Mpeni Mungu yaliyo ya Kimungu na Kaisari yaliyo ya Kaisari! Hiki kinachofanywa na Baraza la Maaskofu Katoliki, sio kuchanganya dini na siasa?

Wanabodi,
Declaration of Interest
Mimi ni Mkatoliki, nimelisoma tamko hili, News Alert: - Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu naulizia, huku sio kuchanganya dini na siasa?.

Kama Mama Samia ndiye Mkuu wa nchi, ameikubali DPW, ameileta, Bunge ambalo ndio wawakilishi halali wa wananchi wameikubali, CCM ndio chama cha Watanzania, wameikubali DPW, mhimili wa Mahakama umeikubali DPW, who the hell is TEC ikatae DPW?

Kufuatia kila rais wa JMT anapokuwa ni Mkristo ni lazima awe Mkatoliki, Nyerere alikuwa Mkatoliki, Mkapa Mkatoliki na Magufuli Mkatoliki, kuna uwezekano Wakatoliki wamedekezwa na sasa wameota pembe na kuthubutu kumgomea Mama kwasababu sio Mkatoliki?.

Tuambiane ukweli, angekuwa ni Magufuli ameileta DPW, TEC wangetoa waraka huu?.

Kuna mabaya mangapi yamefanywa na marais Wakatoliki lakini TEC wamenyamaza?. Kuna kosa kubwa zaidi ya rais wa JMT kukiuka katiba?. Mbona rais Mkatoliki alikiuka katiba na TEC walikuwepo, mbona sikuona waraka?.

Paskali
Una uhakika ndugu wakati wa Magufuli TEC hawakutoa waraka wenye kukosa madudu yake?
 
Paskali swala la bandari ni la kisiasa?

Nijibu hapo kwanza
 
Mahakama zipi? Hizi za kupigiwa simu na kubadilisha maamuzi Kama alivyosema Rostam?. Kihaki mahakama ilionesha mkataba una shida ila kwa kuogopa aliowateua wakatupilia mbali hoja. Ngoja tuone mahakama ya rufaa.
Sasa kwa nini mwanzo ulisema 'hata mahakama zilionesha wasiwasi'!?..we una mbege tu kichwani
 
Wanabodi,
Declaration of Interest
Mimi ni Mkatoliki, nimelisoma tamko hili, News Alert: - Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu naulizia, huku sio kuchanganya dini na siasa?.

Kama Mama Samia ndiye Mkuu wa nchi, ameikubali DPW, ameileta, Bunge ambalo ndio wawakilishi halali wa wananchi wameikubali, CCM ndio chama cha Watanzania, wameikubali DPW, mhimili wa Mahakama umeikubali DPW, who the hell is TEC ikatae DPW?

Kufuatia kila rais wa JMT anapokuwa ni Mkristo ni lazima awe Mkatoliki, Nyerere alikuwa Mkatoliki, Mkapa Mkatoliki na Magufuli Mkatoliki, kuna uwezekano Wakatoliki wamedekezwa na sasa wameota pembe na kuthubutu kumgomea Mama kwasababu sio Mkatoliki?.

Tuambiane ukweli, angekuwa ni Magufuli ameileta DPW, TEC wangetoa waraka huu?.

Kuna mabaya mangapi yamefanywa na marais Wakatoliki lakini TEC wamenyamaza?. Kuna kosa kubwa zaidi ya rais wa JMT kukiuka katiba?. Mbona rais Mkatoliki alikiuka katiba na TEC walikuwepo, mbona sikuona waraka?.

Paskali

Kwahiyo unataka kusemaje bro, au unataka kubalance Shobo? Kwani huo mkataba wa bandari ni jambo la kisiasa. Na Magu hakuwa binadamu bali shetani, sasa unapotaka kumfananisha rais Samia na shetani una maana gani. Na toka lini dhalimu akawa SI Unit ya utendaji hapa nchini?
 
Tukumbusheni basi wakati mkapa anauza kila kitu....kanisa lilikuwepo? Na Kama lilikuwepo lilitoa tamko lolote?
Kama halikutoa hii ni double standard (Mimi ni mkatoliki pia Ila hii sijaipenda)
Nani kakuuliza wewe ni mkatoliki?. Nenda kafuatilie kipindi kelele zilipigwa Sana kuhusu ubinafsishaji.
 
Wanabodi,
Declaration of Interest
Mimi ni Mkatoliki, nimelisoma tamko hili, News Alert: - Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu naulizia, huku sio kuchanganya dini na siasa?.

Kama Mama Samia ndiye Mkuu wa nchi, ameikubali DPW, ameileta, Bunge ambalo ndio wawakilishi halali wa wananchi wameikubali, CCM ndio chama cha Watanzania, wameikubali DPW, mhimili wa Mahakama umeikubali DPW, who the hell is TEC ikatae DPW?

Kufuatia kila rais wa JMT anapokuwa ni Mkristo ni lazima awe Mkatoliki, Nyerere alikuwa Mkatoliki, Mkapa Mkatoliki na Magufuli Mkatoliki, kuna uwezekano Wakatoliki wamedekezwa na sasa wameota pembe na kuthubutu kumgomea Mama kwasababu sio Mkatoliki?.

Tuambiane ukweli, angekuwa ni Magufuli ameileta DPW, TEC wangetoa waraka huu?.

Kuna mabaya mangapi yamefanywa na marais Wakatoliki lakini TEC wamenyamaza?. Kuna kosa kubwa zaidi ya rais wa JMT kukiuka katiba?. Mbona rais Mkatoliki alikiuka katiba na TEC walikuwepo, mbona sikuona waraka?.

Paskali
Weka mifano mkuu wa kwanza hadi wa mwisho ipimwe kwa mizania ya maslahi mapana ya Taifa.
 
Masharti ya ule mkataba ni sawa na kutukanyaga sisi watanzania na katiba na sheria zetu...

Kimsingi Marais wa katoliki unaouliza kama hawajawahi fanya makosa, basi kaa ukijua hakuna alowahi kufikia level ya sasa ya uborongaji wa huu mkataba...

Hata JPM hakufikia level hii...

Ni bora mara 10000 kusiginana sisi kwa sisi, ila siyo kusiginwa na wageni...

Hivi dunia ya sasa kuna mtu mwenye akili timamu anaweza kukubali masharti kama ya ule mkataba?
 
Wanabodi,
Declaration of Interest
Mimi ni Mkatoliki, nimelisoma tamko hili, News Alert: - Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu naulizia, huku sio kuchanganya dini na siasa?.

Kama Mama Samia ndiye Mkuu wa nchi, ameikubali DPW, ameileta, Bunge ambalo ndio wawakilishi halali wa wananchi wameikubali, CCM ndio chama cha Watanzania, wameikubali DPW, mhimili wa Mahakama umeikubali DPW, who the hell is TEC ikatae DPW?

Kufuatia kila rais wa JMT anapokuwa ni Mkristo ni lazima awe Mkatoliki, Nyerere alikuwa Mkatoliki, Mkapa Mkatoliki na Magufuli Mkatoliki, kuna uwezekano Wakatoliki wamedekezwa na sasa wameota pembe na kuthubutu kumgomea Mama kwasababu sio Mkatoliki?.

Tuambiane ukweli, angekuwa ni Magufuli ameileta DPW, TEC wangetoa waraka huu?.

Kuna mabaya mangapi yamefanywa na marais Wakatoliki lakini TEC wamenyamaza?. Kuna kosa kubwa zaidi ya rais wa JMT kukiuka katiba?. Mbona rais Mkatoliki alikiuka katiba na TEC walikuwepo, mbona sikuona waraka?.

Paskali
Unazidi kujipunguzia heshima kaka daaaaah........

Huu mkataba ni wa wazi,Kila raia ana haki ya kuujadili na kutoa maoni yao,maskofu nao ni raia, tena sio raia wa kawaida ndani yake mule kuna maprofesa,maPhD ktk fani mbalimbali so wanacho zungumza wanakijua na kumbuka kiongozi wa dini kazi zake ni kuwajenga waumini wake kiroho na kukemea maovu na hata kuwa upande wa haki kwenye zulma yoyote ile.

Ndio maana Yesu alikuwa ana wakemea mpaka watunga sheria (wanasheria),watoza ushuru na kumbuka huu mkataba umeandikwa na wanasheria so wafanyacho viongozi kikristo ndicho alichofanya Yesu.

Kumbuka huyo askofu pamoja kwamba hana mke wala watoto,ila yy mjomba,bamkubwa,bamdogo nk,so bado anapigania kizazi cha hao wanaomwita bamkubwa,bamdogo, mjomba nk wawe na maisha mazuri.

Nakumbuka kipindi kile cha Magu kila kipindi cha pasaka kulikuwa na nyaraka mbalimbali za maskofu na madhebu mengine, tena mengine ya kikemea haki za kibinadamu na wengine walifikia kumwita Magu Dikteta.

So huo mtizamo wao na si sheria so Rais kwa utashi wake anaweza kukubali au kuuacha, ila wao mpaka sasa kama lolote likitokea hawana hatia mbele za Mungu,kwani wamesha timiza wajibu wao kama viongozi wa kiroho.
 
Wanabodi,
Declaration of Interest
Mimi ni Mkatoliki, nimelisoma tamko hili, News Alert: - Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu naulizia, huku sio kuchanganya dini na siasa?.

Kama Mama Samia ndiye Mkuu wa nchi, ameikubali DPW, ameileta, Bunge ambalo ndio wawakilishi halali wa wananchi wameikubali, CCM ndio chama cha Watanzania, wameikubali DPW, mhimili wa Mahakama umeikubali DPW, who the hell is TEC ikatae DPW?

Kufuatia kila rais wa JMT anapokuwa ni Mkristo ni lazima awe Mkatoliki, Nyerere alikuwa Mkatoliki, Mkapa Mkatoliki na Magufuli Mkatoliki, kuna uwezekano Wakatoliki wamedekezwa na sasa wameota pembe na kuthubutu kumgomea Mama kwasababu sio Mkatoliki?.

Tuambiane ukweli, angekuwa ni Magufuli ameileta DPW, TEC wangetoa waraka huu?.

Kuna mabaya mangapi yamefanywa na marais Wakatoliki lakini TEC wamenyamaza?. Kuna kosa kubwa zaidi ya rais wa JMT kukiuka katiba?. Mbona rais Mkatoliki alikiuka katiba na TEC walikuwepo, mbona sikuona waraka?.

Paskali
YOU ARE SUCH A STUPID FIGURE OUGHT NOT TO BE ALIVE.SHENZI SANA MWANDISHI WA ZAMANI ULIYEKOSA UTEUZI.
 
Alikwishasema G. LEMA mkiburunda mnakimbilia katika kichaka cha udini

Mbona hujawahi kumwambia Gwajima Haya maneno?! Na wewe una chuki na Kanisa Katoliki?
 
Mheshimiwa Pascal, ni kweli yapo kwenye biblia, hata hivyo ni vema ukajielekeza ni kwa nini Bwana Yesu alitoa kauli hiyo.. Nadhani ni Marko 12:13na kuendelea, naamini unajua motive ya mafarisayo ilikuwa ni kumtengenezea zengwe.
Ulichokiandika siyo kipya,hata Marehemu Mtikila aliwahi kuambiwa hivyo. Na majibu yake yalikuwa, kwa hiyo nani ni mkuu, ni Kaisari ama Mungu?
Hata wewe unajua Mungu ni mkuu hakuna wa kufanana au kulinganisha naye kama unabisha utamuuliza Nebukadreza ukiweza soma Daniel 4. Vita inapotokea huwa haina mipaka. Wao wamesema wamemaliza wameishia hapo. Uzuri nyie wakatoliki hamsomi theolojia peke yake.
 
Wanabodi,
Declaration of Interest
Mimi ni Mkatoliki, nimelisoma tamko hili, News Alert: - Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu naulizia, huku sio kuchanganya dini na siasa?.

Kama Mama Samia ndiye Mkuu wa nchi, ameikubali DPW, ameileta, Bunge ambalo ndio wawakilishi halali wa wananchi wameikubali, CCM ndio chama cha Watanzania, wameikubali DPW, mhimili wa Mahakama umeikubali DPW, who the hell is TEC ikatae DPW?

Kufuatia kila rais wa JMT anapokuwa ni Mkristo ni lazima awe Mkatoliki, Nyerere alikuwa Mkatoliki, Mkapa Mkatoliki na Magufuli Mkatoliki, kuna uwezekano Wakatoliki wamedekezwa na sasa wameota pembe na kuthubutu kumgomea Mama kwasababu sio Mkatoliki?.

Tuambiane ukweli, angekuwa ni Magufuli ameileta DPW, TEC wangetoa waraka huu?.

Kuna mabaya mangapi yamefanywa na marais Wakatoliki lakini TEC wamenyamaza?. Kuna kosa kubwa zaidi ya rais wa JMT kukiuka katiba?. Mbona rais Mkatoliki alikiuka katiba na TEC walikuwepo, mbona sikuona waraka?.

Paskali
Pascal unashawishi watu wanaokuheshimu wakudharau. Please return to your senses.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Ni kwa Taifa letu tu lililolaaniwa! Taifa ambalo Serikali yake haithamini michango au kusikiliza Watumishi wa Mungu wanapoikemea,kwa kigezo cha Usichanganye dini na siasa! Taifa ambalo serikali yake inataka kusifiwa tu na viongozi wa dini hata pale ambapo inafanya maovu,wizi,ubadhilifu wa mali ya umma,nk Taifa ambalo serikali haitaki kuonywa kwa yale maovu inayoyafanya!
Sio watumishi wa Mungu Tu, Bali utaalamu, yaani wana siasa ndio kila kitu hata kama kichwa ni cha boga na mwizi
 
Back
Top Bottom