Uchaguzi 2020 Mpangilio wa Majina ya vyama kwenye Karatasi ya kupigia kura ulizingatia nini?

Upuuzi mtupu.
 
Wala hata usihangaike watu wanuelewa kabisa Lisu wanamfahamu na vidole vya chadema,na isitoshe watu hawana mpango na ccm,safari hii watu wako tayari watapitia mmoja baada ya mwingine ndipo aweke tick
 
Wafuasi wengi wa upinzani hasa kwa maeneo ya mijini walisusia kujiandikisha/kuboresha taarifa zao kwenye daftari la mpiga kura.

Hivyo, usijichoshe, hakuna atakae kwenda kumchagua Lissu ambaye yeye mwenyewe hakujiandikisha.
29 milion voters maana yake watu wazima wote wamejiandikisha kwahiyo hoja yako haina mantiki yoyote

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Wafuasi wengi wa upinzani hasa kwa maeneo ya mijini walisusia kujiandikisha/kuboresha taarifa zao kwenye daftari la mpiga kura.

Hivyo, usijichoshe, hakuna atakae kwenda kumchagua Lissu ambaye yeye mwenyewe hakujiandikisha.
By the uchaguzi huu ccm itapoteza zaidi mikoani kuliko Dar es Salaam hata mwamko mikoani ulikuwa mkubwa kuliko Dar kwenye kampeni

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Nyie ndio wale mnaopiga kura halafu mnarudi nyumbani mkimtegemea Mungu afanye miujiza wakati wewe mwenyewe ni muujiza.
Mungu hufanya yasiyowezekana yawezekane.

Mwaka wa kufa nyani miti yote huteleza.

Mungu akisema NDIYO nani wa kusema HAPANA?

Mungu hufanya njia pasipo na njia.
 
C2
 
Kizazi cha watu wasiosoma kimeisha. Hiki ndyo kizazi kilichokuwa kikiibeba CCM. Kizazi kilichojua kuwa rais bado ni nyerere karne hii.

Hivi sasa mtu anatoka kwake anaenda kupiga kura akijua anaenda kumpigia nani. Sii et afike kwenye chumba aanze kuamua ampigie nani.

Cha msingi Cadema waweke nguvu kuwafamilialize wapiga kura na ballot paper
.
 
Wafuasi wengi wa upinzani hasa kwa maeneo ya mijini walisusia kujiandikisha/kuboresha taarifa zao kwenye daftari la mpiga kura.

Hivyo, usijichoshe, hakuna atakae kwenda kumchagua Lissu ambaye yeye mwenyewe hakujiandikisha.
Hili chadema wengi hawataki kuliona ila ndo uhalisia. Chadema wengi walisusia hili zoezi baada ya kilichotokea kwenye uchaguzi mdogo na uncertainty iliyotokea kuhusu Lissu kupitishwa na chama chake kugombea
 
Wanaccm walioitikia ndiyo wataipigia kura chadema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…