Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NEC wamesema kama Wagombea walivyoenda Kuchukua Fomu za Kugombea hapo Kwao NEC basi ndiyo nao Wamepangwa hivyo hivyo Karatasini.
Wameamua kuwaweka wapinzani wawili mbalimbali ili wale watu wanaotetemeka wasije kukosea kupiga tiki.
Tarehe 28 nikiingia chumba Cha kupigia kura, nachukua kalamu, pale namba moja nachora zombie halafu tiki napiga chini kabisaaa.(natania tu)
Ushaambiwa huo ndo mfano wa halisi. Kama hii itakua kweli basi tutakua tumepata Tume ya ajabu sana kuwahi kutokeaHuo ni mfano Boss.. siyo kitu halisi.. katika karatasi Halisi waweza kukuta CHADEMA Ndo no.1
Yaani hii hata mimi nimeipenda, unaingia tu unakimbilia kule mwisho! Hii mbona hata vibibi vitaweza kupiga kura bila msaada wa mtu!!Walidhani wakimweka lissu wa mwisho wapigakura hawatamwona kumbe, Sasa tumeisha jua Cha kufanya "chagua wagombea wagombea wa mwisho kwenye karatasi"
Umeambiwa kuwa Mimi ni Kaijage au Mahera ambaye naweza Kujibu hili Swali lako?Kwa nini sio kama walivyorudisha fomu?
Kimbelembele cha CCM kiwatoke puani, wapuuzi waahed!
Ndio maana kila anayetumikia Tume ya uchaguzi Tanzania lazima adhalilikeHizi ni funza za kichwani kabisa au fungus za mdomoni!! Sitaki kuamini kama mpangilio huu umeandikwa na mtu mwenye akili timamu, mwenye mke, watoto na mhitimu hata wa darasa la 2 kama lipo lakini. Hivi ushawahi kutana mtu amejaliwa vitu 2 mjinga na mpumbavu!
shemeji achana na mchuzi shusha mkono hadi chini utazikuta nyama (Lisu)kama imekaa vizuri vile !
Ndio wengi Wa CHADEMA hahahaa zikiharibika mtalia tenaHuu mpangilio mzuri sana, wao walijifanya kukomoa ila unawaambia laymen kuwa tiki yule wa mwisho. Angepachikwa katikati ingeleta ugumu.
una uhakika na ulichokiandika ?Huo ni mfano siyo kama itavyokuwa japo CCM nimeona ni namba 1 na CUF namba mbili, mtu akasome chama chake kilipo na siyo huo mfano.
Sadakalau; kila wakala wa chama alichagua bahasha kwenye boksi ambayo ilikuwa na namba ya position ya chama chake kwenye ballot paper. Mawakala hawakukubaliana order youote, ndiyo maana njia hiyo ikatumika
Nimeona Mfano wa karatasi ya kupigia kura za Urais inayosambaa mitandaoni na ambayo inadaiwa kutolewa na Tume ya Uchaguzi (NEC).
Nina swali dogo tu ambalo naomba nijibiwe. Huu mpangilio wa Majina ya vyama uliowekwa kwa namba ulitokana na vigezo gani, yaani ni kigezo gani kilizingatiwa ili huyu awe namba 1 na yule awe namba 5 ama awe namba 8?
Nitasema Kweli Daima Fitna kwangu Mwiko .
unaweza kuthibitisha hili ?Sadakalau; kila wakala wa chama alichagua bahasha kwenye boksi ambayo ilikuwa na namba ya position ya chama chake kwenye ballot paper. Mawakala hawakukubaliana order youote, ndiyo maana njia hiyo ikatumika