea wa mwisho kwenye karatasi"Mpangilio wa alphabeti ndiyo ambao unakubalika kimataifa. Sijui hii imekaaje! Ila busara na hekima hutupa mantiki ya kuwa aliye wa kwanza huja kuwa wa mwisho, na wa mwisho huwa ni wa kwanza.