Uchaguzi 2020 Mpangilio wa Majina ya vyama kwenye Karatasi ya kupigia kura ulizingatia nini?

Uchaguzi 2020 Mpangilio wa Majina ya vyama kwenye Karatasi ya kupigia kura ulizingatia nini?

This is the tyranny with face in Africa, all old fraustrated and power drunk fools don't want to do the right thing, yet keeps oppressing the masses for saying the right thing! You can't kill a man who isn't afraid of dying! Shameless leaders
 
Wameamua kuwaweka wapinzani wawili mbalimbali ili wale watu wanaotetemeka wasije kukosea kupiga tiki.

Tarehe 28 nikiingia chumba Cha kupigia kura, nachukua kalamu, pale namba moja nachora zombie halafu tiki napiga chini kabisaaa.(natania tu)
Mkuu usifanye hivyo!! Kura itaharibika!!
 
Usifanye utani katika mambo ya msingi kama haya. Unawezafanya watu wakaharibu kura ambazo tunazihitaji.
Wameamua kuwaweka wapinzani wawili mbalimbali ili wale watu wanaotetemeka wasije kukosea kupiga tiki.

Tarehe 28 nikiingia chumba Cha kupigia kura, nachukua kalamu, pale namba moja nachora zombie halafu tiki napiga chini kabisaaa.(natania tu)
 
KUWENI MAKINI SANA. HUU NI MFANO TU. TUMECCM IMETOA HUU MFANO ILI WATU WAAMBIE WAMPIGIE KURA LISSU NI JINA LA MWISHO, KUMBE KIWANDANI NI TOFAUTI NA ANAWEKWA KATIKATI KATIKA KARATASI HALISI YA KURA NA WATU WANAPOTEA MABOYA KIRAHISI. INABIDI CHADEMA KUWA MAKINI SANA NA KUJIHAKIKISHIA KUWA KARATASI HALISI YA KURA ITAKUWA VILEVILE ULIVYO MFANO HUU KIMPANGILIO.
 
Unatetea ujinga kwenye jukwaa lenye watu wenye akili zao. Haya endelea... CCM na NEC wanajua Watanzania ni wajinga (kama wewe) eti wakiweka jina la CCM juu, watavuna kura na la CHADEMA mwisho, hawatapa kitu! Huu ni ujinga wa hali ya juu.
Mnama lazima apatikane wa kuwekwa mwisho alafu muda mwingine tukomplein mambo yenye tija sio Kila kitu kinachofanywa na tume Ni kibaya
 
Chadema wameiweka ya mwisho ili watu waisahau [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sijui nani mshauri wa ccm na tume yao
 
Cha muhimu mgombea wenu yupo au hayupo? Mbona mnavitimbwi Lialia FC.

October 28th kura zote kibox cha kwanza kwa JPM.

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Nimeona Mfano wa karatasi ya kupigia kura za Urais inayosambaa mitandaoni na ambayo inadaiwa kutolewa na Tume ya Uchaguzi (NEC).

Nina swali dogo tu ambalo naomba nijibiwe. Huu mpangilio wa Majina ya vyama uliowekwa kwa namba ulitokana na vigezo gani, yaani ni kigezo gani kilizingatiwa ili huyu awe namba 1 na yule awe namba 5 ama awe namba 8?

Nitasema Kweli Daima Fitna kwangu Mwiko .
Does it really matter?
 
KUWENI MAKINI SANA. HUU NI MFANO TU. TUMECCM IMETOA HUU MFANO ILI WATU WAAMBIE WAMPIGIE KURA LISSU NI JINA LA MWISHO, KUMBE KIWANDANI NI TOFAUTI NA ANAWEKWA KATIKATI KATIKA KARATASI HALISI YA KURA NA WATU WANAPOTEA MABOYA KIRAHISI. INABIDI CHADEMA KUWA MAKINI SANA NA KUJIHAKIKISHIA KUWA KARATASI HALISI YA KURA ITAKUWA VILEVILE ULIVYO MFANO HUU KIMPANGILIO.
Umefikiri tofauti.nia yao itajulikana tu.
 
Jf Kuna wasumbufu Sana. Hii ingekuwa ni mpaka huku field wallah Hawa nzi wa kijani wangelela na viatu. Ccm ishakataliwa kwa Sasa wanajaribu kubuni mbinu za wizi.

Lissu shikilia hapo hapo baba...piga spana
 
NEC wamesema kama Wagombea walivyoenda Kuchukua Fomu za Kugombea hapo Kwao NEC basi ndiyo nao Wamepangwa hivyo hivyo Karatasini.
... ratiba ya nani aanze, afuate nani, na wa mwisho kuchukua fomu awe nani ilipangwa na NEC hiyo hiyo. So, there were malicious intentions right from the beginning! Sio bahati mbaya, ni mpango ulosukwa kwa muda mrefu.
 
Unatetea ujinga kwenye jukwaa lenye watu wenye akili zao. Haya endelea... CCM na NEC wanajua Watanzania ni wajinga (kama wewe) eti wakiweka jina la CCM juu, watavuna kura na la CHADEMA mwisho, hawatapa kitu! Huu ni ujinga wa hali ya juu.
Sawa mnama wew na akili zako ulitaka cdm iwe ya ngap kwenye orodha na mwisho awekwe nan
 
Back
Top Bottom