Uchaguzi 2020 Mpangilio wa Majina ya vyama kwenye Karatasi ya kupigia kura ulizingatia nini?

Tusubiri counter attack karatasi tulizoonyeshwa Kama sampo sio zitakazochapishwa. Kwahizi zilizopo ni rahisi pia kwa tundu lissu si awaambie tu wapiga Kura wake waruke majina yooote wakatie tiki lile la mwishoooni kabisa
 
Wafuasi wengi wa upinzani hasa kwa maeneo ya mijini walisusia kujiandikisha/kuboresha taarifa zao kwenye daftari la mpiga kura.

Hivyo, usijichoshe, hakuna atakae kwenda kumchagua Lissu ambaye yeye mwenyewe hakujiandikisha.
Kwa hiyo unataka tuelewe kuwa kama hao wafuasi wengi wa upinzani waliosusia kujiandikisha/kuboresha taarifa zao kwenye daftari la mpiga kura wangejiandikisha/kuboresha taarifa zao,tungekuwa na wapiga kura zaidi ya nusu ya Watanzania wote!!??
Maana yake ulichoandika ni kuwa waliojiandikisha/kuboresha taarifa zao (milioni 29) ni wana CCM!!??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wafuasi wengi wa upinzani hasa kwa maeneo ya mijini walisusia kujiandikisha/kuboresha taarifa zao kwenye daftari la mpiga kura.

Hivyo, usijichoshe, hakuna atakae kwenda kumchagua Lissu ambaye yeye mwenyewe hakujiandikisha.
Walituhadaa,wakasema hakuna haja ya kujiandikisha au kuboresha daftari ya mpiga kura watasusia uchaguzi mkuu kama walivyosusia chaguzi za serikali ya mitaa.
Lakini sasa ni kinyume.
 
Mungu huyuhuyu uliemkejeli kipindi cha corona?
Mmh! Hivi bado unaamini kwamba ucha Mungu wa Magufuli ndiyo umeondoa korona Tanzania?

Ucha Mungu gani aliyo nao Magufuli?
Anauwa
Anateka
Anapora mali za Wafanyabiashara
Anajeruhi kwa risasi
Anaiba fedha za rambirambi.n.k

Kwa taarifa yako kuna nchi 14 barani Afrika ambazo hata shule hazikufungwa. Hii kiki ya kutembelea nyota ya korona imefeli vibaya sana.
 
Walituhadaa,wakasema hakuna haja ya kujiandikisha au kuboresha daftari ya mpiga kura watasusia uchaguzi mkuu kama walivyosusia chaguzi za serikali ya mitaa.
Lakini sasa ni kinyume.
Vichinjio watu wanavyo. Subiri 28/10/2020
 
Uchaguzi huu CCM inakwenda kushinda kwa kishindo kwakua upinzani nidhaifu kuliko wakati wowote tangu kuanzishwa kwa vyama vingi.
 
Wafa maji hao mkuu, hawaishi kutapatapa.
 
Good thinking
 
Nakubaliana na wewe kwa mengi kwenye andiko lako. Lakini nataka kuamini kwamba, mtu aliyekwenda kupiga kura amedhamiria na atakuwa makini mno kuhakikisha kwamba dhamira yake inatimia kwa kumpigia kura anayemhitaji.
 
Kila siku huwa nawaambia Mungu siyo Amsterdam au Askofu Bagonza kwamba anachagua kuegemea upande wa Lisu tu.
 
Tusubiri counter attack karatasi tulizoonyeshwa Kama sampo sio zitakazochapishwa. Kwahizi zilizopo ni rahisi pia kwa tundu lissu si awaambie tu wapiga Kura wake waruke majina yooote wakatie tiki lile la mwishoooni kabisa
Akiwaambia hivyo siku ya uchaguzi karatasi zitakuja Lissu yuko katikati. Nadhani wapiga kura kufuata nembo ni wazo jema zaidi
 
Mungu hapendi mauaji, utekaji na kifilisi watu
Mungu siyo Amsterdam wala Bagonza ndio maana kamwe huwezi kukuta mvua inabagua watu wakuwanyeshea. Itanyesha kwenye shamba la Osama na la Obama pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…