nipekidogo
JF-Expert Member
- Apr 17, 2019
- 1,587
- 3,035
Waliofanya kazi na huyo jamaa wanamjua hakuwa mtu wa chenga chenga na alikuwa smart kwenye kazi, sio mtu wa kuonea awe mtumishi au mtuhumiwa, nenda kafuatilie mikoa aliyosimamia kama kiongozi wa mikoa hiyo utapata taarifa zake!Mkuu tuna inside infoz kuwa alikuwemo kwenye timu ya kuhakiki barua za kuomba msamaha kwa wenye kesi za rushwa na uhujumu uchumi!Endelea kukaza shingo!
Sawa MkuuMtaje jina covid-19 imfahamu tafadhali
Mbona umeumia sana! Acha wadanje! Huwa wanajionaga mamwamba sana kwa u undercover wao.Mkuu Nina hakika taarifa ulizo nazo kuhusu huyo Minyenya sio sahihi! Nina fahamu kituo chake cha kazi kabla ya kupelekwa makao makuu na ninajua alihamishiwa makao makuu lini ndio maana nakwambia taarifa ulizo nazo sio sahihi kafuatilie vizuri kumuhusu huyo kiongozi!
Sent using kidole gumba
Atakua ndugu yako sio kwa kunywea ghafla namna hiyo.Sawa Mkuu
Sent using kidole gumba
Kudanja ni sawa maana hiyo ni njia ya wote Ila tu kuna kutangulia so inshu pale mtu amekufa mtu mwingine anaanzisha propaganda kumchafua nadhani sio sawaMbona umeumia sana! Acha wadanje! Huwa wanajionaga mamwamba sana kwa u undercover wao.
Mortuary zimefurika jamani nao wahusike kuzijaza sio sisi tu!!
Hii ningepost mimi ingeleta shida sana
Jr[emoji769]
Mkuu sina undugu nae lakini I know him very well!Atakua ndugu yako sio kwa kunywea ghafla namna hiyo.
Marehemu enzi ya uhai wake! AkiWeekend-nyungu
Ohoooooo!!!!Hii ningepost mimi ingeleta shida sana
Jr[emoji769]
Tuendelee kuchapa kazi kwa bidii mkuuUnajaribu kutuambia nini wananzengo?
Wanaodanganya na kuficha wanapata nini? Sisi ni sehemu ya Dunia na inatakiwa tuwe pamoja na wengine kupambana nA KORONA! Wanaotoa takwimu sahihi si wajinga na umuhimu wake unajulikana. Iweje tutumie za wenzetu alhali hatutaki zetu zitumiwe na wengine?Unapenda sifa za kipumbavu, jitathmini, vifo vya watu sio kete ya kujitafutia umaarufu, mnashindana na kupigana vikumbo kuwa wa kwanza kuketa Tanzia jukwaani, tena mnaileta bashasha as if kuna timu ya mpira imeshinda goli sijui, this is ridiculous!
Tena na yeye akatulie zake ChatoPm atulie sasa
May his soul R. I. P
Mange kafungwa mdogo. Page yake ya Instagram amesitisha kuposti vifo vya naintin