Uchaguzi 2020 Mpangilio wa Majina ya vyama kwenye Karatasi ya kupigia kura ulizingatia nini?

Nimeona Mfano wa karatasi ya kupigia kura za Urais inayosambaa mitandaoni na ambayo inadaiwa kutolewa na Tume ya Uchaguzi (NEC).

Nina swali dogo tu ambalo naomba nijibiwe. Huu mpangilio wa Majina ya vyama uliowekwa kwa namba ulitokana na vigezo gani, yaani ni kigezo gani kilizingatiwa ili huyu awe namba 1 na yule awe namba 5 ama awe namba 8?

Nitasema Kweli Daima Fitna kwangu Mwiko .

Utashi wa mkurugenzi
 
Randomization
 
NEC wamesema kama Wagombea walivyoenda Kuchukua Fomu za Kugombea hapo Kwao NEC basi ndiyo nao Wamepangwa hivyo hivyo Karatasini.
Mahali popote usajili wa majina hufanywa kwa mida tofauti lakini mwisho wa siku majina hayo hupangwa ki alphabet ili kurahisisha utafutaji wa jina na pia ni utaratibu wa kawaida katika mambo ya records. Pale referee anapokua na lake kichani, huweza toa adhabu kwa mchezaji wa timu moja hata sababu isiyo na msingi. Hili halikua na sababu yoyote kuhangaika na huo mpangilio usio leta maana katika taratibu za mipangilio.
 
Nimeona Mfano wa karatasi ya kupigia kura za Urais inayosambaa mitandaoni na ambayo inadaiwa kutolewa na Tume ya Uchaguzi (NEC).

Nina swali dogo tu ambalo naomba nijibiwe. Huu mpangilio wa Majina ya vyama uliowekwa kwa namba ulitokana na vigezo gani, yaani ni kigezo gani kilizingatiwa ili huyu awe namba 1 na yule awe namba 5 ama awe namba 8?

Nitasema Kweli Daima Fitna kwangu Mwiko .
Ulizingatia kumweka kuku na vifaranga vyake kwanza vikae pamoja. Huwezi kumtenga mzazi na mwanae
 
guys msiumie sana
Kumbuka Samwel alipokwenda nyumban kwa Yese kumpaka mafuta aliyechaguliwa na MUNGU kuwa mfalme. Daudi alikuwa wa mwisho tena hakuwepo kbs ilibidi akaitwe alipokuja MUNGU akasema huyu ndiye. Hivyo Lissu kuwa wa mwisho ni ishara ya kuwa anakwenda kuwa mfalme badala ya aliyepo. Jambo kubwa la kumkumbusha Lissu ni kwamba haita kuwa rahisi kwake. Atapitia njia za.Daudi kumtoa Sauli madarakani. So tuzidi kumuombea neema yaujasiri zaid hekima na busara
 
Nimeona Mfano wa karatasi ya kupigia kura za Urais inayosambaa mitandaoni na ambayo inadaiwa kutolewa na Tume ya Uchaguzi (NEC).

Nina swali dogo tu ambalo naomba nijibiwe. Huu mpangilio wa Majina ya vyama uliowekwa kwa namba ulitokana na vigezo gani, yaani ni kigezo gani kilizingatiwa ili huyu awe namba 1 na yule awe namba 5 ama awe namba 8?

Nitasema Kweli Daima Fitna kwangu Mwiko .
Ulizingatia "Wa kwanza atakuwa wa Mwisho na Wa Mwisho atakuwa wa Kwanza"
 
guys msiumie sana
Kumbuka Samwel alipokwenda nyumban kwa Yese kumpaka mafuta aliyechaguliwa na MUNGU kuwa mfalme. Daudi alikuwa wa mwisho tena hakuwepo kbs ilibidi akaitwe alipokuja MUNGU akasema huyu ndiye. Hivyo Lissu kuwa wa mwisho ni ishara ya kuwa anakwenda kuwa mfalme badala ya aliyepo. Jambo kubwa la kumkumbusha Lissu ni kwamba haita kuwa rahisi kwake. Atapitia njia za.Daudi kumtoa Sauli madarakani. So tuzidi kumuombea neema yaujasiri zaid hekima na busara
Ha ha ha ha
 
2015 walifata mpangilio Alphabetically.

Naona mwaka huu wameamua kufanya kituko, inawezekana wakaweka jina la chadema upande wa nyuma wa karatasi.

Sitashangaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Halafu mwaka jana wakaengua wagombea uchaguzi serikali za mitaa kisa walijaza CHADEMA badala ya Chama cha demokrasia na maendeleo
Kama walifata alphabetically ingeanza ADC au

Sent from my SM-T285 using JamiiForums mobile app
 
Nimeona Mfano wa karatasi ya kupigia kura za Urais inayosambaa mitandaoni na ambayo inadaiwa kutolewa na Tume ya Uchaguzi (NEC).

Nina swali dogo tu ambalo naomba nijibiwe. Huu mpangilio wa Majina ya vyama uliowekwa kwa namba ulitokana na vigezo gani, yaani ni kigezo gani kilizingatiwa ili huyu awe namba 1 na yule awe namba 5 ama awe namba 8?

Nitasema Kweli Daima Fitna kwangu Mwiko .
Kuna uwezekano mkubwa sana wa wapigakura kuchanganya kati ya CHADEMA na CHAUMA. Iwe kwa kudhamiria au vinginevyo herufi za CHAUMA zimeandikwa kwa ukubwa zaidi kuliko za CHADEMA nayo imeanza kabla. CHADEMA wafanye juhudi kuelimisha wapiga kura wao ilije wakampa kura mzee Rungwe bila kudhamiria.
 
Saccos kwa kulalamika, hamjambo. Kama mtu ana mahaba na ninyi atawapa tu hata kama mpo uvunguni.
 
Nimeona Mfano wa karatasi ya kupigia kura za Urais inayosambaa mitandaoni na ambayo inadaiwa kutolewa na Tume ya Uchaguzi (NEC).

Nina swali dogo tu ambalo naomba nijibiwe. Huu mpangilio wa Majina ya vyama uliowekwa kwa namba ulitokana na vigezo gani, yaani ni kigezo gani kilizingatiwa ili huyu awe namba 1 na yule awe namba 5 ama awe namba 8?

Nitasema Kweli Daima Fitna kwangu Mwiko .
Mwenyewe nimeshangaa,sana.ni VP?
 
Mi naona Wameturahisishia sana.hupotezi muda. Unashuka chini moja kwa moja..

Back
Top Bottom