Tetesi: Mpasuko mkubwa sana ndani ya CCM

Ni lazima agombee kupitia ccm?,je alizaliwa na ccm mpaka kuwa king'ang'nizi kiasi hicho?,
 
Umewahi kuniona nikimtetemekea?
Kila siku kusema ana kundi hili, kwa hiyo tukifanya hivi tutaumia huko ni kumtetemekea na uoga!

Jamani hivi kina Nyerere wamgekuwa n akili za kunguru kama zenu hii nchi ingepata uhuru kweli?

Kwanini hao kina Membe kama wanajiamini wasitoke mbele waanze kupigania hicho wanachokiamini kuliko kulalama humu kwamba Magufuli ana genge kwa hiyo wanaogopa kuumizwa?
 
Subiri mwamba wa kusini awapasue pasue
 

Wakoloni walikuja kuchuma mali lakini hawakuwa madictator, maana hawakuwa na shida ya madaraka. Isitoshe Nyerere aliikuta Tanzania sio koloni, bali ilikuwa imekabidhiwa kwa waingereza na umoja wa mataifa, mpaka itakapokuwa tayari kujitawala. Tenganisha hayo mambo mawili tafadhali.
 
Member alishafukuzwa ccm!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…